Sheikh Yahya Jr: Raila Odinga kushinda uchaguzi mkuu wa Kenya kwa kishindo

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
muda mfupi kabla ya uchaguzi wa Kenya mtabiri maharufu mtoto wa Sheikh Yahya alitabiri kuwa raila Odinga atashinda uchaguzi wa Kenya kwa kishindo.na kuna rafiki yangu leo hii ameliwa dolla 5000 kwa kubet mshindi kuwa ni raila odinga,na kama raila angefanikiwa basi angeshinda dolla 50,000.nawaomba wa kenya wakubali matokeo ili kusongesha maendeleo ya nchi mbele
 
Mkuu huyu mtoto wa sheikh Yahya ni mganga njaa tu, wanaomfatilisha ni wa kuonea huruma!!
 
Mpe pole, lakini we learn through mistakes!!

nimemwambia ahachane na mambo ya kuamin hao watabiri,sababu tuliwai kuambiwa atakaompinga mkuu kwenye uchaguzi atakufa,lakin naona alikufa mtabiri,waliompinga wako hai
 
Kwa mujibu wa Uislam Ramli ni Haram sio tu kupiga Ra;li bali pia Kuamini hizo Ramli na ataeamini Ibada zake za 40 days hazitokubaliwa kwa Allah na ni haram kuswalishwa na Mpiga Ramli!
 
muda mfupi kabla ya uchaguzi wa Kenya mtabiri maharufu mtoto wa Sheikh Yahya alitabiri kuwa raila Odinga atashinda uchaguzi wa Kenya kwa kishindo.na kuna rafiki yangu leo hii ameliwa dolla 5000 kwa kubet mshindi kuwa ni raila odinga,na kama raila angefanikiwa basi angeshinda dolla 50,000.nawaomba wa kenya wakubali matokeo ili kusongesha maendeleo ya nchi mbele

Una uhakika na hapo kwenye red? Ana umaarufu gani?

Anajaribu kutoka kwa mgongo wa baba yake lakini namshauri atafute kitu kingine afanye, hii kazi hata baba yake ilimshinda mwishoni, na yeye hana mvuto hata kidogo, atafute dala dala aendeshe au shamba alime tu
 
Back
Top Bottom