Sheikh Yahya Hussein afariki Dunia

The info is true!

Mzee Yahya in no more, wamepeleka mwili wake Lugalo muda si mrefu.

Poleni wafiwa wote!

tuwaombee wanafamilia na wafiwa wote Mungu awape faraja. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEM MAHALA PEMA PEPONI AMEN
 
Huu ni msiba wa kitaifa ; itabidi Jakaya Kikwete arudi haraka toka Namibia asimamie mazishi ya kamanda!!!
 
RIP if the story is true! I cannot judge u 4 what u did while with us in ths rotten earth!
 
Aliamka asubuhi salama salmin, lakini baadaye akijitayarisha kuendelea na shughuli zake za kila siku hali yake ilibadilika ghafla na wakati anaomba msaada wa huduma ya kwanza alifariki dunia.

RIP sheikh Yahya Hussein
 
alikuwa anaweka usiku sana kwenye maendeleo ya nchi.....akavune alichokipanda kudadadeki....

usimhukumu. sio kazi yako. mwachie mwenye kazi ya kutoa hukumu kwa wanadamu. ameshafariki ziara yake ya duniani imefikia kikomo. yamfuatayo yako nje ya mikono yetu. nadhani huitaji kuwa Mtanzania kulijua hili. mweshimu marehemu..at least kwa masaa machache ambapo mwili wake tutaendelea kuwa nao hapa duniani. sijaipenda hii comment yako asilani. Hata kama sikuwa nakubaliana na mambo yake. please!
 
Nani atarithi mikoba yake!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! ina maana wagonjwa wake (customers) ndio basi tena...duuuuuu!!!!
 
Be serious please, tueleze umeshuhudia msiba nyumbani kwake, umeambiwa na mtu na sababu ya kifo chake nini, ugonjwa, ajali n.k.
And if you are kiding is very bad
 
Kwani alijitabiria kwamba atakufa leo?

otherwise kama hakujitabiria atakufa leo na kafa kweli, basi kazi yote ya utabiri aliyoifanya katika maisha yake ni ya uongo kama hajaweza kujitabiria mwenyewe.

Haya Haya sasa, wale wanaotaka kumdhuru mkulu ndo nafasi yao hii maana mlinzi wake mkuu kaondoka now hadi atafute mwingine mtakuwa mmeshammaliza.
 
Back
Top Bottom