Sheikh yahaya siyo mtabiri ni mchambuzi

matawi

JF-Expert Member
Mar 29, 2010
2,052
242
Kwa muda mrefu nimekuwa nikitatizwa sana na vyombo vya habari kumwita sheikh Yahaya kuwa mtabiri maarufu wa Afrika Mashariki na kati. Utabiri wake mwingi naona unatokana na hali halisi ya maisha katika dunia yetu hivyo ambayo hata mtu ambaye hajaingia darasa anaweza ku analyse. Nimemsikia juzi akisema tawala nyingi za ki afrika zitapata misukosuko. Ninachojiuliza hapa huo ni utabiri au ni mwenendo mzima wa binadamu kuamua kumaliza utawala wa kimabavu wa serikali zetu? Kuelekea uchaguzi wa Tanzania alisema mmoja wa viongozi wagombe atakufa-kwa kuwa kila binadamu lazima afe sioni kama anatabiri bali naona kama ansema kitu kipo obvious kutokea. Anachokifanya hata profesor Baregu au Lwaitama ukimwuliza anaweza kukupa majibu yanayofanana. Iko haja ya kutofautisha kati ya mchambuzi na mtabiri vinginevyo tutakuwa tunadanganyana-nawakilisha
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom