Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,903
- 1,053
Kuna tetesi kwamba makamu wa Rais Dr Shein atazuru mji wa Bukoba ili kufungu kituo kipya cha Radio binafsi inayomilikiwa na mbunge wa Bukoba mjini na waziri mdogo wa mambo ya ndani Mh Kagasheki.
Ama kweli matumizi ya pesa ya walipa kodi nchi hii ya wadanganyika nayaonea huruma.
Yetu masikio ngoja tuone ukweli wenyewe basi. Maana bado ni tetesi.
Ama kweli matumizi ya pesa ya walipa kodi nchi hii ya wadanganyika nayaonea huruma.
Yetu masikio ngoja tuone ukweli wenyewe basi. Maana bado ni tetesi.