Sheikh Farid na wenzake wanyimwa dhamana

Hahahaha umeishiwa wewe hapa hafungwi mtu ujui kinachoendelea ndio matatizo yako, muungano unakufa ndio unapaparika hivyooo kushinehiiii.

Zanzibar itatoka ndani ya muungano na walevi wakubwa waliojenga baa 200 kila mtaa(DSM). na itakua nchi huru ya kiislamu isiyo na baa hata ya dawa.
UKITAKA USITAKE UKIPENDE USIPENDE hilo linakujaaa .tushapiti
sha sheria ya kupinga marufuku biashara ya ngono,na matangazo ya pombe mambo ambayo yakiondoka watanganyika hawataweza kukaaa znz. baraza la wawakilishi znz.
WE JUST TAKE STEPS FORWARD TO OUR POINT

''JAMUHURI YA WATU WA ZANZIBAR KWANZA''
 
Siwapendi hawa jamaa lakini hizi sheria za dhamana ni kandamizi. Eti ulete mdhamini toka serikalini wakati huu sekt a binafsi imeshamiri. Mimi sina ndugu anayefanyakazi serikalini inakuwaje hapo
 
Siwapendi hawa jamaa lakini hizi sheria za dhamana ni kandamizi. Eti ulete mdhamini toka serikalini wakati huu sekt a binafsi imeshamiri. Mimi sina ndugu anayefanyakazi serikalini inakuwaje hapo
Hilo nalo neno
 
hahahaha
umeishiwa wewe hapa hafungwi mtu ujui kinachoendelea ndio matatizo yako, muungano unakufa ndio unapaparika hivyooo kushinehiiii
zanzibar itatoka ndani ya muungano na walevi wakubwa waliojenga baa 200 kila mtaa(DSM). na itakua nchi huru ya kiislamu isiyo na baa hata ya dawa.
UKITAKA USITAKE UKIPENDE USIPENDE hilo linakujaaa .tushapiti
sha sheria ya kupinga marufuku biashara ya ngono,na matangazo ya pombe mambo ambayo yakiondoka watanganyika hawataweza kukaaa znz. baraza la wawakilishi znz.
WE JUST TAKE STEPS FORWARD TO OUR POINT

''JAMUHURI YA WATU WA ZANZIBAR KWANZA''

kwenye hiyo nchi huru ya kiislam ya zanzibar sasa uwe makini na uache zinaa,wizi na utapeli...mana msije kumbuka muungano kisa umekutwa unafanya zinaa na unachimbiwa shimo upopolewe kichwa...mnashabikia ila shubiri mtaiona wenyewe...

Islamists: Two stoned to death for committing adultery in Mali - CNN
 
Yule kiongozi wa kikundi cha UAMSHO Z'bar na wenzake leo wamepandishwa kizimbani wakituhumiwa kutoa maneno ya uchochezi na kusababisha vurugu ambapo hakimu aliyekuwa akisikiliza kesi hiyo amewanyima dhamana mpaka Alhamisi kwani kuna vipengele ambavyo mawakili wao walivipinga kikiwepo cha kila mtuhumiwa kuwa na wadhamini wawili ambapo mmoja wao ni lazima awe mtumishi wa serikali.

Wao wanapinga kwamba serikali ndio iliyowashitaki sasa iweje waambiwe walete mdhamini ambaye ni mtumishi wa Serikali.

Hakimu atatoa maamuzi ya hoja hizo Alhamis hivyo viongozi wa UAMSHO wamekwenda rumande.

Safi sanaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Hahahaha umeishiwa wewe hapa hafungwi mtu ujui kinachoendelea ndio matatizo yako, muungano unakufa ndio unapaparika hivyooo kushinehiiii.

Zanzibar itatoka ndani ya muungano na walevi wakubwa waliojenga baa 200 kila mtaa(DSM). na itakua nchi huru ya kiislamu isiyo na baa hata ya dawa.
UKITAKA USITAKE UKIPENDE USIPENDE hilo linakujaaa .tushapiti
sha sheria ya kupinga marufuku biashara ya ngono,na matangazo ya pombe mambo ambayo yakiondoka watanganyika hawataweza kukaaa znz. baraza la wawakilishi znz.
WE JUST TAKE STEPS FORWARD TO OUR POINT

''JAMUHURI YA WATU WA ZANZIBAR KWANZA''
Nadhani hujafanya utafiti wa kutosha..... mbona wazanzibari wengi wanaishi kwa biashara hiyo????
 
Hahahaha umeishiwa wewe hapa hafungwi mtu ujui kinachoendelea ndio matatizo yako, muungano unakufa ndio unapaparika hivyooo kushinehiiii.

Zanzibar itatoka ndani ya muungano na walevi wakubwa waliojenga baa 200 kila mtaa(DSM). na itakua nchi huru ya kiislamu isiyo na baa hata ya dawa.
UKITAKA USITAKE UKIPENDE USIPENDE hilo linakujaaa .tushapiti
sha sheria ya kupinga marufuku biashara ya ngono,na matangazo ya pombe mambo ambayo yakiondoka watanganyika hawataweza kukaaa znz. baraza la wawakilishi znz.
WE JUST TAKE STEPS FORWARD TO OUR POINT

''JAMUHURI YA WATU WA ZANZIBAR KWANZA''

zanzibar haiwezi kujitenga kamwe! chezea USA wewe.wauza ngono wengi wana lafudhi ya kizanzibar na mwambao ....unalijua hilo? ushawahi kukutana nao ukawahoji wakakwambia wanakotoka? mbona zanzibar ndiyo mnaongoza kwa mchezo ule wa sodoma na gomora? mbona hilo hamsemi au ndiyo utamaduni wenu mnaolilia muwe huru?
 
mwenye cv ya huyu sheikh mkubwa wa uamsho aiweke hapa ili wafuasi wake waone ni mtu wa aina gani wanayemwabudu kama mtume mohammed
tatizo wewe ni mtoto wa mjini kigoma, ungekuwa mtoto wa dar kiukweli ningekushangaa kusema eti watu wanamwabudu sheikh farid kama mtume.
 
Wapelekwe katikati ya bahari wafungwe mawe shingoni wazamishwe mpaka chini wapotee kabisa nguruwe hawa
 
Umenifurahisha sana mkuu,, your reason is too scientific hasa kwa sisi tuliosoma genetics a
Tamaduni za kiarabu zinaruhusu kuoa au kuolewa na mtoto wa Baba Mdogo au Mkubwa na hii inazaa interbreeding katika society za namna hiyo, na Zanzibaris are noexception.

Interbreeding leads to weaker offsprings genetically and hence they are weaker creatures physically and mentally. Kijamii all boundaries to decency are breached as the border between incestuous relationship and normality becomes very thin and this leads to degradation of morality.

Kutokuwa na adabu kwa wakubwa is a distinct hallmark of all products of such upbringing,na huyu bwana moja kwa moja ameathirika kwa hiloo.Hamna cha kushangaza hapo!
 
Hayo mashitaka mbona ni dhaifu hivyo watatoka tu kwa dhamana kabla ya Ijumaa!! Walitakiwa kushitakiwa kwa makosa ya mauaji kwani hizo vurugu walizochochea zimesababisha vifo kwa mfano wa yule polisi na wengineo. Zimesababisha uharibifu wa mali nyingi za watu na makanisa, zimesababisha terror kwa wakazi wa visiwa hivyo (terrorism) n.k. Makosa ambayo hayana dhamana kisheria. Hao watu wa Uamsho ni zaidi ya Ponda ambaye anakabiliwa na mashitaka mazito zaidi yasiyodhaminika. Tunaiomba serikali ya Zanzibar kuacha kucheka na watu hawa ili amani nautulivu uweze tena kurejea.
 
Mahakama ya Zanzibar yawapeleka rumande Sheikh Farid na viongozi wenzake na hali ya usalama yabaki shwari

source: ITV
 
Afande Mhina hata ulimboka mlisema aliteswa na jambazi sugu kutoka kenya ambalo lilienda kanisani kuungama
lakini kanisa baadae lilikanusha na juzi Ulimboka mwenyewe alisema polisi na usalama wa taifa wanahusika
kulikuwa na suala la zombe na mauaji ya wafanya biashara wa madini na kuuliwa kwake huko mabe pande kwa kupigwa risasi, polisi mulisema walikua majambazi na walipigwa risasi kutokana na kurushiana risasi huko karibu na chuo kikuu .lakini tume iliyo undwa na rais mwenyewe ikathibitisha hawa sio majambazi na walipigwa risasi huko mabwe pande
pia kuna kifo cha mwandishi wa channel 10 hayati mwangosi..polisi walikanusha kuhusika lakini ushahidi wa video na picha ulionesha wazi polisi walivo husika
pia kuna mauaji ya muuza magazeti pale morogoro
kuna kifo cha mwanachama wa chadema pale arusha , matokeo yote hayo polisi wa nchi hii wamekanusha kuhusika kwake
na hakuna katika historia kwa polisi kufanya mauaji na ikaomba radhi siku zote huwa wanaka nusha hivyo hili suala la Farid ni la kwao na maafisa usalama
na pia hili si suala la kufurahia kwa sababu Farid ni mzanzibari na muislam , kutokana na historia ya jeshi hili yalivyo basi yaliyomtokea farid yanaweza kumtokea Lema, mbowe ama slaa,
majuzi slaa alisema kuna mpango wa uslama wa taifa kutaka kumuua ambapo jeshi la polisi walikanusha na Nchimbi Alitaka Slaa afike polisi kuthibitisha madai yake ..slaa alikataa kushirikiana na polisi kwa sababu tu hawaminiki..
hivyo tuwache chuki..ya kibinafsi kwa sababu ya udini ...haisaidii kitu tusamamie haki...kama polisi wanaweza kumua ama kutaka kumdhuru slaa pia inawezekana kwa farid
mpaka hapo polisi na vyombo vya usalama watakopothibisha beyond reasable doubt kwamba hawahusuki , sio kwa njiia za intimidations basi wao ni first culprits.
 
Back
Top Bottom