Sheikh Farid amewahi kutumikia Jeshi la Qatar

mpigauzi

JF-Expert Member
Jul 17, 2012
275
71
Wakuu taarifa ambazo nimepata katika pita pita zangu nimeambiwa kiongozi wa kikundi cha Uamsho Sheikh Farid amewahi kutumikia Jeshi la Qatar. Mwenye taarifa zaidi atujuze ni lini aliacha utumishi Jeshini na anafadhiliwa na nani.

************
Oktoba 24, 2012

Sheikh Farid wa Uamsho ni Raia wa Yemen-Jambo Leo 24/10/12

....Ametumikia jeshi la Qatar
....Amepitia mafunzo ya Al Qaeda

My take:
Kwa nini hawa wahamiaji wanaachiwa sana watambe kuvuruga amani ya Tanzania. Tunaona muhamiaji mwingine Sheikh Ponda anavyovuvuruga na tunamlea lea tu..
 
Wakuu taarifa ambazo nimepata katika pita pita zangu nimeambiwa kiongozi wa kikundi cha Uamsho Sheikh Farid amewahi kutumikia Jeshi la Qatar. Mwenye taarifa zaidi atujuze ni lini aliacha utumishi Jeshini na anafadhiliwa na nani.

amewahi kuwa pilot wa ndege ya kijeshi.

ikumbukwe uarabuni kuwa rubani haiitaji shule ila ukaribu na watawala.
 
Wakuu taarifa ambazo nimepata katika pita pita zangu nimeambiwa kiongozi wa kikundi cha Uamsho Sheikh Farid amewahi kutumikia Jeshi la Qatar. Mwenye taarifa zaidi atujuze ni lini aliacha utumishi Jeshini na anafadhiliwa na nani.

wivu wako nini wewe na Faridi si Mtanganyika? ikiwa kufanya kazi Qatar ndio Zambi, Basi wako wengi tu Wazanzibar wanafanya kazi Gulf Tena Jeshini na Serekali ya Mapinduzu ya Zanzibar inajuwa hilo na lipo kabla ya Muungano na Tanganyika.

Jee kuwa na jamma Gulf vipi? maana Wazanzibar takribani nusu wana jamaa huko sasa tuseme vipi? hebu wacha wazimu kama munasema Watanganyika na Wazanzibar nindugu basi na gulf na Wazanzibar wana damu vile vile kwa vile walikuja na kuoa na kuzaa.

Hebu rudi usome historia ya visiwa vya zanzibar na watu wake, basi mwambie rais wako kikwete awazuwie basi, kama imekuwa wivu?.
 
hizi ni akili za kitanganyika chuki na ubinafsi kwani faridi akifanya kazi oman au qatar ndio nini au yeye ni mweupe tu ndio ulete bla bla za ubaguzi kuna watu weusi wazanzibar wako qatar na polisi wengine ni majeshi wengine pilot na wengine ni wahasibu wa mabenki nini nyinyi watanganyika mukifika oman dubei nyote munasema ni wazanzibar mupate ajira mbuzi nyiee chuki roho mbaya na ubaya nenda dubei kuna madactari tele wazanzibar shata maofisa wa uhamiaji nenda sharja na ajman nenda kuweit pia.
 
wakristo hawapaswi tuwajibu ndugu zetu kwa nguvu za hoja tulizonazo ili wajue kuwa Mungu wetu anawapenda na Yesu alimwaga damu yake ili wasitoe muhanga na waokoke.

kuhusu shehe farid, hilo ni suala la usalama wetu wote na ni wajibu wa mtu mwenye taarifa akaripoti polisi ili wafanye uchunguzi.Hawezi kuwa gaidi hadi pale itapothibitika hivyo. Na kama ni gaidi basi watu wote,bila ya kujali dini na familia zetu,tujihadhali nae kwani akilipua bomu litamuua yeyote aliye karibu bila ya kujali dini zetu.
 
sitashangaa labda ndio anakopata wafadhili huko wanataka muungano uvunjike ili waarabu wa qatar waje kununua zenji
 
Wakuu taarifa ambazo nimepata katika pita pita zangu nimeambiwa kiongozi wa kikundi cha Uamsho Sheikh Farid amewahi kutumikia Jeshi la Qatar. Mwenye taarifa zaidi atujuze ni lini aliacha utumishi Jeshini na anafadhiliwa na nani.

Farid Farid (ﺪﻳﺮﻓ ) also spelt Ferid or Fareed is an Arabic masculine personal name, meaning "unique".
Farid is a common male
name in the Middle East, the Balkans,and South East Asia.
 
