Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheikh Ilunga alazwa India

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by one activist, Jun 1, 2013.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. one activist

  one activist JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2013
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 114
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yule sheikh maarufu kwa CD zake kadhaa za uchochezi Bw. Hassan Ilunga, yu mgonjwa na amelazwa huko India.Kwa mujibu wa gazeti la An Nuur la tar 31 May.
   

  Attached Files:

 2. don12

  don12 JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2013
  Joined: Oct 11, 2012
  Messages: 642
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 18
  Tunamuombea uzima ili atambue ujinga wa alichotenda.
   
 3. one activist

  one activist JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2013
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 114
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sure,ampe uzima na afya njema
   
 4. knaan

  knaan JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2013
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  Ujinga upi unaosemea ndugu?
   
 5. one activist

  one activist JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2013
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 114
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sure, Mungu ampe uzima na afya njema.
   
 6. one activist

  one activist JF-Expert Member

  #6
  Jun 1, 2013
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 114
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wewe soma hiyo post apo juu utauona ujinga wake, au umejisikia tu kuuliza swali? Post inasema "Yule Sheikh maarufu kwa CD zake za........."
   
 7. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #7
  Jun 1, 2013
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,620
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 48
  Wakuu na wafadhili wake walioko serikalini ndio wamempeleka India ili hali ya hewa ikitulia wamrudishe aendelee kumwaga sumu ya uchochezi!
   
 8. one activist

  one activist JF-Expert Member

  #8
  Jun 1, 2013
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 114
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Dah! Lipumba atakosa kampani ktk kipindi hiki cha ugonjwa, asijali lakini Mungu atamjaalia na atarudi soon kuendeleza shughuli yao
   
 9. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #9
  Jun 1, 2013
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 32,749
  Likes Received: 1,329
  Trophy Points: 113
  Tunamuombea Mungu amuinue na kumrejesha katika afya kamili.
   
 10. CHAMVIGA

  CHAMVIGA JF-Expert Member

  #10
  Jun 1, 2013
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 7,729
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 38
  Mwenye kutoa na kuchukua uhai ndio pekee utake amua mwisho wake ila itakuwa ni furaha yetu ukitujumuisha na mzee wetu kwani bado familia ndugu na jamaa tunamuitaji. M/mungu akupe ponya inshallah.
   
 11. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #11
  Jun 1, 2013
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,937
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 38

  Nauliza Swali; Wakati wa UTAWALA wa NYERERE --- kulikuwa na Viongozi wa DINI yake wakiongelea CHUKI DHIDI ya DINI NYINGINE kiasi hiki ?

  Nyerere hakukandamiza kundi MOJA kwa Manufaa yake; Makundi Mengi ndani ya Nchi yalinyimwa baadhi ya UHURU wao ili tu NCHI iwe na AMANI na UMOJA...
   
 12. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #12
  Jun 1, 2013
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,109
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 63
  Ninamuombea afya njema...
   
 13. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #13
  Jun 1, 2013
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,662
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 38
  Ni propaganda tu ili kupima upepo! Huyu mtu wala hayupo India! Sio siri alipaswa kuwa gerezani kitambo. Sasa wafadhili wake wamemficha chini ya mwavuli wa "India" ili upepo upite!
   
 14. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #14
  Jun 1, 2013
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,662
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 38
  Mwishowe wafadhili wake watasema afya haimruhusu kushitakiwa!
   
 15. t

  teflon_don Member

  #15
  Jun 1, 2013
  Joined: May 31, 2013
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli kabisa
   
 16. majany

  majany JF-Expert Member

  #16
  Jun 1, 2013
  Joined: Sep 30, 2008
  Messages: 1,189
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 38
  Go to hell Ilunga......I really hate you and your followers!!!
   
 17. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #17
  Jun 1, 2013
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 5,986
  Likes Received: 643
  Trophy Points: 113
  Nami sidhani kama yuko India!intelijensia ya maandamano ya CDM tu!zaidi ya hapo wanabahaisha tu!kamata dereva boda boda unajitangazia umekamata gaidi!
   
 18. Kilimo

  Kilimo JF-Expert Member

  #18
  Jun 1, 2013
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 737
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 18
  mbona mh.rwakatale wa CDM yupo rumande wakati anaumwa? Na nimashitaka ya uwongo? Hata huyo mchochezi ashitakiwe tu
   
 19. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #19
  Jun 1, 2013
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 11,643
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 63
  Nani anafadhili matibabu yake?
  Itabidi aombe radhi vinginevyo amuulize Shekhe Yahya alivyoambiwaga na mchungaji atubu vinginevyo atakufa yeye kabla ya mwaka,akakataa, anaendelea kuwatabiria wenzake kifo.
   
 20. S

  Selungo JF-Expert Member

  #20
  Jun 1, 2013
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Msitake kutudanganya hapa. Sheikh Ilunga mbona kajificha hapa Singida na huwa anaishi kwenye nyumba moja jirani na Msikiti mkuu!!!

  Msitake kutuaondoa kwenye agenda ya watu wanao pandikiza UDINI inayo chochewa na huyu Sheikh Ubwabwa.
   
Thread Status:
Not open for further replies.

Share This Page