Sheikh Ponda katika ujanja wa Nyerere na muungano wa Zanzibar na Tanganyika

ukweli kabisa,kiini cha muungano huu haramu na wa kinyama ni udini(crusade),vita ya msalaba dhidi ya uislam,kwa iyo wacha waislam wazungumzie,
lait kama wazanzibar %90 wangekua makafir km nyerere,tanganyika na zanzibar icngeunganishwa,ingetosho kuwepo kwa umoja wa afrika na EAC,
uwo ndo ukweli!,km hamujui ndo mujue,tena mkaambizane kwenye makanisa yenu,
wacha waislam wakitanganyika wauseme ukwel huu waungane na ndugu zao wakizanzibar,
nawasilisha

****...........!!!!
 
Boko haramu(waislam) mna matatizo sana lol!!. Yaani mnashindwa kuuongelea Muungano wa Tanganyika na Zanzibar bila ya kuingiza chuki zenu za kidini.
Mnapiga kelele nyingi halafu ni wagumu kukubaliana na ukweli halisi wa imani yenu kwaajili tayari mshadanganywa na akina Ponda watu ambao wazito wa kujifunza na kujitafutia ukweli. Isitoshe dini yenyewe ilianzishwa kiujanja ujanja tu na watu wa Intelijensia kutoka Vatican kwa interest fulani fulani ndo maana vifungu kibao imekopa kutoka katika agano jipya na wakati huo huo waumini wake wanaukataa ukristo.

Jaribuni kuingia Google na uandike 'How Vatican Created Islam' ili mpate picha kidogo kuhusiana na mwanzo wa dini ya Boko haramu

Mkuu umeuaaaaaaa!!!!
 
Mkuu umeuaaaaaaa!!!!

kasome thiolojia wewe ''UUNGU WA YESU ULIAZAJE DUNIANI'' yeye mwenye yesu(nabii mtakatifu wa mungu) alijua kuwa yeye ni mtumishi wa mungu na alitumwa kwa watu.

kama huko kunakera soma aya ya buluu hapa chini
zongo lote hilo kwaajili ya nchi yetu ndogooo visiwa tuu ahaa watanganyikaa hebu tuachieniii

''WAZANZIBAR MUUNGANO HATUUTAKIII'' Wakaungane na congo au zambia, inchi hiyo iitwe Tanzambia

vp yule anaefanya safari(bila kujali ana imani gani) na huku nyuma akiacha hamna amani baina yake na jirani yake(iwe majumbani maofisini, miahdharani, kwenye mabasi nk. nk.)....si kafir pia?
 
muungano wa tanzania ni uamuzi wa viongozi wetu, wa wakati huo kwa niaba yetu...ndio uliozaa jamhuri ya muungano wa tanzania...kasoro za muungano lazima zitakuwapo kama zilivyo ktk nchi nyingine duniani...saudi arabi, iran, uingereza, spania na kwingineko....dawa si kuvunja muungano, bali ni kukabiliana na kasoro hizo ktk nama ya kuuimarisha zaidi muungano...hoja kuwa waislam wa zanzibar(kama ni kweli) wanakwaza na muungano, ni unafiki (na kufuru)...watu hawajengi taifa ati tu kwa sbb ni waislam...ingekuwa hivyo kusingekuwa na nchi nyingi za kiarabu kama tunavyoshuhudia sasa...labda zingekuwa mbili au tatu..na waliojaribu kufanya unafiki huo tunaona fedhea iliyowatafuna na inayoendelea kuwatafuna...bangladesh na pakistan...!viongozi wa uamsho...na (ingawa namheshim), ustaadh ponda na wengine wa namna yake wanaoleta hoja zinazolenga kuuvunja, au kuudhoofisha muungano, ni aina ile ya watu ambao wana wa mama afrika wamekuwa wakitabiriwa...mawakala wa washiriki wa ukhabith wa 1884 kule berlin, ujerumani chini ya khabeeth mkuu bismark...! tungewaelewa kama wangeataka mipaka iliyokuwa kabla ya ukhabith wa 1884...lkn kutaka eneo letu hili kurudi kwenye mipaka ya baada ya 1884..kitendo kinachomfanya bismark na washirika wake kuwakwa na furaha pomoni huko waliko....ni ukhabeeth, na hakuna haja ya kuwatafutia jina wenye kujihusisha nao, zaidi ya linalowajihiana na fidhuli yao..."middle finger salute to all of them!!!"
 
ivyo visosi viwili wakituzingua tutavizamisha vipotee kabisa,alafu tuone watalilia wapi huo uamsho wao..
 
kasome thiolojia wewe ''UUNGU WA YESU ULIAZAJE DUNIANI'' yeye mwenye yesu(nabii mtakatifu wa mungu) alijua kuwa yeye ni mtumishi wa mungu na alitumwa kwa watu.

kama huko kunakera soma aya ya buluu hapa chini
zongo lote hilo kwaajili ya nchi yetu ndogooo visiwa tuu ahaa watanganyikaa hebu tuachieniii

''WAZANZIBAR MUUNGANO HATUUTAKIII'' Wakaungane na congo au zambia, inchi hiyo iitwe Tanzambia

Zanziba ni koloni la Tanganyika milele
 
Duh heri kutokuwa na dini kuliko kuwa kama huyu, I stand to be corrected
 
mmh kweli hawa jamaa wana kazi, yaani heri kuwa mtumwa wa kufungwa kamba kuliko utumwa huuu wa hawa jamaa
 
Wadanganyika bana wameingizwa mkenge CCM imewagawa na wao wamekubali kugawika, CCM itaendelea kuitatawala Tanzania mpaka mwisho wa dunia kama hutaki lia.
 
kwani huyu ponda ye ni mzanzibar au anataka baada ya muungano kuvunjika akaombe uraia huko zenji, nilikua nadhan ni mtu mwenye akili timamu kumbe ni kinyume kabisa, pili anatakiwa afahamu majority ya watanganyika hatunashida na huu muungano ni kiini macho cha viongozi tu kwani labda angetueleza watanganyika tunafaidika na nini kwa huu muungao zaidi ya kujimix na lazy, mental inferior and stupid people of zanzibar ambapo through intermerriage tunaongeza idadi ya ya wapumbavu!
 
Muungano hauwezi kujadiliwa bila kutajwa hizi dini mbili? ukristo/uislam kwani haiwezekani kuunagana wakristo na waislam
Mgonjwa humuhitaji tabibu na Mtume Mohamad alikuwa mstari wa mbele kushughurika na wasio wacha Mungu,Muislam yoyote asiefuata maagizo ya Mungu wake ni kafiri hili liko wazi,kama hutaki kuungana na Wakristo wewe ni kafiri Upendo uliohubiriwa na Mohamad ulikuwa ni kwa watu wote na sio waislam peke yao.Ngoja tuwaachie Tanzania yenu Lkini kitakachowatokea kama kilichotutokea hapa Rwanda 1994 mtatia adabu maana mmekalia porojo tu Mungu ibariki EAST AFRICA MUNGU IBARIKI RWANDA
 
nyie wanyarwanda haya mambo yetu yandani hayawahusu...msilete chokochoko zenu pelekeni DRC.
 
wakuu naomba kuuliza mashekhe wa uamusho majukumu yao ni yepi hasa kuhusu uamusho.? Yaana wanaamusha nani/nini na kwa faida ya nani.?
 
ukweli kabisa,kiini cha muungano huu haramu na wa kinyama ni udini(crusade),vita ya msalaba dhidi ya uislam,kwa iyo wacha waislam wazungumzie,
lait kama wazanzibar %90 wangekua makafir km nyerere,tanganyika na zanzibar icngeunganishwa,ingetosho kuwepo kwa umoja wa afrika na EAC,
uwo ndo ukweli!,km hamujui ndo mujue,tena mkaambizane kwenye makanisa yenu,
wacha waislam wakitanganyika wauseme ukwel huu waungane na ndugu zao wakizanzibar,
nawasilisha

Duuh!? Unamaana waislamu wa tanganyika wanasaidiana na wazanzibari kwa matumaini kwamba wazanzibari wakijitenga waislamu wa tanganyika watapewa nafasi ya kuhamia zanzibar? Jenga hoja nyingine ktk kuwasaidia wazanzibari hasa juu ya Muungano. Acha ubaguzi. Unajivunia uislamu kwa kuwa umejikuta tu umezaliwa ktk mazingira na familia ya kiislamu.
 
Dini iliyobora na sahihi ipo na ni UISLAM.

Dini zote ni bora kwa muhusika. Hata mimi dini yangu ni bora kuliko yoyote ile. Bahati mbaya, Tanzania, kwenye katiba yake haiitambui dini yoyote. So sorry for thinking you are on top of others sababu ya dini yako
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom