Elections 2010 Sheikh Yahya alidanganya? Uchaguzi haujaahirishwa

Uchaguzi haujaahirishwa na tayari nipo kituoni kwa ajili ya kupiga kura. Kama utabiri huu wa kimajini umekwama, ule uchafu mwingine wa JK kushinda kwa kishindo upo kweli? Sheikh Yahya kajifiche kuzimu.

Atadai kwamba haukakwama kwani kuna vituo ambavyo upigaji kula umehairishwa. haha
 
Nimekumbuka enzi za nabii Eliya na Waganga. Mungu wa kweli amejulikana. Kakobe na manabii wenzake wa kweli walisema hakuna atakayekufa lakini Sheikh Yahaya na manabii wenzake wa bahari walisisitiza kuwa hakuna uchaguzi. Mungu wa kweli amejidhihirisha!!!

Kwa mtaji huo hata Kikwete ajue kuwa ushindi aliohakikishiwa na nabii wa baari ni batili. Nabii wa kweli alisema "Mtawala anayegombea hatapata" Tusubiri yatimie baada ya siku 3 kuanzia sasa
 
Back
Top Bottom