Wewe unatumia makalio kufiri sasa anza kukalia kichwa kwakua hakifanyi kazi,

Na ww maarko unatumia tundu unayopitishia haja kubwa kufikiri maana haingii akilini great thinker aongee utumbo ulouongelea jenga hoja na sio porojo
 
Kakke

HII KALI YAANI WATZ ASILI YA ZENJI NI VIGEUGEU. HUU UPOLE DHIDI YA FARID UNATOKA WAPI? MWAKA 2005 TULIPOTAKA KUMWEKA MADARAKANI SALIM WAZENJI WALIFUNGA VIBWEBWE KUUTANGAZA UARABU WA SALIMU NA KUWAAMINISHA WATZ KUWA SALIMU SI MTANZANIA.LEO FARID ANAPIGIWA UPATU KUAFNYA KAZI KWAKO QATAR NI ZAMBI. TUNWAELEWEJE.

MNATUMIKA KIMASLAHI. KUMBE TUMEGUNDUA TUN WATU WA NJE WAMEONA BONGO HAKUNA FUJO WANAANZISHA VIELEMENT VYA UCHOCHEZI WA KIDINI ILI TUMWAGE DAMUFARDI - MQATAR- KIONGOZI WA UAMSHO ZANZIBARSHEHE PONDI MRUNDI- KIONGOZI WA TAASISI ZA KIISLAMU NA MHADHIRI WA MIHADHARA YA UCHOCHEZI HUKU BARAHAWA WOTE HAWAITAKI MEMA NCHI YETU AMBAYO SI YAO .

HAPA MNAONA WATANZANIA LENGO SI DINI ILA NI KUONA TZ INAINGIA UKURASA MWINGINE WA KUCHINJANA KAMA HUKO BURUNDI NA UARABUNIJE WATANZANIA WENYE MAPENZI MEMA NDO MNAYATAKA HAYA? SWALI
 
Last edited by a moderator:
wivu wako nini wewe na Faridi si Mtanganyika? ikiwa kufanya kazi Qatar ndio Zambi, Basi wako wengi tu Wazanzibar wanafanya kazi Gulf Tena Jeshini na Serekali ya Mapinduzu ya Zanzibar inajuwa hilo na lipo kabla ya Muungano na Tanganyika.

Jee kuwa na jamma Gulf vipi? maana Wazanzibar takribani nusu wana jamaa huko sasa tuseme vipi? hebu wacha wazimu kama munasema Watanganyika na Wazanzibar nindugu basi na gulf na Wazanzibar wana damu vile vile kwa vile walikuja na kuoa na kuzaa.

Hebu rudi usome historia ya visiwa vya zanzibar na watu wake, basi mwambie rais wako kikwete awazuwie basi, kama imekuwa wivu?.

Jamaa hasira mpaka anakosea kuandika.
 
Wakuu taarifa ambazo nimepata katika pita pita zangu nimeambiwa kiongozi wa kikundi cha Uamsho Sheikh Farid amewahi kutumikia Jeshi la Qatar. Mwenye taarifa zaidi atujuze ni lini aliacha utumishi Jeshini na anafadhiliwa na nani.

Ni kweli na alifukuzwa Qatar kwa tabia zake za uchochezi yule ni mwanajeshi kamili na gaidi aliyehitimu zenji wanajua hilo ndiyo maana wanamuogopa kwakuwa wameshafanya kosa la kumkaribisha na ni muongo ile mbaya kama ilivyothibitika juzi hakutekwa wala nini alitaka kumtingisha Dr. Shein tu aonekane dhaifu na muoga
 
hizi ni akili za kitanganyika chuki na ubinafsi kwani faridi akifanya kazi oman au qatar ndio nini au yeye ni mweupe tu ndio ulete bla bla za ubaguzi kuna watu weusi wazanzibar wako qatar na polisi wengine ni majeshi wengine pilot na wengine ni wahasibu wa mabenki nini nyinyi watanganyika mukifika oman dubei nyote munasema ni wazanzibar mupate ajira mbuzi nyiee chuki roho mbaya na ubaya nenda dubei kuna madactari tele wazanzibar shata maofisa wa uhamiaji nenda sharja na ajman nenda kuweit mbuzi nyie tumechoka na muungano wenu kheri tungeungana na ngombe kuliko tanganyika munashindwa hata kufikiria muungano wa usawa ili kuwe na maendeleoo watanganyika wanaume wanauza ugoroo tuu kwenye khalij na wazzanzibar ndio mabasha
Daah!ukweli waislam mumenipa mtizamo ambao sikuwahi kuwa nao maishani mwangu.

Kama hamfahamu,badala ya kuweka mtizamo mzuri kuhusu dini yenu,mumeuharibu kabisa!Sijui ni kitu gani?

Toka JK achukue nchi kumebadilika sana,na hata wale walioukuwa hawana maoni yoyote kuhusu uislam,mmesababisha wawe na picha mbaya sana kuhusu dini hiyo,take it or leave it ndo ukweli huo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom