Sheikh Ponda na wenzake wasisitiza waislam kugomea sensa!

Status
Not open for further replies.
Lipumba yuko mstari wa mbele kuwasapoti.....hata arusha alikuja kusisitiza kuwa wasikubali kuhesabiwa......yuko nao bega kwa bega.....sijui kwa nini JK na Bilal hawawaungi waislamu wenzao mkono!

JK anang'ata na kupuliza si unajua SYSTEM inambana ila naamini ndiye chanzo cha haya yote
 
Zoezi hili la kuhesabu Watanzania limeshashindwa vibaya sana. Shilingi 140 bilioni hizo zinatumbukia chooni. Serikali iliyo makini ingeamua kurudi nyuma na kutafakari ifanye nini au lipi kuhusu zoezi hili ili kuhakikisha mafanikio ya zoezi la kuhesabu Watanzania, lakini hii Serikali dhaifu inaswaga mbele tu!!! Bora liende!!!!
 
Liwalo na Liwe bana!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
JK na wenzako udini mlioutumia wakati wa uchaguzi madhara yake ndo haya,ngoja hii dhambi iwatafune ili usikie utamu wake,Mungu alikuwa anakuangalia tu, ulifikiri hakuoni kazi kwako.
 
kila achimbaye shimo atatumbukia mwenyewe na ategaye mtego utamnasa mwenyewe
 
kikwete ana matatizo makubwa sana.
Ameyaleya haya lakini naona yamemfika shingoni.
 
Ni ushahidi mwingine tosha kwamba hastahili kuendelea kuwepo madarakani, lakini katiba yetu ndiyo hivyo tena. Pamoja na kuvurunda kwenye kila kitu tangu aingie madaraka 2005 ataendelea tu kuvurunda kwa miaka mingine mitatu.

kikwete ana matatizo makubwa sana.
Ameyaleya haya lakini naona yamemfika shingoni.
 
Lipumba yuko mstari wa mbele kuwasapoti.....hata arusha alikuja kusisitiza kuwa wasikubali kuhesabiwa......yuko nao bega kwa bega.....sijui kwa nini JK na Bilal hawawaungi waislamu wenzao mkono!

Tanzania ni zaidi ya upuuzi wa watu fulani fulani.
Wagome pia kwenda hospitali na kwenye hiduma nyingine.
Wanamuangusha jamaa yetu wa msoga.

Simple!
 
Tunalivua gamba...Kumbe gamba limewanasa na gundi Lol!

Gundi yenyewe supa glue lol......tuna kazi sie jamani.....eeh Mungu hebu sikia kilio chetu manake tumechoshwa na viroja vya hii nchi inayoendeshwa na serikali dhaifu ya CCM!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
kila achimbaye shimo atatumbukia mwenyewe na ategaye mtego utamnasa mwenyewe
Umeona wapi hiyo,kama ni kweli waambie wenzako wajue kwamba watatumbukia wenyewe au tutatumbukia sote pamoja.
 
JK na wenzako udini mlioutumia wakati wa uchaguzi madhara yake ndo haya,ngoja hii dhambi iwatafune ili usikie utamu wake,Mungu alikuwa anakuangalia tu, ulifikiri hakuoni kazi kwako.

Afu hii dhambi ni mbaya sana ...........yaani sasa watanzania tunaelekea kutengana sababu ya dini zetu. Alaaniwe sana JK!
 
Gundi yenyewe supa glue lol......tuna kazi sie jamani.....eeh Mungu hebu sikia kilio chetu manake tumechoshwa na viroja vya hii nchi inayoendeshwa na serikali dhaifu ya CCM!

...lol! walipojaribu kulivua likawa linachukua na ngozi ya mwili

Kilimo Kwanza...hadi hii leo sijaona lolote jipya katika sekta ya kilimo nchini na kauli hii ilitolewa zaidi ya miaka miwili iliyopita.
 
Tanzania ni zaidi ya upuuzi wa watu fulani fulani.
Wagome pia kwenda hospitali na kwenye hiduma nyingine.
Wanamuangusha jamaa yetu wa msoga.

Simple!
Kwanini iwe sisi tu kuja kwenye hospitali za wakristo tunazochangia pamoja fedha.Tunataka na nyinyi mje kuhukumiwa kwenye mahakama ya kadhi pia mkiona mahakama hizi hazitoi haki.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom