Sheikh Ponda sasa kujaribu wakili kafiri

Kwameh

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
1,769
2,087
09/04/2014

Kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi, Morogoro


ponda-300x169.jpg


KATIBU wa Taasisi na Jumuiya ya Kiislamu, Sheikh Issa Ponda, ameendelea kusota rumande hadi pale jalada la kesi yake litakaporejeshwa kutoka Mahakama Kuu.

Sheikh Ponda anayetetewa na wakili wa kujitegemea, Batheromeo Tharimo alifikishwa mahakamani hapo chini ya ulinzi mkali licha ya kutokuwepo umati mkubwa wa wafuasi wake....

_____________________________

My take: Takbiiiiiiir!


 
Back
Top Bottom