Sheikh Yahya Hussein anaumwa siku mbili kabla ya uchaguzi

kapuchi

JF-Expert Member
Oct 8, 2008
268
163
wadau wa JF

Nimesoma kwenye gazeti moja la hapa nchini kuwa Mtabiri mkuu na mtallam wa myota Sheikh yahys Hussein anaumwa,je ni kweli ,kama ni kwelio anaumwa nini.Hebu kama kuna mtu ana uhakika juu ya hili atuhabarishe.
 
kama alivuojitabiri kwamba ata kufa yy kama atokufa mgombea 1 uraisi ss wagombea wamegoma kufa inabidi afe yy so akuna cha kushangaa hapo
 
kama alivuojitabiri kwamba ata kufa yy kama atokufa mgombea 1 uraisi ss wagombea wamegoma kufa inabidi afe yy so akuna cha kushangaa hapo

Alitabiri mapema mwenyewe, sasa tusubiri kama kuumwa huko ndo kutaambatana na kifo chake alichojitabiria au?
 
kamwulize gwajima, ndo alitabiri kwamba mzee huyo hatamaliza mwaka huu kama hataokoka....shehe yahya anakataa kuokoka na asipofanya hivyo mwaka huu hamalizi.
 
Bado masaa 7 uchaguzi uanze, kapata aibu kubwa maana karibu kila wiki alikuwa anasisitiza kuwa uchaguzi hamna. Kweli shetani na mungu hawawezi kukaa nyumba mmoja
 
hivi bado yuko hai?tunaomba akishaaga mtuambie haraka. anayo adhabu gwajima alimpa huyo, asipotubu na kuokoka mwaka huu hauishi kwake.
 
wadau wa JF

Nimesoma kwenye gazeti moja la hapa nchini kuwa Mtabiri mkuu na mtallam wa myota Sheikh yahys Hussein anaumwa,je ni kweli ,kama ni kwelio anaumwa nini.Hebu kama kuna mtu ana uhakika juu ya hili atuhabarishe.
Uzee:smile-big:
 
Back
Top Bottom