MPIGA ZEZE
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 2,539
- 2,296
Ni matatizo ya kuchanganya mambo kwa kusingizia na kudai ni haki kwa wlango wambele lakin kwa mlango wa nyuma likibeba agenda za siri, na aliepanda mbegu hii ametulia magogon kimya bila shaka akifurahia kumea kwa mbegu yake alopanda yaan udin.
Chukua mfano mdogo wa wakatoliki
Kuanzia ngazi ya taifa, mkoa mpaka kila kijiji vitongoji na mitaa wanafaham idadi ya waumin wao
RC Wanatambuwa idadi sahihi ya wazee, vijana, watoto na wasiojiweza kwa waumin wake wote.
Wanafaham vema idadi yao kupitia makanisa na jumuiya zao ambako sensa zao hufanyika natakwim kujengwa kuanzia vigango, parokia, jimbo na hatimae taifa.
Yote hayo kanisa katoliki linafanya bila kuishilikisha serikali wala kutumia mgongo wa serikali kwa maana yoyote ile.
Ponda na kundi lake wanaweza kuhesabu waumini wao misikitin na kupata takwim kwa uhakika na ufanisi mkubwa.
Ikumbukwe kwamba takwim kwa maana ya iman yoyote ni jukum la wenyeiman yao kuifanya kulingana na mahitajio kwa maana ya matumizi katika iman au din husika
Ninaunga mkono hoja hii. Hii inaleta fomula sahili, yaani inarahisisha mambo kwa kila dini inayotaka kujua idadi ya waumini wake. Kila msikiti na kila kanisa wafanye hesabu ya waumini wao (ikiwa ni pamoja na kujua jinsia na umri wao). Kisha watafute jumla kuu ya waumini kwa miskiti yote na makanisa yote katika taifa. Sirikali itakapotoa idadi ya watu wote, mathalani milioni 50, basi kazi itakuwa ni rahisi: idadi ya Waislamu au Wakristu itajulikana kwa kufanya hesabu za kutoa: 50 - xy = z!! simpo.