Sheikh Mustapha Shaban Rajab wa Dodoma: Wabunge watakiwa kuacha kutoa kauli zenye Kumfedhehesha Rais

Status
Not open for further replies.
Dawa ya wajinga ni kuwapuuza tu kwa sababu wanaumwa na ujinga wao wa kutopenda shule!

Mnalumu JK. kumbe mnasahau. matatizo ya tz inatokana na CCM kulibeba kanisa badala ya tz.
haya mapesa ya MOU yanayliwa na makanisa yangalitumika kwa watz kupitia serekali. tz ingalikuwa mbali sana.nangoja katiba mpya nilizungumze hili kwa upana ili tz tuendelee
 
ni kuhusu kauli yake kwamba JK ni dhaifu
source: habarileo

MY TAKE
Kama rais ni dhaifu halafu anadumu miaka 7. ni wazi wanaongozwa nao wamechoka mara 1000.
Maana hao waliokuwa wamejikaza hata Ikulu hawaingii mpaka waalikwe kwa barua rasmi.

TUACHE KEJELI KWA WATZ

Jk ni kweli kuwa ni dhaifu ndio maana hawa viongozi wa dini kila kukicha wanatoa matamko ya kibaguzi na anakaa kimya.
 
Nahukuru. lkn sio FISADI. Pesa za MOU zijaziona hata zinapitia wapi

Malaria Sugu nakutafutia Kanzu ya

attachment.php
 
Jamani John Mnyika anamuonea JK kwa sababu ni muislamu!! siye waislamu tumlaani Mnyika!! Jamani jamani hii kauli inashirikisha ubongo kweli? Nchi imedumaa na watu wamedumaa kiakili oh GOD!!

Wameanza kujitokeza, utasikia mengi sana mara Mnyika wakati anatoka nje alimuangalia vibaya sana dada mmoja mwenye hijabu pale mlangoni
 
Ndevu kaumbiwa mwanamme. mwanamke kapewa kidevu cheupe. Kama unachukia ndevu ni Khunthaa wewe, unalakini uume wako

Hapa ndipo mtu anapodhihiri ubongolala wake! Tushawapeni siri kuwa someni ndugu zetu, mkasome na muishike elimu, hebu angalia, wenzenu wanafuga ng'ombe nyie mnafuga ndevu! Tena chafu kwa kula madafu, kahawa, pilau! You guys are disgusting creatures! Mnamlaani Mnyika sababu kamsema mpenda ubwabwa mwenzenu? Kweli hamna maana bora tuwahamishe mkawe watumwa wa waarabu! Nafahamu ni jinsi gani muislam anakuwaga na furaha akiwa na bosi mwarabu! Hata kama hakuna mshahara, anatumwa hadi sokoni lenyewe na kikofia chake linafurahia tu! Majitu mengine bana!
 
hapa ndipo mtu anapodhihiri ubongolala wake! Tushawapeni siri kuwa someni ndugu zetu, mkasome na muishike elimu, hebu angalia, wenzenu wanafuga ng'ombe nyie mnafuga ndevu! Tena chafu kwa kula madafu, kahawa, pilau! You guys are disgusting creatures! Mnamlaani mnyika sababu kamsema mpenda ubwabwa mwenzenu? Kweli hamna maana bora tuwahamishe mkawe watumwa wa waarabu! Nafahamu ni jinsi gani muislam anakuwaga na furaha akiwa na bosi mwarabu! Hata kama hakuna mshahara, anatumwa hadi sokoni lenyewe na kikofia chake linafurahia tu! Majitu mengine bana!
anaechukia ndevu research nyingi zinaonyesha ni shoga. Ndio maana mwanamme kapewa ndevu
 
Nahukuru. lkn sio FISADI. Pesa za MOU zijaziona hata zinapitia wapi

Pesa za MOU! Wewe huna akili, nenda kanisani kila jumapili sikiliza sadaka ilikuwa shng ngapi? Huwa hatuko milioni sita the minimum we can get per week na ukiacha miradi ya kanisa! Nyie endeleeni kutawadha na kula tende na mjifukizie udi na ubani kwa sana! Kuleni ubwabwa na tende! Yani hamjastaarabika kabisa nyie watu, kila siku malalamiko kama wajawazito?
 
Kweli mkuu habari leo ni gazeti la propaganda la CCM. Siyo authentic source hiyo.
Nawewe mbona unakuwa mzito kuelewa? jamaa katoa source ya hii habari ni Habari leo, lazima ujue habari leo huwa linatumiwa na Chama gani kwa propaganda pia uende mbali zaidi kujua ni dini gani pia hutumiwa sana na chama hicho kwa Propaganda.
 
Pesa za MOU! Wewe huna akili, nenda kanisani kila jumapili sikiliza sadaka ilikuwa shng ngapi? Huwa hatuko milioni sita the minimum we can get per week na ukiacha miradi ya kanisa! Nyie endeleeni kutawadha na kula tende na mjifukizie udi na ubani kwa sana! Kuleni ubwabwa na tende! Yani hamjastaarabika kabisa nyie watu, kila siku malalamiko kama wajawazito?

sasa hizi za MOU zinatumika wapi? mbona sijabahatika kusikia zikiulizwa bungeni?
 
Haaahaaa! The same problem and same trend of trying to resolve it...borrowing strength to compansate my weakness from religion! Halafu kesho najiuliza eti kuna udini?
 
Ni shekhe wa mkoa wa Dodoma, Mustafa Shaban Rajab

jamani nyie mashehk wa hii nchi mbona mnapenda sana mambo ya udini? Maouvu mangapi yanatokea lakini nyie kimya na mnamprotect kikwete kwa ajili ya uislamu wake! Hayo mabo ni ya kitoto maana hii nchi mnataka sijui kuipeleka wapi? Kumbekeni hiz chochoko za udini ipo siku siku zitawatokea puani.

Mungu wa israel awabariki.
 
Dini ya Kina Kadinali Pengo mkuu, maana wanaona labda mkuu wa nchi anaweza kuwakatishia ule mgao wa MOU wa kanisa na huenda zile ruzuku za kanisa zikasitishwa na pia, misamaha ya kodi pia ambayo watu wengi hupenyea kwenye kanisa , sasa huenda watu wakaamka na udhaifu huu wa mkuu kwa hiyo wamekemea !
Nilikuwa sijui kana ILE HOSPITALI YA AGAKHAN HAIJAWAHI KULIPA KODI TANGU ENZI ZA NUTA
 
Napenda niamini kwamba viongozi hao wa dini sio za kikristo kwa sababu Mheshimiwa Raisi aliwahi kuonyesha "udhaifu" pale aliposema tena mbele ya Maaskofu wa TEC kwamba wanajihusisha na biashara ya mihadharati na hadi Leo hakuna aliyekamatwa wala kutajwa kuhusika.
 
kuna haki za raia? Au huzijui? Mbona viongozi wa kikiristo kimya? Au kwa sababu alietoa kauli ile ni kiongozi wa chama chao?
Nadhani sasa tumewavumilia vya kutosha. Sipendi kukashifu dini ya mtu lakini mnakoelekea tutaonana wabaya...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom