Sheikh yahya awaonyesha njia watoto wa babu seya

badala ya kwenda kanisani kumshukuru Mungu kwa kuwatendea huo muujiza, nyie mnaenda kuyashukuru na kuongea na majini ya shekh yahya, utafuteni uso wa Mungu kwanza oooohooo!

Ameshawatega wakianza kuchanganya pesa yote itaishia kwa shekh. Ole wenu hiyo laki muitumie vibaya itawarudi.
 
waende wakatoe sadaka kanisani .....maana wameponea mdomoni mwa mwamba...maisha sio kitu kidogo eti kwa umri wao na ikizingatiwa familia nzima ilikuwa imeshapotea ati...
 
Back
Top Bottom