Sheikh wa Dar: Rais Magufuli ni sawa na Omar bin Khattab(RA)

Subhannallah! Leo hii Swahaba wa Mwenyezi anafananishwa na mnaswara!? Uko wapi uadilifu wa masheikh wetu wa enzi zile za akina Harun Ibn Rashid? Mbona tamaa ya matumbo yetu kuliko dini ya Allah?
Viongozi wetu wa dini wanautia aibu sana Uislam.
 
Umeongea haakih ila hapo kwenye bkwata tu umeharibu.tuache makundi wakuu
kaongea haq gani? historia ya dini anagoogle wikipedia alafu bado anatetea!! dini haisomwi kwenye mitandao brothers if you want to know it just kunja goti kwa sheikh msome vitabu vya sira mtajua historia ya kweli ya uislamu lkn si kusoma vitu vilivyoandikwa na john au peter nawe ukasadiki kuwa ndo historia ya dini yako!! Allahu musta'an (Allah awaongoze)
 
Viongozi wetu wa dini wanautia aibu sana Uislam.
Anayefahamu utaratibu unaotumika kumpata sheikh wa mkoa anisaidie tafadhali. Miongoni mwa viongozi wa kiislamu wanaotia aibu uislamu ni huyu sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam!
 
na mtuambie level ya dini aliyonayo alhad hata thanawi hakumaliza akaacha kusoma!! hivyo wasia wangu kwenu ndugu zangu waislam kaeni Chini msome dini muifaham na muifanyie Kazi achaneni na hao hubbu dunniya
 
kaongea haq gani? historia ya dini anagoogle wikipedia alafu bado anatetea!! dini haisomwi kwenye mitandao brothers if you want to know it just kunja goti kwa sheikh msome vitabu vya sira mtajua historia ya kweli ya uislamu lkn si kusoma vitu vilivyoandikwa na john au peter nawe ukasadiki kuwa ndo historia ya dini yako!! Allahu musta'an (Allah awaongoze)
Naam elimu inapatikana kwa wanazuoni ustadhi lakin siyo kila ambacho kipo kwenye mtandao sio sahihi elimu hutafutwa kwa njia nyingi mkuu haswa wakati huu wa teknolojia.lengo siyo kubishana maalimu tunawekana sawa tu aksante kwa ukumbusho
 
Nilimtoa maanani siku alipozungumza akisapoti marudio ya uchaguzi wa Zanzibar akisema hakuna namna inabidi uchaguzi urudiwe.
 
Hawa ndio miongoni mwa mashehk wanaopunguza waumini misikitini na kuiporomosha dini ya kiislam.kwani kwa kauli kama hizi MTU anaona bora kukaa nyumbani kuliko kwenda msikitini kukutana na sura ya MTU kama huyu.
 
Kumbe haya mambo ni ya tangu enzi! Kuuwana, kuuwana, kuuwana, tena msikitini ... toka enzi na enzi imekuwa ndio mtindo wa maisha huko Uarabuni na Uajemi. Hivi vita ngumu sana kuisha ... Sheikh kanifumbua macho leo.
Unaona hiyo tu. Mauaji ya vita ya kwanza ya dunia ni waislam? Mauaji ya wayahudi 6milion, mauaji ya Vietnam mauaji ya wapelestina mauaji yanayoendelezwa na nchi za magharibi. Midume mengine naona wanatamani nao wangezaliwa huko kwa papaa waweze kuolewa na jinsia moja wawe wameokoka
 
A real man will be honest no matter how painful the truth is. A coward hides behind lies and deceit.hatuna sheikh hapo ndugu zangu waislams,ni disastrous doooooooo......
 
Anayefahamu utaratibu unaotumika kumpata sheikh wa mkoa anisaidie tafadhali. Miongoni mwa viongozi wa kiislamu wanaotia aibu uislamu ni huyu sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam!
Mimi sijui lakini wanachaguana kinafiki hata yule kadhi sijui jongo aliye jifanya mwehu bungeni kumlilia nyerere nadhani hata mama yake hajawahi kumlilia. Hawa watu wanahitaji nguvu ya waislamu kuwatoa. Allah awalaani duniani na akhera mbwa hawa wasiokuwa hata na chembe ya aibu. Ogopa mtu mnafiki.
 
Hawa ndio miongoni mwa mashehk wanaopunguza waumini misikitini na kuiporomosha dini ya kiislam.kwani kwa kauli kama hizi MTU anaona bora kukaa nyumbani kuliko kwenda msikitini kukutana na sura ya MTU kama huyu.
Wallahi natamani kulia kwa hasira na hawa watu. Tufundisheni dini na penye haki mseme. Mimi siswali nyuma ya hawa watu.
 
na nyakati zile mtumwa hufuata dini ya bwana
hufuata dini ya bwana wake kwa kulazimishwa kuogopa kuuwawa, kwa maana hiyo alikuwa ku anamfurahishwa bwana wake il hali ndani ya moyo wake alikuwa siyo muislam.
 
Umar ( r.a) alikuwa muislamu na swahaba mwenye kutekeleza haki na kuifanyia kazi sheria ya Allah.Hawezi kufananishwa na mtu ambaye sio muislamu.
 
Back
Top Bottom