Sheikh Mustapha Shaban Rajab wa Dodoma: Wabunge watakiwa kuacha kutoa kauli zenye Kumfedhehesha Rais

Status
Not open for further replies.
Walani kwa kutoa vigezo ambavyo vinadhibitisha serekali c dhaif,co wanaropoka,hii c ile dini ambayo weng hawajasoma kila cku ni kuropoka
 
wapitishe kura za maoni nchi nzima kama ni kauli ya mnyika ni ya uongo halafu waangalie percent na wasali waone majibu ya mungu kama amekosa au hajakosa!
 
Hayo ndiyo madhara ya ubwabwa. Hata viongozi wa dini wananunuliwa! Ninaamini laana zao ni za kuku zisizompata mwewe. Huwa mtu halaaniki kwa kusema ukweli, bali kwa kusema uongo.
 
Hao viongozi wa dini wametua nchini leo? na kama jibu ni hapana, wana maoni gani kuhusu Lucinde kuanzia Arumeru hadi Dodoma?

Ni kweli (Arumeru yalitamkwa maneno machafu na mazito sana. Kama ni kukemea nadhani kule ndio ilitakiwa hasa.
 
ha ha ha ha Viongoz wa Kikristo wana akili siyo watu wa kukurupuka, watoe tamko kwa lipi?, wao siyo dhaifu kama huyo shekhe wa Dodoma,

nakumbuka kauli hii ya kadinali pengo "rais ana mambo ya kikekike" je hiri alikua tusi ?
 
tatizo la serekali ya CCM inamwaga mapesa mengi kwenye makanisa kwa kisingizio Cha MOU?
pesa hizi wangaliwekeza ktk sekta ya Elimu kwa taifa. nchi ingalikuwa mbali.
sijaona kanisa duniani likangoza nchi pakwa panamafanikio
Ila waislam wanaoongoza taifa la Somalia wamefanikiwa kuifikisha nchi kwenye mafanikio makubwa sana maana Al shababu juzi juzi wameweza kujenga university kubwa sana pale Somalia na wametoa nafasi kwa sie waislam wenzao wa Pemba na Unguja bila kusahau huku bara tuweze kujiunga nayo hasa pale baraza la mtihani likionesha dalili za kuwapendela wakristo
 
Masalia tu hao.
"Utaufahamu Ukweli na ukweli huo utakuweka huru"

"You Shall Know The Truth And The Truth Shall Set You Free"
 
Hii dhambi ya udini mnayoilea na kuipalilia itakuja kulivuruga Taifa
Tuna rais na naamini hakuchaguliwa kwa misingi ya dini yake.
Sidhani John Mnyika alichaguliwa kwa misingi ya dini yake.
Kama huwezi kuchangia humu bila kuingiza udini, hufai kuwemo kwenye JF
Hili ni jukwaa la watu wenye bongo zisizojua mipaka ya dini
Mwisho natoa tahadhari kwa wa_Tanzania kuendelea kuwaruhusu na kushabikia viongozi wa dini (mashehe na maaskofu/wachungaji) wanapojiingiza kwenye mambo ya siasa na kutoa matamko yao
Watatuharibia nchi hawa, wabaki makanisani na misikitini.
Sisi ni Watanzania kwanza halafu ndio zije hizo dini za mapokeo
 
Na ukikuta gazeti la Serikali linashabikia matamko ya viongozi wa dini kwa mambo ya ki-siasa jua tunapoelekea sipo
Habari Leo jirekebisheni
Kwa malengo yenu na ubinafsi wenu wa muda mfupi mnapanda mbegu ya hovyo kabisa ya udini.
Watu wanakuwa na kiwi kichwani hawajadili hoja wanaangalia mtoa hoja ni dini gani!
Upuuzi huu ni wa kuukemea kwa nguvu zote
 
