Sheikh Farid mbaroni, atakiwa kuthibitisha utekwaji wake

Capt Tamar

JF-Expert Member
Dec 15, 2011
11,736
14,635
Habari kutoka fb page yaoJumuiya Ya Uamsho na Mihadhara Ya Kiislamu Zanzibar
BREAKING NEWS.........
VIONGOZI WAKUU WA UAMSHO WAZUIWA NA POLISI AKIWEMO AMIR FARID HADI.

Jeshi la Polisi limewazuwia viongozi wakuu watano wa Uamsho bila ya kosa lolote.
Viongozi hao ni Amir Farid Hadi Ahmed,Amir Msellem Ali Mselem,sh Azzan,sh Mussa Juma na sh Hassan Bakar.
Jeshi la Polisi lilimwita Amir Farid kumchukua maelezo lakini hukuweza kwenda peke yake aliyambatana na Viongozi wenziwe.
Lakushangaza Jeshi la Polisi linavunja sheria wenyewe kwani nikinyume cha sheria walimchukua maelezo Amir Farid bila yakutaka na kumruhusu wakili wake kuweko sh Salum Taufiq.
Baada ya kumaliza kumchukua maelezo wakaamua kuwazuwia viongozi wote walokwenda bila ya kutoa sababu maalum au kutoa kosa ambalo lilowafanya wawatie ndani viongozi hao.
Inavoonekanwa Jeshi la Polisi linataka kuanza kufanya njama za kutaka kuwabandikia kesi ambazo hazina kichwa wala miguu tayari kuna tetesi kuwa wanataka kuwapa kesi ya mauaji ya askari wao aliyepigwa mapanga juzi.
Tunawambia tena jeshi la Polisi kuwa wao ndio wa mwanzo wanaovunja sheria na kuanzisha fujo kesi yoyote watakayowapa viongozi wetu ambayo itawadhalilisha wajue wataharibu Amani ya nchi hii.
Kwani hata dhamana wamekataa kutoa wanataka kuwafikisha mahakamani viongozi hao siku ya Jumatatu na kutaka kuwabandikia kesi ya mauaji ili wakose dhamana na wawadhalilishe viongozi wasipate kutolewa tena.

Tunawatahadharisha Jeshi la Polisi Amani ya nchi hii wao ndio wanaichezea kumteka wamteke na kesi wa mpe siku zote walikuwa wanae wao huyo Askari wao alimuua sangapi?
Wao ndio wanaowabuudhi wananchi kuwapiga ovyo katika maeneo tofauti wakishirikiana na KMKM na KVZ halafu sasa wanataka kuwambia viongozi wetu ndio walioanzisha fujo.
Ila wananchi nyote munaombwa muwe watulivu na mutunze amani kwa sasa huku Mawakili wetu wakishulikia kesi hiyo pamoja na Viongozi wengine.
Ila tunaombwa pia tufike kwa wingi Mahakani siku ya Jumatatu watakapoasomewa mashataka yao,mpaka sasa hatujajua watapangiwa Mahakama ipi.

Tuachiwe Tupumuwee......Hao ndiyo Uhamisho bana!!kila kitu wanaonewa wao!!this time naona tuwaonee jumla,
 
Dawa pekee ni serikali kuamua kuwa ama moto ama baridi haiwezekani waue polisi na bado serikali inawa pet!wa dar walifika hadi kwenye milango ya ikulu,hawa uhamisho watazama ndani kabisa!!sipati picha ingekuwa ni chadema!!maiti zingesombwa kwa katapila ila kwa kuwa hawa hawana athari ya moja kwa moja kwa ccm waachwe tu.
 
Habari kutoka fb page yaoJumuiya Ya Uamsho na Mihadhara Ya Kiislamu Zanzibar
BREAKING NEWS.........
VIONGOZI WAKUU WA UAMSHO WAZUIWA NA POLISI AKIWEMO AMIR FARID HADI.

Jeshi la Polisi limewazuwia viongozi wakuu watano wa Uamsho bila ya kosa lolote.
Viongozi hao ni Amir Farid Hadi Ahmed,Amir Msellem Ali Mselem,sh Azzan,sh Mussa Juma na sh Hassan Bakar.
Jeshi la Polisi lilimwita Amir Farid kumchukua maelezo lakini hukuweza kwenda peke yake aliyambatana na Viongozi wenziwe.
Lakushangaza Jeshi la Polisi linavunja sheria wenyewe kwani nikinyume cha sheria walimchukua maelezo Amir Farid bila yakutaka na kumruhusu wakili wake kuweko sh Salum Taufiq.
Baada ya kumaliza kumchukua maelezo wakaamua kuwazuwia viongozi wote walokwenda bila ya kutoa sababu maalum au kutoa kosa ambalo lilowafanya wawatie ndani viongozi hao.
Inavoonekanwa Jeshi la Polisi linataka kuanza kufanya njama za kutaka kuwabandikia kesi ambazo hazina kichwa wala miguu tayari kuna tetesi kuwa wanataka kuwapa kesi ya mauaji ya askari wao aliyepigwa mapanga juzi.
Tunawambia tena jeshi la Polisi kuwa wao ndio wa mwanzo wanaovunja sheria na kuanzisha fujo kesi yoyote watakayowapa viongozi wetu ambayo itawadhalilisha wajue wataharibu Amani ya nchi hii.
Kwani hata dhamana wamekataa kutoa wanataka kuwafikisha mahakamani viongozi hao siku ya Jumatatu na kutaka kuwabandikia kesi ya mauaji ili wakose dhamana na wawadhalilishe viongozi wasipate kutolewa tena.

Tunawatahadharisha Jeshi la Polisi Amani ya nchi hii wao ndio wanaichezea kumteka wamteke na kesi wa mpe siku zote walikuwa wanae wao huyo Askari wao alimuua sangapi?
Wao ndio wanaowabuudhi wananchi kuwapiga ovyo katika maeneo tofauti wakishirikiana na KMKM na KVZ halafu sasa wanataka kuwambia viongozi wetu ndio walioanzisha fujo.
Ila wananchi nyote munaombwa muwe watulivu na mutunze amani kwa sasa huku Mawakili wetu wakishulikia kesi hiyo pamoja na Viongozi wengine.
Ila tunaombwa pia tufike kwa wingi Mahakani siku ya Jumatatu watakapoasomewa mashataka yao,mpaka sasa hatujajua watapangiwa Mahakama ipi.

Tuachiwe Tupumuwee......Hao ndiyo Uhamisho bana!!kila kitu wanaonewa wao!!this time naona tuwaonee jumla,

huna jipya nenda wewe ukazuiwe!
 
Elimu shida, wameshindwa hata kuandika kwa ufasaha hiyo habari!!! duh!

Hapo wamejitahidi sana mkuu wangu!!usijekuta imepita kwenye mikono zaidi ya kumi kuisahihisha kabla haijafika mtandaoni,hawa watu wana shida nyingi mno,hawasaidiki.
 
Serikali isirudi nyuma.Uvumilivu kwisha.Hao wasirudiuraianu tena.Halafu nyie uamsho muamke kwenye elimu pia.hamasisheni kwenda shule maana hata writing skills bado.
 
Habari kutoka fb page
yaoJumuiya Ya Uamsho na Mihadhara Ya Kiislamu Zanzibar
BREAKING NEWS.........
VIONGOZI WAKUU WA UAMSHO WAZUIWA NA POLISI AKIWEMO AMIR FARID HADI.

Jeshi la Polisi limewazuwia viongozi wakuu watano wa Uamsho bila ya kosa
lolote.
Viongozi hao ni Amir Farid Hadi Ahmed,Amir Msellem Ali Mselem,sh
Azzan,sh Mussa Juma na sh Hassan Bakar.
Jeshi la Polisi lilimwita Amir Farid kumchukua maelezo lakini hukuweza
kwenda peke yake aliyambatana na Viongozi wenziwe.
Lakushangaza Jeshi la Polisi linavunja sheria wenyewe kwani nikinyume
cha sheria walimchukua maelezo Amir Farid bila yakutaka na kumruhusu
wakili wake kuweko sh Salum Taufiq.
Baada ya kumaliza kumchukua maelezo wakaamua kuwazuwia viongozi wote
walokwenda bila ya kutoa sababu maalum au kutoa kosa ambalo lilowafanya
wawatie ndani viongozi hao.
Inavoonekanwa Jeshi la Polisi linataka kuanza kufanya njama za kutaka
kuwabandikia kesi ambazo hazina kichwa wala miguu tayari kuna tetesi
kuwa wanataka kuwapa kesi ya mauaji ya askari wao aliyepigwa mapanga
juzi.
Tunawambia tena jeshi la Polisi kuwa wao ndio wa mwanzo wanaovunja
sheria na kuanzisha fujo kesi yoyote watakayowapa viongozi wetu ambayo
itawadhalilisha wajue wataharibu Amani ya nchi hii.
Kwani hata dhamana wamekataa kutoa wanataka kuwafikisha mahakamani
viongozi hao siku ya Jumatatu na kutaka kuwabandikia kesi ya mauaji ili
wakose dhamana na wawadhalilishe viongozi wasipate kutolewa tena.

Tunawatahadharisha Jeshi la Polisi Amani ya nchi hii wao ndio
wanaichezea kumteka wamteke na kesi wa mpe siku zote walikuwa wanae wao
huyo Askari wao alimuua sangapi?
Wao ndio wanaowabuudhi wananchi kuwapiga ovyo katika maeneo tofauti
wakishirikiana na KMKM na KVZ halafu sasa wanataka kuwambia viongozi
wetu ndio walioanzisha fujo.
Ila wananchi nyote munaombwa muwe watulivu na mutunze amani kwa sasa
huku Mawakili wetu wakishulikia kesi hiyo pamoja na Viongozi wengine.
Ila tunaombwa pia tufike kwa wingi Mahakani siku ya Jumatatu
watakapoasomewa mashataka yao,mpaka sasa hatujajua watapangiwa Mahakama
ipi.

Tuachiwe Tupumuwee......Hao ndiyo Uhamisho bana!!kila kitu wanaonewa
wao!!this time naona tuwaonee jumla,

Mkuu utasemaje kuwa hawana hatia ya Mauaji ya Askari wakati chanzo cha machafuko ni huyo Faridi kujifanya katekwa nyara wakati si kweli na hali hiyo ikasababisha vurugu z,bar yote! anyongwe tu!
 
Duh kushindana na hawa wendawazimu kazi kweli kweli,maana ni sawa na kumkimbiza mwendawazimu aliye uchi Kisha kakuibia nguo lazima naww utaonekana chizi
 
Habari kutoka fb page yaoJumuiya Ya Uamsho na Mihadhara Ya Kiislamu Zanzibar
BREAKING NEWS.........
VIONGOZI WAKUU WA UAMSHO WAZUIWA NA POLISI AKIWEMO AMIR FARID HADI.

Jeshi la Polisi limewazuwia viongozi wakuu watano wa Uamsho bila ya kosa lolote.
Viongozi hao ni Amir Farid Hadi Ahmed,Amir Msellem Ali Mselem,sh Azzan,sh Mussa Juma na sh Hassan Bakar.
Jeshi la Polisi lilimwita Amir Farid kumchukua maelezo lakini hukuweza kwenda peke yake aliyambatana na Viongozi wenziwe.
Lakushangaza Jeshi la Polisi linavunja sheria wenyewe kwani nikinyume cha sheria walimchukua maelezo Amir Farid bila yakutaka na kumruhusu wakili wake kuweko sh Salum Taufiq.
Baada ya kumaliza kumchukua maelezo wakaamua kuwazuwia viongozi wote walokwenda bila ya kutoa sababu maalum au kutoa kosa ambalo lilowafanya wawatie ndani viongozi hao.
Inavoonekanwa Jeshi la Polisi linataka kuanza kufanya njama za kutaka kuwabandikia kesi ambazo hazina kichwa wala miguu tayari kuna tetesi kuwa wanataka kuwapa kesi ya mauaji ya askari wao aliyepigwa mapanga juzi.
Tunawambia tena jeshi la Polisi kuwa wao ndio wa mwanzo wanaovunja sheria na kuanzisha fujo kesi yoyote watakayowapa viongozi wetu ambayo itawadhalilisha wajue wataharibu Amani ya nchi hii.
Kwani hata dhamana wamekataa kutoa wanataka kuwafikisha mahakamani viongozi hao siku ya Jumatatu na kutaka kuwabandikia kesi ya mauaji ili wakose dhamana na wawadhalilishe viongozi wasipate kutolewa tena.

Tunawatahadharisha Jeshi la Polisi Amani ya nchi hii wao ndio wanaichezea kumteka wamteke na kesi wa mpe siku zote walikuwa wanae wao huyo Askari wao alimuua sangapi?
Wao ndio wanaowabuudhi wananchi kuwapiga ovyo katika maeneo tofauti wakishirikiana na KMKM na KVZ halafu sasa wanataka kuwambia viongozi wetu ndio walioanzisha fujo.
Ila wananchi nyote munaombwa muwe watulivu na mutunze amani kwa sasa huku Mawakili wetu wakishulikia kesi hiyo pamoja na Viongozi wengine.
Ila tunaombwa pia tufike kwa wingi Mahakani siku ya Jumatatu watakapoasomewa mashataka yao,mpaka sasa hatujajua watapangiwa Mahakama ipi.

Tuachiwe Tupumuwee......Hao ndiyo Uhamisho bana!!kila kitu wanaonewa wao!!this time naona tuwaonee jumla,

Usalama wa taifa sijui kwa nini wanawacheleweshe hawa wapumbavu?
 
Mbona serikari inawaogopa hawa vichaaa, vipi risasi ni kwajili ya mandamano ya chadema tu?
 
Only for a weak and unforeseen president can be tested stupidity like this.

Leave all good Muslim in a real sense, majority part of Muslims are good people unfortunately a terrorism minority part

under Muslim image confiscating and undermining the majority and all other Tanzanians, these should haven been put

into custody completely and no chance for discussion or making dialog a long time a go.

The life of more than 45m Tanzanians are in danger fore the sake of making happy a minority group under farred & Ponda this is not acceptable.
 
So what about UAMSHO
 
Chanzo cha vurugu za Zanzibar ni Uamsho, ni sawa wakifikishwa katika mikono ya sheria.
 
Hivi wanafikiri serikali haiko macho nini??

Chanzo cha vurugu za Zanzibar ni Uamsho, ni sawa wakifikishwa katika mikono ya sheria.

Naunga hoja mkono! Kama si wao haya yaliyotokea ktk mtazamo wa haraka haraka yangetokea wapi?

Wote kesi ya mauaji ingewapendeza kabisa!
 
Back
Top Bottom