Sheikh hamedi umechemka kumpa diplomatic pass; mkuu wa utekaji meli; tanzania hatuitambui

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
Mh Raisi wa somalia ; amempatia pass ya diplomasia HAMEDI kuu wa genge la utekaji meli;

Ingawa kumpatia pass hiyo ili aachane na utekaji au motisha.

Ila inampa ulinzi wa kuto kukamatwa

SERIKALI KUWA MACHO
 
Back
Top Bottom