Watalaaniwa wao na vizazi vyao!! Watu wa Mungu wanateseka, Mungu akainua watu wakuwatetea we unasema walaaniwe!? Nyie viongozi mtalaniwa nyie na vizazi vyenu vyote. Laana yenu ni ya nini?? Mbona hamkumlaani Mwigulu alipokula Mke wa mtu, Lusinde alipotusi?? Nyie viongozi mnaomlaani Myika na ninyi pia ni "DHAIFU"
 
Dini ya Kina Kadinali Pengo mkuu, maana wanaona labda mkuu wa nchi anaweza kuwakatishia ule mgao wa MOU wa kanisa na huenda zile ruzuku za kanisa zikasitishwa na pia, misamaha ya kodi pia ambayo watu wengi hupenyea kwenye kanisa , sasa huenda watu wakaamka na udhaifu huu wa mkuu kwa hiyo wamekemea !

hahahah, umezidiwa wewe, naamini ulitegemea BabaRiz1 angewabeba kwa ujuha wenu, mkitegemea kupewa vya bure kama Mkapa alivyowapa chuo cha TANESCO Morogoro, imekula kwenu, endeleeni kujijaza ujinga kupitia redio yenu ya IMANI, nendeni shule - someni sana - hakuna mahakama ya KADHI nchi hii, jengeni hospital, na kila kitu ili na nyie mpate hio MOU,
 
Nilitaka kukaa kimya lakini naona ni vyema nikaongea kitu juu ya hii habari.sijaifatilia kwa kina lakini naomba niongee hivi,watanzania ni watu wakukurupuka sana bila hata ya kufikiri jambo linapotokea kama hili.nilimsikia Mnyika akihojiwa katika BBC ndugu zangu huyu mtu ni kati ya viongozi tunaowahitaji sana nchini.kwa nini nasema hivi ni kutokana na madini aliyokuwa akitoa kuhusu kutolewa kwake Bungeni.tuumize vichwa kabla ya kuchangia jambo au kutoa mtazamo.
 
Haya basi isiwe shida,nendeni mkamwambie huyo sheikh wenu kwamba kuna mwanajf mmoja amesema J.K NI KIONGOZI SHUPAVU.Naamini ataipenda hii.Hata kama nchi imesogezwa kuwa nchi ya kwanza kwa kuomba omba mwambie Sheikh asijali bwana.Kweli Mnyika alikosea-hata kama Mhe. anakumbukwa kwa kuteua mawaziri wabadhilifu wa mali za umma kisha kutengua baraza baada ya miaka miwili ama mitatu Rais wetu siyo dhaifu.Tafadharini sana,enyi mnaofahamiana na huyo Sheikh kwamba wala ASIJITOE MHANGA NA KUJILIPUA karibu na bunge.Mwambieni tunamuunga mkono kwamba J.K siyo dhaifu then,Mnyika alikosea kwa sababu siyo yeye aliyewahi kushiriki ktk msiba wa Kanumba na kutuacha na maswali kwamba alishindwaje kuhudhuria msiba wa Balali ili japo tuseme kweli jamaa alifariki na tungepata walau video clips? JAMANI,mwambieni huyo Sheikh kwamba watz wanatambua President ni strong kwani hata kipindi kile Waziri wake Steven Wassira aliposema Sharti watanzania wale nyasi LAKINI ndege ya Rais lazima inunuliwe.Tulijua Rais wetu ni SHUPAVU.
 
ni kuhusu kauli yake kwamba JK ni dhaifu
source: habarileo

MY TAKE
Kama rais ni dhaifu halafu anadumu miaka 7. ni wazi wanaongozwa nao wamechoka mara 1000.
Maana hao waliokuwa wamejikaza hata Ikulu hawaingii mpaka waalikwe kwa barua rasmi.

TUACHE KEJELI KWA WATZ
kwani viongozi wa dini ni akina nani? akina lusekelo hahaha, hao nao unawaita ni viongozi wa dini? dini kwa matajiri tu? hata wenyewe ni dhaifu kama mwenzao. baada ya kuwalaani UAMSHO wanazidi kumaliza makanisa yao wapo kimya wanamlaumu mnyika anaetetea maslahi ya wanyonge kwa kusema ukweli.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom