Sheikh Farid wa Uamsho 'atekwa nyara' visiwani Zanzibar

wangefunguliwa hata vioski, wauze urojo na bagia, kuliko kutwaaaaaaa kuandamana! hawachoki?? hawajioni mahayawani?? nimemini kutokwenda shule ni UJINGA mkubwa sana, nitawasisitiza watoto wangu kusoma, tena kusoma kwa bidii mpaka pumzi yangu ya mwisho! i pitty them!
 
Mwenyekiti wa Jumuia ya Maimamu Zanzibar (JUMAZA) sheikh farid inasemakana amekamatwa zanzibar na vurugu zimeanza kutokea baada ya waislam kupinga kitendo hicho.
na hapa dar umati wa waisam sasa wanaelekea katika kituo cha Polisi kujua hatma ya sheikh Ponda issa ponda.
My take. kama serekali haitokuwa makini na kubase upande mmoja wa imani na kuufanya ndio wa kitaifa na kudharu upande mwengine, hali ya amani inaweza kutoweka wakati wowote kuanzia

Zambia is a christian nation, 100% christian nation and whoever comes to Zambia must know this...Former Zambian President, Fredrick J.T.Chiluba.

 
Makanisa yalindwe jamani Hawa boko haram hawafai

Acha wabomoe makanisa yote kwani huo hautakuwa mwisho wa ukristo.

makanisa hujengwa upya lakini sio amani iliyopotea.

Kama kukamatwa kwa ponda kutasababisha nchi kuingia kwenye machafuko na baadaye kutulia na makanisa kuchomwa moto ni kheri kuliko kuiacha nchi kuendelea na akina Ponda wengi.
 
Wakati wanaanzisha zali hawakujua kuwa na serikali inaweza kuanzisha zali la mentali.

Kwa hali ilivyo sasa, hata wakristo watakosa uvumilivu na kuingia vitani

sifikirii kama wakiristo wanweza kuingia vitani. maana nakumbuka Lebanon baada ya machafuko ya kidini ikaja katiba inayotaka waislam na wakiristo wapate nafasi sawa za uongozi , jambo kwa tz linaweza likawaathiri zaidi ya wakirsto kuliko waislam
 
Huyo dereva anajua Boss wake yupo wapi haiwezekani akae tu akiangalia wakati Boss wake akitekwa.

Subira ni heri katika habari hii maana inawezekana kakimbilia mafichoni baada ya kusikia Ponda kakamatwa nae kaona asepe.
 
Waache wapigwe mabomu ndio watajifunza kutokana na ushabiki wa dini uliokubuhu!
Siyo jambo jema kwa PONDA kuanzisha vurugu, lakini pia siyo jambo jema kwa watu kupigwa mabomu kwa sababu ya kutaka mwenzao(PONDA) aachiwe kwani kuna namna nyingi tu za kutawanya hiyo mikusanyiko.
 
sifikirii kama wakiristo wanweza kuingia vitani. maana nakumbuka Lebanon baada ya machafuko ya kidini ikaja katiba inayotaka waislam na wakiristo wapate nafasi sawa za uongozi , jambo kwa tz linaweza likawaathiri zaidi ya wakirsto kuliko waislam

Mungu wa wakristo sio wa vita wa Waislamu ni Mungu wa vita. Hawa ni MUNGU wawili tofauti ingawa tunagombana kama vile tunaabudu Mungu mmoja lakini pia mitume wetu ni tofauti kwa nini tugombanie dini.
 
wangefunguliwa hata vioski, wauze urojo na bagia, kuliko kutwaaaaaaa kuandamana! hawachoki?? hawajioni mahayawani?? nimemini kutokwenda shule ni UJINGA mkubwa sana, nitawasisitiza watoto wangu kusoma, tena kusoma kwa bidii mpaka pumzi yangu ya mwisho! i pitty them!

namshukuru sana Mungu kwa kunifanya nianze sala yangu kwa ishara ya msalaba i see!
 
tatizo la watushi wasio waislam ndani ya ofisi za serekali wanatumia imani zao kupambana na uislam ndio ndio maana tz inaelekea siko. katiba na sheria za nchi zingalifuatwa kama inavyotakiwa haya yasingetokea

Sulemani Kova si Muislamu ? Said Mwema si Muislamu ? jk si muislamu ? Gharib Bilal si muislamu ? sasa malalamiko haya yanatoka wapi
 
Waliofuga jini (Ponda) waache waliangamize wenyewe tuliwaambia mapema jini limezaa watoto, lina wajukuu na sasa jini lina vitukuu limeanza kula nyama za watu ndipo wanatafuta dawa ya kuliua
 
Hali ya mji wa Zanzibar imeanza kuwa si shwari baada ya kupotea kwa hali ya kutatanisha kwa kiongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Amiri wa Shura ya Maimamu Zanzibar.

Amir Farid Hadi ametoweka kwenye mazingira ya kutatanisha kuanzia jana saa tatu usiku (Tarehe 16/oct/2012) na inasadikika kuwa katekwa nyara na watu wasiojulikana.

Polisi wa Zanzibar wamesema kuwa wao hawajamkamata, hivyo hadi sasa wafuasi wake na wananchi wa Zanzibar kwa ujumla wanaamini ametekwa nyara ili kudhoofisha nguvu yao ya kudai marekebisho kwenye Muungano.

Naomba kuwasilisha.
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom