Sheikh Karume yu wapi?

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,849
13,136
Inafurahisha kuona mshikamano wa viongozi wetu wa juu CCM.
Hongera Mwenyekiti Jk.
Bado CCM ni kinara kwa oganaizesheni na uhamasishaji kwa kufanya mambo kwa mipango madhubuti, bila kuleta mitafaruku kama waleee ndugu zetu wa pipooz!!
Lakini katika picha hii hapa chini najiuliza Sheikh Karume yu wapi?
download+(3).jpg
 
jamaa hakuwaga presidential material,alipewa urais sababu ya usultani wa kibongo,kuongea kwenyewe hawezi,ccm hawawezi kumtumia huyu
 
yule alianza kuitosa ccm hata kabla hata hajatoka madarakani,kaiituliza zake mwenyewe ana pata kinywaji kwa raha zake huko zenji
 
Inafurahisha kuona mshikamano wa viongozi wetu wa juu CCM.
Hongera Mwenyekiti Jk.
Bado CCM ni kinara kwa oganaizesheni na uhamasishaji kwa kufanya mambo kwa mipango madhubuti, bila kuleta mitafaruku kama waleee ndugu zetu wa pipooz!!
Lakini katika picha hii hapa chini najiuliza Sheikh Karume yu wapi?
download+(3).jpg
Amechoshwa na haya mapambio mnayoimba ambayo hayaendani na vitendo.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kama Mama Yake anapinga muungano waziwazi, huenda hakualikwa na watamnyang'anya umakamu soon
 
Anakula pension taratibu Mbweni. huku ikitafakari kugombea au kutogombea Urais wa muungano 2015.
 
Karume alikuwa airport juzi ijumaa akilekeka uk ndege ya BA ikaharishwa akaro ndo na emirates jioni kishachoshwa na siasa uchwara yupo Zake UK anakula Biere, wine na viuno
 
Hatari sana, Anaimarisha kundi lake la UAMSHO, ndoto yake aunde Muslim Brotherhood yake, juzi aliwanong'oneza Uamsho walegeze mwendo kunako kona ila Safari iendelee, keshawapachika wastaafu wenzake wote na Uamsho
 
Back
Top Bottom