Shein afunguka kuhusu Muungano

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
kasema hawezi kwenda kinyume na ccm ataulinda muungano hadi mwisho.
Source: itv
 
kasema hawezi kwenda kinyume na ccm ataulinda muungano hadi mwisho.
Source: itv

Ataulinda Muungano kwa sababu ya CCM au kwa sababu anaamini kwenye dhana nzima ya Muungano? Na atalinda Muungano wa aina gani, wa serikali 3, 2, 1 au wa mkataba?
 
Kasema ataulinda muungano wa serikali 2. Kumbe bado baadhi ya wazanzibar wanamahaba na watanganyika.
 
Ataulinda Muungano kwa sababu ya CCM au kwa sababu anaamini kwenye dhana nzima ya Muungano? Na atalinda Muungano wa aina gani, wa serikali 3, 2, 1 au wa mkataba?

Katiba ya JMT inasema muungano wa serikali 2, PERIOD! Wewe unataka aende kinyume na katiba?
 
Back
Top Bottom