Sheikh na Mlevi

ogm12000

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
304
86
Kuna jamaa mmoja alikuwa amelewa sanaa, Akawa akipita sehemu ambayo sheikh anatoa mawaidha mazito kuhusu siku ya kiama

Sheikh. Ndugu zangu waislamu tumrejeee mwezi mungu, maana siku ya kiama kwa wale wasiofuata maandiko watakuwa ni wenye kupata hasara kubwa.

Mlevi: ghafla akasimama na kuanza kusikiza kwa mbali kidogo

Sheikh : Akaendelea kutoa mawaidha makali........

Mlevi: ghafla Akayuka kwa sauti kubwa........Watisheeeeeeeeeeee watishe haooooooooo

Waumini wakageuka kumwangalia mlezi kwa hasira

Mlevi: Msiangalie mimi mwangalie huyo anae watisha...

Wamuumini wakashindwa kuvumilia.....wakamtombotomboa....
 
nini maana ya neno hilo lenye maandishi mekundu?
 
Hahaha umenikumbusha hii hapa

Muhubiri: Huko mbinguni kuna asali na maziwa mengi sana tumrejee mwenyezi ili
tupate kuingia huko

Mlevi: Mmmmh kama huko kuna asali basi na nyuki ni wengi sana nyie nendeni
wenyewe nani akang'atwe na manyuki

Hahahaha
 
Kumtomboatomba ni kumtinduatindua au kumpiga.. Ili neno nilisikia kwenye Ze comedy. Nanukuu Joti alisema '' unatomboka nini'' akimaanisha unaongea nini.. Vile vile kuna jamaa alisema '' nitakutomboatomboa'' akimaanisha nitakupiga.. Ndio maana yake hiyo mkuu.. Halina uhusiano na lile lingine japokuwa yanataka kufanana fanana...
 
looooool....:) Walevi wanatabu sana.. Kuna jamaa mmoja mlevi kila akilewa lazima alale chini ya uvungu!! Sasa akaenda kwenye nyumba ambayo vitanda vyake havina uvungu. Palikuwa patamu hapo....:)
 
Kiswahili kiswahili jamani
Hatusemi chini ya uvungu bali ni uvunguni, chini ya uvungu ni wapi tena?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom