Shem na My sister!!

Ligogoma

JF-Expert Member
Aug 27, 2010
3,503
6,374
Hi wana JF?
Ni hivi, kuna lililonikabili hivi sasa mpaka nakosa raha. Nimeoa na nimekuwa nikiishi na shemeji yangu wa kiume pamoja na dada yangu.

Huyu shem kaanza kujitegemea takribani miezi tano sasa ila tatizo langu ni kwamba yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi na dada yangu baba moja mama mmoja na huyu shemeji yangu pia nae ni baba mmoja mama mmoja na mke wangu.

Niandikapo hivi ni kwamba hawasikii hawaambiliki na wanadai wanataka kuoana, jamani! hii inakubalika kweli kwenye jamii yetu?

Nimejaribu kuwaelekeza imeshindikana, hebu nishaurini hapa nitumie mbinu gani maana naona kama ni fedheha hivi.

Thanx sana.
 
Hapo lazima utie heshima!
Ngoma droo ila nachojua huwezi kubadrisha matokeokuwa mpole mkuu zaidi mwulize binamu The finest kunngwi:wink2:
 
duuh,calm down and find the wise way to handle the situation ila mioyo ya watu wawili ikisahaungana ni vigumu kuitenganisha sana,by the way it doesnt bring sense kwenye jamii hata kama wataoana ingawa haikatazwi,pole sana
 
Hi wana JF?
Ni hivi, kuna lililonikabili hivi sasa mpaka nakosa raha. Nimeoa na nimekuwa nikiishi na shemeji yangu wa kiume pamoja na dada yangu.

Huyu shem kaanza kujitegemea takribani miezi tano sasa ila tatizo langu ni kwamba yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi na dada yangu baba moja mama mmoja na huyu shemeji yangu pia nae ni baba mmoja mama mmoja na mke wangu.

Niandikapo hivi ni kwamba hawasikii hawaambiliki na wanadai wanataka kuoana, jamani! hii inakubalika kweli kwenye jamii yetu?

Nimejaribu kuwaelekeza imeshindikana, hebu nishaurini hapa nitumie mbinu gani maana naona kama ni fedheha hivi.

Thanx sana.

Hii ni kama bata trade jinsi ilivyokaa eeeeeeh!
 
Madhara wanayajua vizuri isitoshe hadi wanafikia hatua ya kutaka kuoana hao ni watu wazima wanaweza kutambua lipi baya na lipi zuri kama wataendelea ku do ze nid ful na najua hilo jambo tayari limeishafanyika basi watakuwa wanafahamu pia madhara yake

Unapomwambia mtu kuwa usishike waya za umeme utapigwa shoti basi asiposikia wewe muache ashike kusudi hali itakayomkuta, yeye ndiye atajua jinsi gani ya kujinasua, hao wote ni watu wazima wanajua wanalolitenda, hawajalazimishwa na mtu yoyote ni kwa mapenzi yao unajua kuna laana zingine na mikosi huwa tunaleta sisi wenyewe.
 
Mkuu wa kaya aliksema ukitaka kula chamwenzio uje nawewe uliwe chako sasa yeye alivyokuwa ana do ze niful??jamaa likamwambia ngoja nitakuonyesha who i am!!!inawezekana alikuwa anamnyanyasa kwakuwa amemwoa dadake nayeye kafanya hivyo ili akome kumnyanyasa!that is it.
 
Hawa sijui wanatimiza ile rule namba 3 kwa namna tofauti lakini
 
Gaijin me naona kama madhara yapo bwana mbona wanachanganyana hivo wakati tayari washaunganisha undugu

hamna dhara bwana .........wacha waendelee kuunganisha undugu :)

mimi naijua familia kaka wawili wameoa ndugu dada wawili ..................watoto wao nimesoma nao, wamefanana na wako very close utapenda
 
Hata mie nashindwa kuelewa tatizo ni nini?

Nilikuwa najaribu kuangalia tatizo Kibailojia, kifizikia, na kikemia lakini sijaliona, japo kidooogo kisosholijia yaweza kuwa mbaya. Wee aache tu wakaongezeke mbele kwa mbele mnazidi kudumisha kaukoo.
 
Si ndio kudumisha udugu na umoja wa ki-tz ? sosholojia gani tena? Huyu buraza mimi simuelewi..huyo dada yake asipoolewa atamuoa yeye?
 
Haimaanishi hivyo hata kidogo, huyo shem nimemsomesha mwenyewe A-level, sister nimemsomesha O-level na nilikuwa nakaa nao pamoja wote.
Kwa uelewa wako mpana unadhani ungefurahia uhusiano wao? Sidhani kama angekuwa mtu mwingine ningehoji hivi ndugu!
 
Back
Top Bottom