Elections 2010 Sheikh Yahya Amchafua Slaa!!!!

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
4,063
4,058
Adai analindwa na jini Subiyani.

Jamani huku si kumdhalilisha Slaa, kwa kumfanya kwenye jamii yetu aonekane ni MSHIRIKINA?

Ushauri wangu wa bure kwa SHEIKH... ni bora aingie rasmi kwenye kampeni chafu za CCM zilizojaa matusi , uongo, kashfa na kuchafulia watu majina.
 
yule ni wa kum-ignore, anafanya marketing ya kazi zake wakati sisi tuko serious na nchi yetu kwa ujumla
 
Shekh yahaya jifunze kwanza kuvaa VIATU. umri huu kutembea peku ukiwa umevaa suti noma..!!!!!!!!!!!
 
Ameanza mbinu za makamba........yaani ametumwa ili watu wahamishie kwente mambo ya kichawi anayoyaamini yeye na kuacha kuivuruga ccm ilit=yochoka............kumbukeni hizi ni moja ya ajenda za ccm za kuvuruga mitazamo ya watu ila waju ile miaka ya 47 imepita kwa sisi kudanganykia kirahoisi hivyo na eti kudanganywa na akina sheikh uchwara hawa hatuko tayari............
Aache mara moja kumchafua rais wetu mteule dr.slaa aendelee na kikwete alikwisha kuyaapia majini
 
Adai analindwa na jini Subiyani.
Jamani huku si kumdhalilisha Slaa, kwa kumfanya kwenye jamii yetu aonekane ni MSHIRIKINA?
Ushauri wangu wa bure kwa SHEIKH... ni bora aingie rasmi kwenye kampeni chafu za CCM zilizojaa matusi , uongo, kashfa na kuchafulia watu majina.
Kila mtu ana mdomo wake na halipii kodi kama wewe ulivyotuhabarisha sisi ndio tunaotakiwa kukubali au kuona ni upuuzi crap.
 
Yaani hii anamsaidia sana Silaha. Uzuri hawezi kufuta yale aliyoyasema mwanzo. Hivi kwa vile yeye ni mshirikina hivyo alitegemea kila mtu ajue hayo ajino yaliyoumbwa na moto. Yeye amlinde JK wake tu ili asije aka.....a jukwaani kwa kuzidiwa na majini!!!
 
Natamani Slaa amfungulie Kesi ya Madai pindi kampeni zitakapomalizika kwani akifungua kesi sasa hivi vyombno vy habari vitapata mitaji
 
Source:
Ilikuwa katika gazeti la Tanzania Daima au Nipashe. Mimi niliisoma jana ila gazeti silikumbuki vizuri
 
Adai analindwa na jini Subiyani.

Jamani huku si kumdhalilisha Slaa, kwa kumfanya kwenye jamii yetu aonekane ni MSHIRIKINA?

Ushauri wangu wa bure kwa SHEIKH... ni bora aingie rasmi kwenye kampeni chafu za CCM zilizojaa matusi , uongo, kashfa na kuchafulia watu majina.

Anajaribu ku'dilute kauli kali aliyoitoa majuzi, lakini kwa ufupi ni kwamba ameshachelewa, maana vitabu vinenukuu hilo, na imekuwa historia itakayosomwa na vizazi!

Aibu!
 
Sheikh Yahaya anaweweseka sana mie nadhani ni wakuachana nae..Kwanza watu makini hawaamini katika ushirikina kama CCM.
 
Achaneni na huyo mwabudu mizimu, baada ya oct 31 atajumuika nasi kuimba nyimbo za ukombozi wa taifa letu toka mikononi mwa nduguzetu walokuwa wakitunyonya. hata msipoteze muda wa kuangalia vipindi vyake!
 
Kambe mwenzetu bado yuko kwenye zama za kale za mawe..... Sikulijua hilo kabla.
Asante kwa kunijuza, kunikuchapa THANX ya ukweli sana hapo juu
Shekh yahaya jifunze kwanza kuvaa VIATU. umri huu kutembea peku ukiwa umevaa suti noma..!!!!!!!!!!!
 
Kila mtu ana mdomo wake na halipii kodi kama wewe ulivyotuhabarisha sisi ndio tunaotakiwa kukubali au kuona ni upuuzi crap.
Nakuopnea huruma sana kijana.
Kipindi cha Mapinduzi ya Zanzibari nadhani ungekuwa bize na kumlinda Sultani.
Badilika, Muda wa mabadiko ni huu.
 
Source:
Ilikuwa katika gazeti la Tanzania Daima au Nipashe. Mimi niliisoma jana ila gazeti silikumbuki vizuri
Iko kwenye gazeti la habari Leo mwandishi alikosa la kumuuandika Slaa akaona achapie hicho kisehemu wameishiwa ya kuandika ni kuwapuuza tu kama wapuuzi wengine.
 
Nakuopnea huruma sana kijana.
Kipindi cha Mapinduzi ya Zanzibari nadhani ungekuwa bize na kumlinda Sultani.
Badilika, Muda wa mabadiko ni huu.
Kama kweli unataka mabadiliko tuma ujumbe huu kwa watu 50 halafu soma signature yangu asante

Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom