Sheikh Farid na wenzake wanyimwa dhamana

Kwa vile mnaongozwa na akili taahira inawezekana! Lakini dawa ni kuwashushia kichapo tu tuone kama hiyo Idd italika!

Rais wako anausemi anasema ni upepo tuu utapita hata CDM washakula kichapo sana lakini wanasonga na UAMSHO watasonga mpaka tone la mwisho la damu
 
Hao lengo lao ilikuwa wajifiche ili wafuas wao wadai wametekwa na serikal na wapate sababu ya kuanzisha fujo, wakiigiza kuwa Viongoz wao waachiwe ili hali wamewaficha, bahat mbaya mipango imebuma

Wangemuunganisha na murder ya yule askari koplo, watu hawa bila kudeal nao tough wanatuharibia nchi na uislam kwa ujumla
 
NAAMINI SMZ WANAOKOBA MAISHA YA MAASKOFU WALIOTISHIWA MAISHA na kukimbia zanzibar . maana uamsho sio viongozi tu, 77% YA WAZANZIBAR kwa mujibu wa mmoja ya mwakilishi alidai ni UAMSHO. MAANA KAMA MTU AMEJITEKA MWENYEWE KWANINI SASA Hashatakiwi kwa kosa hilo
 
Alhamisi wakifikishwa tutegemee hakimu aliye pangiwa kusikiliza shauri anaumwa au kasafiri kikazi kesi inahailishwa tena
 
Tamaduni za kiarabu zinaruhusu kuoa au kuolewa na mtoto wa Baba Mdogo au Mkubwa na hii inazaa interbreeding katika society za namna hiyo, na Zanzibaris are noexception.

Interbreeding leads to weaker offsprings genetically and hence they are weaker creatures physically and mentally. Kijamii all boundaries to decency are breached as the border between incestuous relationship and normality becomes very thin and this leads to degradation of morality.

Kutokuwa na adabu kwa wakubwa is a distinct hallmark of all products of such upbringing,na huyu bwana moja kwa moja ameathirika kwa hiloo.Hamna cha kushangaza hapo!
 
Serikali ilimteka sheikh Farid ...na sio vinginevyo.
Kwanini SHEIKH FARID hasemi hivyo? Anaficha anazunguka UKWELI? Sasa kama ALIDANGANYA kutekwa kwake NA POLISI KUFA; Hauoni JINSI atavyowadanganya WAFUASI WAKE???

Yaani hadi leo hasemi ni POLISI wamemteka na Maswali aliyoulizwa??? SI NDIO hapo angepata UMAARUFU TELE???
 
hapa kuna maswali mengi kuliko majibu. Polisi walishasema hakutekwa, so alijiteka nyara huyu mtu.
swala ni kwamba sasa aseme alikuwa wapi? labda ndio sababu anafunguliwa kesi ya uchochezi maana ile kujiteka nyara pia ni sehemu ya kuchochea watu wafanye vurugu

Alitumia mbinu iliyopitwa na wakati na aliporudi toka mafichoni alijiona mjanja kumbe lofa tu muda huu!
 
mwenye cv ya huyu sheikh mkubwa wa uamsho aiweke hapa ili wafuasi wake waone ni mtu wa aina gani wanayemwabudu kama mtume mohammed
 
serikali haina kiburi ila inachuki mbona tarehe ya kesi ya ponda imepelekwa mbali hii nchi kunawatu wanachuki sanaaaaaaaaaaaaaaaaa

wanayochuki lakini haizidi chuki yao dhidi ya watanzania kwa ujumla kwa uzushi wanaoupandikiza kwa narrow minded people.
 
Washaingia kitanzini SMZ isiwaache hata kidogo wanatakiwa kupelekwa jela miaka 250 na adhabu kali sana wakitoka watajifunza nyama kabisa wanatuharbia Dini yetu watu wanauwawa sababu yao
 
mwenye cv ya huyu sheikh mkubwa wa uamsho aiweke hapa ili wafuasi wake waone ni mtu wa aina gani wanayemwabudu kama mtume mohammed

ni vyema kwasababu wengine waliwekeza ktk elimu ahera na kusahau elimu dunia kitu ambacho kina waathiri sana ktk ujenzi wa hoja.
 
Washaingia kitanzini SMZ isiwaache hata kidogo wanatakiwa kupelekwa jela miaka 250 na adhabu kali sana wakitoka watajifunza nyama kabisa wanatuharbia Dini yetu watu wanauwawa sababu yao

askari waliomteka wana lafudhi ya bara jamani.
 
Serikali imekosea.Pamoja na makosa hayo Wangewashtaki kwa mauaji ya askari

Soma vizuri mkuu; wameshitakiwa kwa kosa la kauli za uchochezi ambao waliufanya miezi miwili iliyopita!

Haya ndio tumekuwa tukilalamika humu JF kuwa sheria za nchi zinakiukwa na hawa wanaharakati wa Kiislamu na baadhi Vyombo vya habari vya Kiislamu lakini Serikali inakuwa na double standards ktk kutekeleza sheria.
Sasa double standards zao zimeanza ku-back fire, ndipo wanakurupuka!
 
Si wanajifanya kutoaga masharti na kuitishia serikali,wajaribu sasa.Hapo kidogo JK ameonyesha msimamo.
Hebu sasa tuone kitafuatia nini manake unaweza shangaa hawa jamaa wakafungua kesi ya madai
kwa ukasikia serikali wanatakiwa kuwalipa mamilioni ya hela.
 
Alitakiwa asomewe mashtaka ya kuua yule Polisi..ili akae ndani apate discipline
 
Back
Top Bottom