Shein akataa uwaziri, asusia kikao

Taso

JF-Expert Member
Jun 12, 2010
2,461
2,288
8E9U9610.JPG

Nyuso za "Ukisusa Wenzio Wanakula" katika kikao cha leo cha cabinet, ambacho Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu ndio mlolongo wa uongozi wa taasisi hiyo kwa mujibu wa Katiba, ambayo pia inamtaka Rais wa Zanzibar ahudhurie. Japo huwa hajisumbui. Akichelea kuonekana ni Waziri, kitu ambacho amekipinga vikali.

Je ni wakati wa kila upande wa Muungano kuwa na cabinet yake kivyake?
 
Atakuwa alikuwa anaendesha kikao cha baraza lake la mawaziri!!

Ndio bye bye hiyo, yaani hata kama inajulikana wazi kuwa dalili za mvua kali ni upepo mkali ila wengine wanabaki kusema kuwa ni mawingu.

Woga wa ccm umeuponza Muungano ,CCM waliona CUF ikishinda Uraisi Zanzibar basi makamo wa Raisi wa Muungano atakuwa ni kutoka CUF ,ndio wakaona Raisi wa Zanzibar awe ni waziri asie na wizara maalum katika Muungano, utumbo huu mwenye akili haukubali na WAZANZIBARI hapa ndipo penye tundu kubwa la kuachana na Muungano ,ndio hapohapo watakapo pata upenyo ,hizo kero zingine ni akiba
 
8E9U9610.JPG

Nyuso za "Ukisusa Wenzio Wanakula" katika kikao cha leo cha cabinet, ambacho Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu ndio mlolongo wa uongozi wa taasisi hiyo kwa mujibu wa Katiba, ambayo pia inamtaka Rais wa Zanzibar ahudhurie. Japo huwa hajisumbui. Akichelea kuonekana ni Waziri, kitu ambacho amekipinga vikali.

Je ni wakati wa kila upande wa Muungano kuwa na cabinet yake kivyake?
uongo!
 
Acha Uzushi na Uongo; Mkutano wa Baraza la Mawaziri Rais wa Zanzibar haudhurii, hiyo imebadilishwa toka Mwinyi alipokuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano.
 
Ipo siku wanachokitafuta watakipata au watakipoteza walichonacho na kukipata tena itawagharimu
 
Acha Uzushi na Uongo; Mkutano wa Baraza la Mawaziri Rais wa Zanzibar haudhurii, hiyo imebadilishwa toka Mwinyi alipokuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano.

Si kweli mkuu, hakuna kilichobadilishwa, kama hajahudhuria atakuwa na udhuru tu!
 
Acha Uzushi na Uongo; Mkutano wa Baraza la Mawaziri Rais wa Zanzibar haudhurii, hiyo imebadilishwa toka Mwinyi alipokuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano.

Mkuu, huyo jamaa aliapishwa kama waziri. Sababu za kutohudhuria mwandishi hajaifafanua vizuri. Imekaa kiudaku udaku maana haielezi kama amenukuliwa au ameipataje habari. Ila kisheria ni waziri na alishaapishwa. Bado nashindwa kuamini kwamba kutohudhuria kwake ni kwasababu amesusa maana habari haijajieleza!
 
Kwanini jk asimteue awe mkuu wa wilaya kwani Mimi naiona zenji Kama wilaya tu

Yaani wengine hawana isipokuwa umbutwai ,hivi ikiwa kwa mawazo yako Zenji ni kama wilaya ,sawa hilo halina shaka ni kama kaeneo flaniflani hivi ni kanchi kadogo sana ,ila Tanganyika ndani ya India inaweza kuwa kama kijiji cha India ndani ya India labda tuseme pengine ni kama Kerala ,sasa huoni kama unajidharaulisha kwa kutokujua kama nyama si mboga ? Ila Samaki ni nyama kama ilivyo ya ng'ombe au kuku. Hivyo Zanzibar itabaki kuwa Nchi kama ilivyo Tanganyika.
 
Nilijua tu hii statement yangu lazima itamzidua mwajumuiya ya UAMSHO Kama wewe
 
  • Mh Chain alikuwa na udhuru wakati kikao hiki kinaendelea alikuwa anakutana nahawa waliofanya fujo BOKO HALAM aah Alkaida hapana jumuia ya kuamasha dini iliyolala hapana hawa WAHUNI wa UNGUJA msiseme maneno ya kudhani Zanzibar ni nchi kama ilivyo Tanganyika
 
Back
Top Bottom