Sheikh Ponda: Lazima tupambane na Yusufu Manji arejeshe Mali zote za Waislamu alizoiba!

waislam kwa ujumla wenu mnatia aibu sana, ukosefu wa elimu dunia utawasumbua sana, tukubaliane tu kiungwana kuwa hii ni dini ya visasi, chuki na fujo, that's it,
 
SHEIKH PONDA vs YUSUF MANJI hawa wote ni wote ni walewale wa busara za kwenye ndevu,hebu tuwaachie wamaline wao kwa wao
 
Wakuu msikilizen sheikh ponda anawapongeza waislamu wa mbagala kwa walichofanya
 
Ccm,na siasa chafu ndo mtoto wa haya yanayo tokea.selikali inakataa kuitwa dhaifu wakati udhaifu hata mtoto anauona.urais sio utalii
 
watu wengine hawana akili, waache walane wao kwa wao. hapo manji watamtoa macho...waislam hawanaga umoja, wanapigana wao kwa wao ndo maana hawanaga akili ya maendeleo.

Kumbe Tanzania kuna jamii imeendelea?thanx for the info
 
Kumbe Tanzania kuna jamii imeendelea?thanx for the info

we ukisikia Tanzania ni maskini,unafikiri wa Tz wote ni maskini!!

Ulishawai kusikia Mbezi beach au masaki kuna maandamano ya kupinga Yesu sio Mungu,sijui Sensa au ujinga unaofanana na huo??ayo mambo utayasikia temeke,buguruni,mbagala,magomeni na kinondoni..
 
ccm na serikali yake wamemkaribisha ngamia kwenye hema la TANZANIA sasa wanainuka na kuondoka na amani yetu......mwisho twabaki watupu bila amani
 
we ndo usiye na akili na sio waislam.kwan wewe maendeleo unayapima kupitia nin? ili mtu awe na maendeleo aweje? fikra finyu na udumavu wa akili ndo unaokuponza
 
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad akihutubia uwanja wa Taifa katika hafla ya kuchangisha kituo cha televisheni cha Imani.

MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, amewahimiza Waislamu nchini kote kujitokeza kwa wingi kuchangia uanzishwaji wa kituo cha televisheni kiitwacho Imani, kwa sababu televisheni hiyo itatoa mchango mkubwa kufuta dhana potofu dhidi ya Uislamu, na kutoa taaluma ya maadili mema ndani ya jamii.
Alisema hayo leo alipokuwa akihutubia kwenye hafla ya kuchangia uanzishwaji wa televisheni hiyo, inayoanzishwa chini ya Jumuiya ya Islamic Foundation, ambayo pia inaendesha Redio Imani iliyopo mkoani Morogoro. Maalim Seif alisema vituo vingi vya televisheni hapa nchini mara nyingi huonesha vipindi vinavyokwenda kinyume na maadili mema ya jamii, jambo ambalo kwa kiasi kikubwa linachangia kuharibu maadili ya jamii na zaidi vijana na watoto wadogo.
Makamu wa Kwanza wa Rais alisema mbali ya kujenga maadili mema kituo hicho cha televisheni pia kitaweza kufanya kazi kubwa ya kuwaelimisha wanajamii, juu ya mazuri na mchango wa Uislamu na kufuta dhana inayoenezwa na baadhi ya watu, dhana ambazo zinapotosha na kuipaka matope dini ya Kiislamu.
"Waislamu jitokezeni kuchangia mambo ya kheri, kuanzishwa kwa televisheni hii ni jambo la kheri, wafanyakazi serikalini, Mashirika ya Umma na taasisi binafsi changieni, na wala msione haya kujuilikana nyinyi ni Waislamu, Uislamu ndio dini sahihi" alisisitiza Maalim Seif.
Alieleza kuwa wapo waislamu wenye uwezo mkubwa na nafasi ya kuchangia mambo kama hayo yenye faida kwao na Waislamu wote, lakini kuna wengi miongoni mwao , licha ya kuwa na uwezo huo wamekuwa wagumu kutoa, na badala yake kujikita zaidi katika kuchangia mambo ya anasa.
Katika hafla hiyo, Waislamu mbali mbali walijitokeza kuchangia ambapo, Makamu wa Kwanza wa Rais alichangia shilingi milioni mbili kwa ajili ya uanzishwaji wa kituo hicho cha televisheni. Akizungumza katika hafla hiyo, Sheikh Ali Basaleh alisema vyombo vingi vya habari nchini, vikiwemo vituo vya televisheni havina tabia ya kutangaza mambo mema yanayogusa Uislamu na Waislamu, na badala yake vyombo hivyo vimekuwa vikijikita zaidi kuripoti mambo mabaya dhidi ya Uislamu na kuyapa umuhimu mkubwa.
Basaleh alieleza kwamba televisheni hiyo ya Kiislamu ikianza matangazo yake itasaidia kutangaza na kutoa taaluma juu ya mambo ya Uislamu, ikiwemo kufuta dhana hizo potofu zinazoupaka matope Uislamu. Mkurugenzi wa Islamic Foundation, Sheikh Arif Nahad alisema Waislamu wakiamua wanaweza, kwasababu hivi sasa wameamka baada ya miaka mingi ya kujiweka nyuma na kufunga mikono katika shughuli za kimaendeleo.
Sheikh Nahad alieleza kuwa hakuna sababu televisheni hiyo ishindwe kuanza, na kwa kuwa jumuiya yake imeahidi itatekeleza hilo na kuwaahidi mamia ya watu waliohudhuria kuwa televisheni hiyo ipo njiani inakuja.
Habari na Khamis Haji, Picha na Salmin Said (OMKR)
 
KAMA RAISI WA NCHI HII ANGEKUA MTU KAMA PONDA, NADHANI HATA KAGAME ANGETUHESHIMU. JAMAA IS ACTION MAN. HANA MUDA WA KURUMBA. SHEIKH PONDA TUKO PAMOJA NA WEWE. FANYA KAZI ALIOKUTUMA MWENYEZI MUNGU. KOMESHA UDHALIMU WA HAWA BAKWATA, WAMESHA TUTIA HASARA SANa.
nimecheka hdi nikaanguka!
 
Kwa hili la Manji,mi namsuport 100%..lakin tusiishie hapo tukachukue kwa nguvu mali za mafisadi wote..kukaa kimya dhidi yao ni mateso bila chuki..serikal yenyewe ni mdau wa mafisadi kilichopo ni kutafta alternative..ambayo ponda katoa solution..hata kama unatofautiana na Ponda kwenye mambo mengine bt kwa hili Ponda was right..na ameonyesha msimamo.
 
m nasema njaa mbaya jamani
kesi ya manji ilikuwa ni s hule tu iliomwondoa ponda kwenye ulingo ..kisheria ushindi ulikuwa wake
lakini kaingizwa chaka na mahaini wenzake wakjitafutia wakili ambae jioniyuko na mshitakiwa aunataka nini??


rudi shule ukasome sheria ponda muda upo 3 yrs tu kwa wazee vijana 4yrs
 
ponda ana hoja za msingi,hembu wakristo semeni bakwata inawanufaisha vipi waislam?hakuna hospital,university etc
Kweli wewe ni Bongolala. Ili kuuamsha ubongo wako, wewe pamoja na waislam wengine mnapaswa mujiulize hivi ninyi Waislam mmeifanyia nini BAKWATA na siyo kuhoji BAKWATA imewafanyia nini nyie! Can't you think, heh?
 
Sheikh Ponda anasema "zoezi hilo lina anzia kwa Wez Mafisadi ambao ni Waislamu na Wamepora mali za Waislam"!

Baada ya hapo zoezi linaenda wapi? Mbona kama naona huu ni mkakati mpana?

Naomba nijue hawa waislam wanataka mali zao zilizoibwa au wanataka kupata usawa na wengine? Kama ni hivyo makanisa kwa nini yachomwe na kwanini waanzishe kasumba mbaya za dini? Sheria zipo zifuatwe vinginevyo wanatumika kama vibaraka hakuna kitu wataambua nahisi watasababisha wanyonge wafe kwa sababu ya tamaa za wacchache. NAOMBA MUELEWE HAKUNA MWARABU WALA MZUNGU AMBAO NDIYO WAMELETA HIZO DINI NA NI WAANZILISHI WAKUU WA HI HIZO IMANI WANAMPENDA MWAFRIKA(TZ) BALI WALIKUWA NA SABB ZAO: HIVYO TUSITENGANISHWE WTZ KWA DINI TUSIMAMENI IMARA TUJUE TUTAMBUE KILICHOFICHWA NYUMA YA UDINI NA MASHAKA NA WAROHO WA MALI YA NCHI YETU WANATAKA KUTUUZA KWA MARA NYINGINE TENA SAFARI HII ITAKUWA MBAYA SANA TUSIPOKUWA MAKINI. ZANZIBAR KUWENI MAKINI SI MWANASIASA NI MWANANCHI.
 
Back
Top Bottom