huh.................sidhani ka atarudi tena mana haya kakutana nayo uso kwa machoWanaforun ni kina nani?
Shera ni nini?
Tazanian ni wapi?
Nadhani ungetuambia maana yake ingekua poa zaidi.
Yaani bora umenisaidia kuuliza na mie nilitaka ufafanuzi wa hiyo misamiati kwanzaWanaforun ni kina nani?
Shera ni nini?
Tazanian ni wapi?
Nadhani ungetuambia maana yake ingekua poa zaidi.
kaeleweka mbona mnamkatisha moyo, anamaanisha shela ya inayovaliwa na mabinti siku ya harusi, ninavojua inamaanisha binti ni bikira na ni msafi wa moyo hivo mume wake ndio atakuwa wa kwanza kuuona uke wake na kulala nae. ni utamaduni uliorithiwa kwa wenzetu nchi za kimagharibi, kwa sisi afrika mwali anawekewa shuka jeupe asbh mama mkwe anakuja kukagua kama kuna damu ndio ishara ya ubikira, nawakilisha kwa niamba ya mtoa mada alieandamwa, nampa pole ndio JF hiyo lazima kuwa makini.
Mh,hii mada kesha ingia lizzy kuchangia ngoja nitoke kwanza
Jamani....nala IDs au avatars mimi?!
<br />kaeleweka mbona mnamkatisha moyo, anamaanisha shela ya inayovaliwa na mabinti siku ya harusi, ninavojua inamaanisha binti ni bikira na ni msafi wa moyo hivo mume wake ndio atakuwa wa kwanza kuuona uke wake na kulala nae. ni utamaduni uliorithiwa kwa wenzetu nchi za kimagharibi, kwa sisi afrika mwali anawekewa shuka jeupe asbh mama mkwe anakuja kukagua kama kuna damu ndio ishara ya ubikira, nawakilisha kwa niamba ya mtoa mada alieandamwa, nampa pole ndio JF hiyo lazima kuwa makini.
Unaposema ndo wakwanza kuona .......... wake inamaana hata alipokua anaogeshwa alikua haangaliwi?!
lokissa, what if huyo bwana harusi ndo wa kwanza kuutumia ila alionjeshwa kabla ya siku rasmi? halafu siku ya harusi akampa mama yake mrudisho nyuma?
<br />
<br />