Sheikh yahaya angatuka rasmi jana;serikali nyingi kuangushwa zisizotimiza ahadi

All forms of horoscopes, Tarot cards, psychics, palm readings, fortune telling, crystal balls, Ouija boards, astrology, worshipping or contacting the dead (necromancy) and sorcery are of the Devil.

Astrology is of the Devil and is practiced by occultists in secret societies, as well as by the general public. Astrology is not the same as astronomy, which is simply the study of the universe. Astrology is the worship of the stars, i.e., seeking spiritual wisdom and guidance from the universe, as if it were a life's force in itself (which it is not). God is the only deity Whom we ought to worship (Exodus 20:1-2; Isaiah 42:8). Astrology is idolatry!

Kumbe unaelewa ila kuna lile la kutapeli watu kwa kujifanya unatibu vilema na kutoa mapepo kwa kutumia roho mtakatifu wako umejifanya hujui.

Habari za kuaminika ni kwamba shehe huyu alijiingiza katika mgogoro na maaskofu akidhani wanmpiga vita JK, akaanza kuwatest.

Kama mnakumbuka kuna mchungaji alisema shehe yahaya aache kutumia uchawi la sivyo mwisho wake umefika, sasa huu ndiyo mwanzo wa mwisho wa shehe huyu, maombi yamesambaratisha ndumba zake zote hivyo hana ujanja tena!!

Huyu mzee anachukua habari toka mitandaoni halafu anazichakachua kivyake kwa ajili ya Tanzania.

Utabiri wa taathira za Uranus/Pluto ulianza tangu 2009 na kuanzia hapo baadhi ya yaliyotajwa yamekuwa yakitokea (na yataendelea kwa miaka minne zaidi. Mbona amechelewa kuyaleta.

Unaweza kuchungulia hapa ukipenda:

Back
Top Bottom