Sheikh Mansour avunja record Uingereza!!

FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
31,625
37,821
Jumatano Sheikh Mansour amefikia kiwango cha £400million na kuweka record ya Club za uingeleza baada ya kumnunua mchezaji mahiri Sergio Aguero wa Algentina kwa pound 38million. sawa na 152billion (Hii hela sisi tunanunua mtambo wa 100Mega watt kama sikosei)

Wachezaji wengine ambao Sheikh huyu tishio kwa utajiri ni:-
Joleon Lescott (£24m),
Alexsandar Kolarov (£20m),
James Milner (£24m),
David Silva (£26m),
Yaya Toure (£24m),
Emmanuel Adebayor (£25m),
Mario Balotelli (£24.5m),
Edin Dzeko (£27m)
Carlos Tevez (£25m) and
Sagio Aguero (£38).

Sasa msimu huu tutapata jibu kwamba Mpira ni PESA au ni mbinu na kujituma kwa wachezaji:

Kwa wana soka hebu tujadili nafasi ya Man U , Asenali (Chenga twawala) The Blues (Wazee wa samba la uingeleza) na watani wangu ambao huwa hawakati tamaa miaka yote -Liverpool yaani U will neva wok alone !!!! msimu huu.

Mi bado nawapa nafasi Watoto wa Darajani chini ya AVB:
 
Jipeni moyo wazee wa darajani...

ManU tutawagaragaza kama kawa...
 
The Blues tutawakamata sana msimu huu, Ila respect zangu kwa Liverpoool Fans, kweli huwa na enjoy sana kuangalia Liverpool ikicheza hasa wakati yupo Yule Kocha Mspaniola, hata wakifungwa wanaimba tuuuuuu. i SALUTE FANS WOTE WA LIVERPOOOL POPOTE MLIPOOO kweli hamtembei peke yenuuuuuuuuuuuu
 
mkuu kuna rafiki yangu shabiki wa liver, yaani ifugwe hata game tatu mfululizo jamaa na Tisheti yake " YOU WILL NEVER WALK ALONE..." washabiki wa Liver wana moyo mgumu kama wa paka.

Asernal hawana uvumilivu - walishaanza kumtukana wenger wao - kibabu nunua wachezaji -- kibabu unatuboa --- kibabu toa watoto ----kibabu acha ubahiri kama mpare.... lol

Man U - sidhani wana nafasi msimu huu: Bado nawapa Nafasi: THE Blues: Liver na CITY.
 
Jumatano Sheikh Mansour amefikia kiwango cha £400million na kuweka record ya Club za uingeleza baada ya kumnunua mchezaji mahiri Sergio Aguero wa Algentina kwa pound 38million. sawa na 152billion (Hii hela sisi tunanunua mtambo wa 100Mega watt kama sikosei)

Wachezaji wengine ambao Sheikh huyu tishio kwa utajiri ni:-
Joleon Lescott (£24m),
Alexsandar Kolarov (£20m),
James Milner (£24m),
David Silva (£26m),
Yaya Toure (£24m),
Emmanuel Adebayor (£25m),
Mario Balotelli (£24.5m),
Edin Dzeko (£27m)
Carlos Tevez (£25m) and
Sagio Aguero (£38).

Sasa msimu huu tutapata jibu kwamba Mpira ni PESA au ni mbinu na kujituma kwa wachezaji:

Kwa wana soka hebu tujadili nafasi ya Man U , Asenali (Chenga twawala) The Blues (Wazee wa samba la uingeleza) na watani wangu ambao huwa hawakati tamaa miaka yote -Liverpool yaani U will neva wok alone !!!! msimu huu.

Mi bado nawapa nafasi Watoto wa Darajani chini ya AVB:
Tatizo la Man City ni kocha sidhani kama watapata mafanikio wakiwa na Manchini ambaye anapenda mfumo wa kudefence hata akiwa anacheza na vibonde.Timu ilikuwa na washambuliaji karibu 5 lakini anachezesha mshambuliaji mmoja tu (Tevez).Pia ameshindwa kuwaunganisha wachezaji wenye viwango vya chini kutengeneza team work
 
Still bado nawapa nafasi ManU ,nikiangalia walivyomaliza ligi kwenye kiwango cha juu, wana kikosi kipana na karibia wachezaji muhimu wote wapo isipokuwa Van de Sar .Arsenal hamna jipya,Chelsea wachezaji wengi walicheza chini ya kiwango last season pia sijaona midfield wa kumchezesha Torres tusubiri labda watasajili kiungo mwingine baada ya kuumia kwa Torres.Liverpool wana timu nzuri kuanzia midfielders na Strikers lakini wasiwasi wangu ni defence
 
Wakinunua beki wa kati, wakamuuza kapten cesc arsenal watatisha msimu huu,
Arsenal wana wachezaji wengi wa aina moja (wengi ni wachezaji laini) mpira wa nguvu unawashinda hata wakimuuza Fabregas bado kuna wachezaji kama Diaby,Walcot,Almunia,Squilaci.Kosciency,Chamakh,Ebue hawastahili kuchezea timu kama Arsenal
 
Jumatano Sheikh Mansour amefikia kiwango cha £400million na kuweka record ya Club za uingeleza baada ya kumnunua mchezaji mahiri Sergio Aguero wa Algentina kwa pound 38million. sawa na 152billion (Hii hela sisi tunanunua mtambo wa 100Mega watt kama sikosei)

Wachezaji wengine ambao Sheikh huyu tishio kwa utajiri ni:-
Joleon Lescott (£24m),
Alexsandar Kolarov (£20m),
James Milner (£24m),
David Silva (£26m),
Yaya Toure (£24m),
Emmanuel Adebayor (£25m),
Mario Balotelli (£24.5m),
Edin Dzeko (£27m)
Carlos Tevez (£25m) and
Sagio Aguero (£38).

Sasa msimu huu tutapata jibu kwamba Mpira ni PESA au ni mbinu na kujituma kwa wachezaji:

Kwa wana soka hebu tujadili nafasi ya Man U , Asenali (Chenga twawala) The Blues (Wazee wa samba la uingeleza) na watani wangu ambao huwa hawakati tamaa miaka yote -Liverpool yaani U will neva wok alone !!!! msimu huu.

Mi bado nawapa nafasi Watoto wa Darajani chini ya AVB:

Sheikh Mansour is a joker!
With the exception of Tevez, all of those players are pure flops. Man City can spend even $100 Billion, but they may never win anything in the near future. Winning in soccer is more than money
 
Arsenal wana wachezaji wengi wa aina moja (wengi ni wachezaji laini) mpira wa nguvu unawashinda hata wakimuuza Fabregas bado kuna wachezaji kama Diaby,Walcot,Almunia,Squilaci.Kosciency,Chamakh,Ebue hawastahili kuchezea timu kama Arsenal
Asenal wanataka ile freva ya Barca laini uwezo hawana, kwa hiyo hawaeleweki eleweki.

Kwa mfano wakikutana na barca - yaani freva kwa freva wanapigwa mengi sana:
Wakikutana na timu za kazi kazi kama Man U, Liver, Chelsea pia wanapigwa:
Wakikutana na timu za Kati visiki kama Sunderland, Fulham na zinginezo za mlengwa wa kati - Wanapigwa:

Hii timu inahitaji maombezi......... GANAZI kwisha kazi. - Wanabakia na kale ka record kao wanakotambia ka 40 games za ligi unbeaten enzi za Peres, Henry n.k
 
Back
Top Bottom