Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,119
- 9,049
Muungano hauwezi kujadiliwa bila kutajwa hizi dini mbili? ukristo/uislam kwani haiwezekani kuunagana wakristo na waislam
Mgonjwa humuhitaji tabibu na Mtume Mohamad alikuwa mstari wa mbele kushughurika na wasio wacha Mungu,Muislam yoyote asiefuata maagizo ya Mungu wake ni kafiri hili liko wazi,kama hutaki kuungana na Wakristo wewe ni kafiri Upendo uliohubiriwa na Mohamad ulikuwa ni kwa watu wote na sio waislam peke yao.Ngoja tuwaachie Tanzania yenu Lkini kitakachowatokea kama kilichotutokea hapa Rwanda 1994 mtatia adabu maana mmekalia porojo tu Mungu ibariki EAST AFRICA MUNGU IBARIKI RWANDA
Taifa gani linalosimama kwa misingi ya kubaguana? Kuna watu wanacheza hapa. Wawaulizie Ireland