sheikh rashid athibitisha SOKOINE KACHUKULIWA MSUKULE

Jamani mambo mengine! Hebu iacheni familia yake! Miaka mingapi imepita mnakuja tonesha machungu yao!
 
haya ni matokeo ya kuhalalisha kauli za sheikh yahya
kuhusu watakaompinga jk. sasa wataanzia wapi kumbana
huyu. kweli nchi ipo matatani
 
Tumeona shuhuda nyingi na kusikia nyingi pia, kuna nyingine za ukweli na nyingine za kutiliwa shaka....!
Lakini kwa zote hizo MUNGU-YAHWEH anatoa angalizo ambalo ni thabiti.....ZIJARIBUNI HIZO ROHO MUONE KAMA ZATOKA KWA MUNGU....na si kama anaishia hapo, anaendelea kutuhabarisha kuwa hatafanya jambo BILA KUHABARISHA WATAKATIFU....!
Na pia tukumbuke MUNGU WETU NI MUNGU WA ISHARA......! BILA ISHARA NO GOD....!
TUOMBE ISHARA.....NA SI KUPIGA KELELE!
 
Tumeona shuhuda nyingi na kusikia nyingi pia, kuna nyingine za ukweli na nyingine za kutiliwa shaka....!
Lakini kwa zote hizo MUNGU-YAHWEH anatoa angalizo ambalo ni thabiti.....ZIJARIBUNI HIZO ROHO MUONE KAMA ZATOKA KWA MUNGU....na si kama anaishia hapo, anaendelea kutuhabarisha kuwa hatafanya jambo BILA KUHABARISHA WATAKATIFU....!
Na pia tukumbuke MUNGU WETU NI MUNGU WA ISHARA......! BILA ISHARA NO GOD....!
TUOMBE ISHARA.....NA SI KUPIGA KELELE!


Kijana una Hekma kama Nyerere!
 
Japo mimi ni Mkristu, na naamini katika Yesu kuwa ni kweli ndio yeye ndio Njia, Kweli na Uzima, ila kuna baadhi ya walokole wako kwenye wokovu kwa insanity, they are sane!, huyu sheikh ni mmoja wao!.

Tatizi la insanity kwa jina la Yesu, jamaa pia ana hypnotic powers, hivyo kuanzia wachungaji hadi waumini, wanajikuta wako hypnotised na kuamini kila ushuhuda hata toka kwa mtu mwenye insanity, hivyo anaongea mambo ya mind sugestibility na waumini kwenye hali ya trench, wanaishia kuamini ushuhuda kama huo.

Bwana Asifiwe!.
Hata wewe ni miongoni mwa watumwa wa waingeleza, yaani umeshindwa kujieleza kwa kiswahili tu au kiingeleza tu???!!! weka vizuri haya maneno kwenye lugha moja hasa ya taifa
 

Sasa jamani let say sisi sio wajinga haya!!
Naomba uweke uwelevu wetu japo mmoja tu kisha ntakubali sisi sio wajinga..... msikalie ubishi tu wakati ukweli unaonyesha na dalili zote za ujinga zipo look at uuuu!!

Sasa kama mtu kadhibitisha kuwa fulani kachukuliwa miskule alafu mtu mwenye upeo mdogo bila hata kuchunguza,kudadisi anakomaa tu! ka! anan`gonda(halija) pasi na sababu yeye abisha tuuuu! ilimradi kupinga tuu basi kwavile ajapendezwa na mada basi yeye apinge tuu,

naomba tukuwe jamani mnapotosha maana ya ma great thinkers maana nimeona mnabisha bila kufikilia wala kuhoji na kama ningekuwa mimi mleta maada nisinge waambia hata chanzo mnapenda tu msikie habari nzuri nzuri tuuu!!.

Ati!! wengine hawashangai kuona mambo hayo yakiongewa makanisani
ndio hutakiwi ushangae!!!!! Naamini kabisa wewe Bull hauna helim kuhusu deen kama huyo Sheikh aliegundua kweli maana ni mwenye kutambua hakutaka kufuata mkumbo kaamua kuchunguza na kisha kufuata kweli.

Changamoto ipo ila siwalaumu nyinyi!!!

Sasa TP, unataka watu watoe changamoto kwa kitu ambacho kiko wazi kiasi hiki? Hiki ni kitu kidogo sana kupoteza muda wetu kuexplain ndio maana tunaandika kwa kifupi maana you dont need common sense to realize he is lying.
 
RA anaziita hizi kitu hallucinations. Duuh! Anaweza kututhibitishai habari anazosema? Mtu mwenye akili hii issue haiingii akili
 
mmmh kasheshe nani huyu anaeajaribu kuturejesha enzi za mawe??? hivi nani atahitaji afufuliwe mfu wake aliekufa 20 yrs ago? kwanza hataelewa hata kinachoendelea kwenye family so itakuwa kasheshe tupu, akute wake zake walishaolewa yeye nafasi yake itakuwa wapi? halafu mie nasikitika na hao wanaojiita eti walokole wa ufufuo??? hata yesu tuliemjua awali hakuwahi kufufua msukule wa miaka 20 iliyopita, alimfufua lazaro na kwa ukweli mifano hii ilikuwa ni ili tuelewe tu dini inatutaka tusikate tamaa, hata ijapo kuwa tumekufa ki-imani ikafikia hatua tukaoza kwa matendo yetu mabovu, bado kwa msaada wa Yesu tunaweza kufufuliwa kutoka kwenye mauti ya dhambi na kuwa hai tena kama watu tunaomjua MUNGU na si eti kufufuliwa kwa maana ya umekufa umefukiwa umeoza miaka kibao then uje ufufuke.. hebu wamuogope MUNGU waache kupotosha watu na kuutia doa UKRISTO
 
Huyu shekhe ni muislam right? what is he doing preaching in the church?
 
Huyu shekhe ni muislam right? what is he doing preaching in the church?
Alikuwa muislamu na mganga, pia mchawi mkuu, kwa sasa ameokoka na anapita kwenye makanisa na kuhubili kwenye viwanja mbali mbali hapa Dar.
 
Huyu shekhe ni muislam right? what is he doing preaching in the church?



Huko ndiko kwenye watu wanaoamini vitu kam hivi!! wakiambiwa wafumbe macho wanjifanyia tu masikini.

Huyu hawezi kuongea pupu kama hizi msikitini, kule watu wantaka evidence (na niwadadisi) ndio wakuamini.

Huko kanisani kawaingia kwa gea eti kabadili dini na sasa kaokoka, unaona ata madai yake ni ya kuokokaokoka, yasiyo ingia akilini kwa mtu mwenye ak
ili.
 
Back
Top Bottom