Shekhe Yahya alitabiri haya jamani...

Dr. Chapa Kiuno

JF-Expert Member
Sep 11, 2009
443
18
Nakumbuka mwaka jana mwishoni wakati Shekhe na Mtabiri maarufu nchini na nje ya nchi akisema watakufa watu wengi maarufu mwaka 2011 watu walimwona kama kaishiwa.... Sasa wadau mkiangalia mpaka sasa, kuacha wale "maarufu" wa nje, si kweli watu wetu kadhaa maarufu wameshadondoka mpaka sasa? Na bado ndiyo kwanzaaa tarehe 3/12/2011.

TAFAKARI, CHUKUA HATUA............. Lisemwalo lipo na kama halipo laja!!!
 
hebu tukumbushe ni nani na nani wameshaondoka.....
 
ndugu njoo taratibu, nikumbushe vile watu maarufu wangapi ambao wamekwisha fariki huu mwaka toa gadaf.
 
Jamani, sijui maarufu wengine huwa mnafikiriaje ila kwa mimi ni watu wanaokubalika katika jamii husika. E.g Prof. Mangari Mathai, Steve Jobs, hata huyo Shekhe mwenyewe, jana Mr. Ebbo, kuna Joe Frazier, kuna Heavy D etc........ au kuna jinsi mnamaanisha wengine!!! Easy, tusikwaruzane ila tuelimishane! Ndy maana ya hii forum.

Najua kuwa lazima kungeleta matatizo! Ndy maana nikawaomba hapa; TUELIMISHANE....
 
Jamani, sijui maarufu wengine huwa mnafikiriaje ila kwa mimi ni watu wanaokubalika katika jamii husika. E.g Prof. Mangari Mathai, Steve Jobs, hata huyo Shekhe mwenyewe, jana Mr. Ebbo, kuna George Foreman, kuna Heavy D etc........ au kuna jinsi mnamaanisha wengine!!! Easy, tusikwaruzane ila tuelimishane! Ndy maana ya hii forum.
Mbona hakutabili kama na yeye atakufa? this is wicked mind.
 
Acheni upuuz! kufa ni faida..! kumbe yahya kajipatia wafuas na warith weng! pole
 
Nakumbuka mwaka jana mwishoni wakati Shekhe na Mtabiri maarufu nchini na nje ya nchi akisema watakufa watu wengi maarufu mwaka 2011 watu walimwona kama kaishiwa.... Sasa wadau mkiangalia mpaka sasa, kuacha wale "maarufu" wa nje, si kweli watu wetu kadhaa maarufu wameshadondoka mpaka sasa? Na bado ndiyo kwanzaaa tarehe 3/12/2011.

TAFAKARI, CHUKUA HATUA............. Lisemwalo lipo na kama halipo laja!!!

sasa nani alikwambia watu maarufu hawafi?. mnaacha kufanya kazi, mnaishia kuishi kwa utabiri na nyota!!!!!!!!!!
 
Na mimi natabiri, mwaka ujao shilling itashuka sana thamani na kutakuwa na mfumuko wa bei.
Matola bwana hili mbona lipo halina utabili kwa jinsi mkweleee anavyotupeleka itashuka tu na itafika dola moja kwa shiling 3000
 
George Foreman wa wapi aliyefariki/?? maana kama ni yule bondia wa USA bado yupo hai..
 
Jamani, sijui maarufu wengine huwa mnafikiriaje ila kwa mimi ni watu wanaokubalika katika jamii husika. E.g Prof. Mangari Mathai, Steve Jobs, hata huyo Shekhe mwenyewe, jana Mr. Ebbo, kuna George Foreman, kuna Heavy D etc........ au kuna jinsi mnamaanisha wengine!!! Easy, tusikwaruzane ila tuelimishane! Ndy maana ya hii forum.

nadhani alilenga zaidi wa hapa kwetu....unawafahamu....?
 
jamani, sijui maarufu wengine huwa mnafikiriaje ila kwa mimi ni watu wanaokubalika katika jamii husika. E.g prof. Mangari mathai, steve jobs, hata huyo shekhe mwenyewe, jana mr. Ebbo, kuna joe frazier, kuna heavy d etc........ Au kuna jinsi mnamaanisha wengine!!! Easy, tusikwaruzane ila tuelimishane! Ndy maana ya hii forum.

Najua kuwa lazima kungeleta matatizo! Ndy maana nikawaomba hapa; tuelimishane....

mambo hayo!
 
kila mwaka lazima wafe watu maarufu

Dr. Chapa hebu acha hizo imani za kichawi mazee
 
Na mimi natabiri, mwaka ujao shilling itashuka sana thamani na kutakuwa na mfumuko wa bei.

Huu utabiri wako ka ule wa mamlaka ya hali ya hewa...Kuhusu swala la watu maarufu kufa karibu kila mwaka wanakufa,.So hamna kipya hapo labda ange classify watu wa kwenye sekta ipi..
 
Nakumbuka mwaka jana mwishoni wakati Shekhe na Mtabiri maarufu nchini na nje ya nchi akisema watakufa watu wengi maarufu mwaka 2011 watu walimwona kama kaishiwa.... Sasa wadau mkiangalia mpaka sasa, kuacha wale "maarufu" wa nje, si kweli watu wetu kadhaa maarufu wameshadondoka mpaka sasa? Na bado ndiyo kwanzaaa tarehe 3/12/2011.

TAFAKARI, CHUKUA HATUA............. Lisemwalo lipo na kama halipo laja!!!
Wewe kwanza fanya research uje na mwaka ambao hakuna watu maarufu waliokufa ...
 
Back
Top Bottom