Shekau wa Boko Haram, niko hai na salama

247

Senior Member
Mar 29, 2016
188
197
Kiongozi anayekabiliwa na upinzani wa kundi la Nigeria Boko Haram Abubakar Shekau, ametoa kanda ya video akikana madai ya jeshi kuwa aliuawa au amepata majeraha mabaya wakati wa mashambulizi ya angania mwezi uliopita.

Shekau alionekana mwenye afya kwenye kanda hiyo ambayo alizungumza kwa lugha za kiarabu, Hausa na Kanuri.

Haijabainika video hiyo ilirekodiwa lini. Bado jeshi la Nigeria halijazungumza chochote.
Mapema mwezi huu kundi la Islamic State ambalo Boko Haram limetangza kulitii, lilitangaza kuwa wadhifa wa Shekau ulikuwa umechukuliwa na kiongozi asiye maarufu Abu Mus'ab Albarnawi. Bado Shekau anasema kuwa ndiye kiongozi.

Chanzo: BBC
 
siyo wajinga sasa hao ndio waislam wa kweli tena safi siyo kama hawa wengine wanafiki. Hao ndio wanafuata kila neno maagizo kutoka kuran na hadith inavyosema kuhusu uislam na jinsi muislam anavyotakiwa aishi
Uislam haufundishi kuteka vibinti vidogo nakuvigeuza kuwa vyombo vya starehe kwa kina shekau na genge lake uislam ni dini ya haki swala lakuua hata Islam mwenzekao kwa kigezo cha dini hii haikubaliki jehanam inawahusu hawa Jamaa.
 
hakuna kitu kama hicho kuran takatifu azungumzii mambo kama hayo ,acha kudanganya mkuu
 
siyo wajinga sasa hao ndio waislam wa kweli tena safi siyo kama hawa wengine wanafiki. Hao ndio wanafuata kila neno maagizo kutoka kuran na hadith inavyosema kuhusu uislam na jinsi muislam anavyotakiwa aishi
Uislam ni amani,uislam unakataza maovu,unakataza kutesa na kuteka,kama walivyowateka Hawa wasichana wadogo.Uislamu una himiza AMANI.
 
Wanaua na kuumiza watu kwa kusmamia dini its like dini inawaagiza kufanya hvyo na waislam weng wanawatetea ni Mungu gan huyu anawaagiza watu waue wenzao wasio na hatia inaskitsha sana
 
Hakuna waislamu wengi wanaowatetea,ni wachache ambao hawakuusoma uislamu,tofautisha uislamu na anayejifanyani muislamu.uislamu ni Amani(usalama =Islam)
 
Uislam haufundishi kuteka vibinti vidogo nakuvigeuza kuwa vyombo vya starehe kwa kina shekau na genge lake uislam ni dini ya haki swala lakuua hata Islam mwenzekao kwa kigezo cha dini hii haikubaliki jehanam inawahusu hawa Jamaa.
Kama Kaka yao MWAMED alioa katoto ka miaka 7 unatarajia nini kwa wadogo zake?

kaka kitabu chao kinawaagiza wapigane jihadi unategemea nini kutoka kwao?
 
Back
Top Bottom