kwa hoja ya kuacha ukuu wa mkoa iweke vizuri sijaelewa hapo, Cristina Ishengoma ni mkuu wa mkoa wa Ruvuma tena ni mbunge viti maalum, hili suala si ndo linalopigiwa kelele mtu kuwa na kofia mbili wakati wengine wanatafuta kazi,

Hapo ndio kuna tofauti. Ishengoma hakugombea jimboni. wanaogombea jimboni ndio wanaachia mara tu baada ya kupitishwa na Tume ya Uchaguzi ili awe mgombea jimboni. Na kama atashindwa kwenye kura za maoni (CCM) anarudi kwenye ukuu wake wa mkoa ama utunmishi wake serikalini. Mfano mzuri ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Ndg Kandoro. |Aliposhindwa kwenye kura za maoni alirudi kwenye ukuu wa mkoa. Upo mkuu?
mkuu napenda sana comment zako,nafikiri umetulia sana
Mkuu ni ufuatiliaji tu wa mambo yanayoendela nchini mwangu na kutoa comment bila kuegemea upande wowote. Ila kumbuka wanasiasa wengi ni wasaka tonge tu!! Mtafaruku wa posho za vikao utadhihirisha hilo muda si mrefu. Namshukuru aliyeleta uchakozi na uchokonozi wa kuzikataa posho.
jiheshimu bwana we vipi? Unashusha heshima ya forum.halafu kwa jinsi lilivyokaa unaweza fikiri analiwa tigo
tofautisha utumishi wa umma na utumishi wa serikali..mbunge,jaji wote ni watumishi wa umma,lakini nesi ni mtumishi wa umma katika mhimili wa serikali,..correct me if iam wrongmbunge sio mtumishi wa serikali, si ndo pale tunaporudi kwenye mihimili mikuu 3, yaani Bunge, Serikali na Mahakama
tofautisha utumishi wa umma na utumishi wa serikali..mbunge,jaji wote ni watumishi wa umma,lakini nesi ni mtumishi wa umma katika mhimili wa serikali,..correct me if iam wrong
jiheshimu bwana we vipi? Unashusha heshima ya forum.
kwa hoja ya kuacha ukuu wa mkoa iweke vizuri sijaelewa hapo, Cristina Ishengoma ni mkuu wa mkoa wa Ruvuma tena ni mbunge viti maalum, hili suala si ndo linalopigiwa kelele mtu kuwa na kofia mbili wakati wengine wanatafuta kazi,
Najua huyu mh. Mbunge na bado anaendelea kuwa mkoa wa Manyara, ilo linakera , lakini kero zaidi ni namna anayotoa hoja bungeni ni kama kwanza ndo bado yuko kule kwa wananchi alikozoa kutoa amri mkoani.
Kama kuna yoyote aliyesikiliza kikao cha bunge cha jioni ya leo ataungana nami, anatoa ushauri kwa serikali kuwa iwathibiti hao wanao fanya mikutano ya siasa, kwake hiyo anaiona ni kama ni vurugu katika nchi. hapa naona tatizo la mtu kuwa na kofia zaidi ya mmoja , hivi anafikiri pale anaongoza ni mkoa ? ndo maana waligombana na Ole Sendeka , hana maana