Sheikh Abdallah said: "We want all bars and restaurants to be closed. Zanzibar

"Hakika sisi tumewaandalia makafiri minyororo na pingu na moto mkali'' Quran: 76:4.
"Hakika watu wema watakunywa katika vinywaji vilivyochanganywa na kafur**i" Quran:76:5.
"Na humo watanyweshwa kinywaji kilicho changanywa na tangawizi" Quran:76:17
"Watanywesha kinywajisafi kilichotiwa muhuri" Quran:83:25

**Kafuri= aina ya kitu chenye ladha kama mdalasini au menthol (pipi kifua)

Badala ya kujibu post ya jamaa wewe unaitafsiri na kuipa maana unayotaka wewe,huna maana.

Bado unakimbia na kuogopa kujibu swali: Hilo jina la islam lilitungwa lini na Marehemu Muham-mad? Ngoja nikusaidie, Hivi lilitungwa alipo pewa utume na mkewe au alipo pigwa kabali na Gibreel?

"Sema; Hakika Mola wangu Mlezi ameniongoza kwenye njia iliyonyooka, Dini iliyo sawa kabisa, ambayo ndio mila ya Ibrahim aliyekuwa mwongofu, wala hakuwa miongoni mwa washirikina. Quran:Al Ana'am 161.
(Dini ya Muhammad S. A. W, ni Dini ya Ibrahim na Ibrahim A.S, yeye hakuwahi kuwa Mshirikina = kuabudu sanamu au waungu watatu !)

We ustadhi una matatizo gani mbona haujibu swali?

Hivi hawa binadamu waliofutiwa uwezo wa kutafakari na koran waitwao waislam, naomba niwaulize swali. Mkidanganyana misikitini na kwenye vijiwe kwenu mnaelezwa thawabu nlizowekea na allah wenu kama mkiishi na kutenda yapasayo kwa muujibu wa quaran,huku mkinena yale mabaya yatakayo wapata wale wote wasiotenda kwa mujibu wa maamrisho ya quaran na marehemu muhammad, thawabu zenu ni pamoja na mabikra wanaowasubiri wakiwa wamepanua miguu,hasara ikiwa ni pamoja na kwenda motoni.
Kwa kuchoma bar hamwoni kama mnashurutisha waaliokinai ngono duniani na akhera wameona bora waende motoni ?
Kama moto upo kwa ajili ya walevi et al, then kwanini mnajipendekeza kwa mungu wenu allah kwa kutaka kulazimisha watu wote waende peponi. Au ndo 'if you can't convise them comfuse them' mushindwe na mulegee,wengine hatutaki kwenda kufanya ngono na mabikra wa pepo yenu.

Aiseeeeh kumbe hata kusaliamia sasa itakuwa tabu na hawa

Kumbe kunawa kwamaji niuchafu,na kunawa kwa makaratasi ndio usafi?

Natarajia iko siku mutatumia makaratasi kuogea badalaya maji labda mutasafika zaidi.

Kuhusu UISLAM :ni neno la kiarabu lenye maana ya kujisalimisha na maovu Au kujitenga na maovu,ndio maana waislam wakatumia jina hili ili kujitofautisha na waovu au wanaoendeleza maovu.

Kumbe kunawa kwamaji niuchafu,na kunawa kwa makaratasi ndio usafi?

Natarajia iko siku mutatumia makaratasi kuogea badalaya maji labda mutasafika zaidi.

Kuhusu UISLAM :ni neno la kiarabu lenye maana ya kujisalimisha na maovu Au kujitenga na maovu,ndio maana waislam wakatumia jina hili ili kujitofautisha na waovu au wanaoendeleza maovu.
kaka vipi ? mbona unazibeza sana karatasi za chooni? kama mmelazimishwa kutawaza na maji kwenye korani si powa tu..its a matter of choice..!we unaringa mpaka kutawaza na maji bana...mbona uko low sana! sasa na dada zenu wanatumia taulo za akina mama zilizoainishwa kwenye korani au za kisasa? dah!

jamanii,hii si nchi ya kidemokrasia na mtu yeyote anaefikiri hii nchi ni yake au ni mzalendo asilimia mia,atajikuta anapoteza kila kitu.saudia,oman,indonesia kuna mabar,zanzibar ndio waislamu safi au waislamu wanafiki wanochanganya siasa na dini
waende dubai wakaone wenzao..! dini za kudandia huwa zinasumbusua sana watu!

Ile aya ya mwanzo kabisa kushuka ilihimiza kusoma Mwenyeezi Mungu alikuwa na maana sana. Nina wasiwasi na uelewa wa dini wa huyu sheikh anayesupport hivi vitendo vya uvunjifu wa amani na ndio hawa hawa wanaofanya sisi waislamu tuchukiwe. Aelewe kuwa haihitaji akili ya ziada kujua kuwa ni M.Mungu mwenyewe ndiye anayejua kuhukumu na ni uislam ambao salamu ya ni kutakiana amani nikimaanisha asalam aleikum.... Tumehimizwa waislamu kutafuta maelewano kwa muafaka. Mtume SAW alipoambiwa na watu wa maka awe naratiba ya kusali siku kadhaa kwa miungu ya watu wale na siku kadhaa waje wasali Mungu wa Mtume SAW Allah (SW) kwa busara zake alimshushia sura na moja wapo ya aya inasema hivi "wao wana dini yao na wewe una dini yako" hakumwambia achome nyumba zao au awaue. Huyo sheikh ajue kuwa hao vijana hawataweza kuchoma baa kubwa kama mahotel ya kitalii na watakapo rudisha wali waliochomewa Zanzibar haitakuwa na amani. Hili hakutakiwa kulitolea tamko kama yeye kweli nimueledi ilitakiwa akae kimya Matokeo yake Jamii inachukulia uislamu ni dini hatarishi kwa kauli kama hizi. Niko tayari kukosolewa kwa hili

Mungu ni mwema na ndio maana aya ya kwanza kushushwa ilikuwa inaanza na neno Soma. M.Mungu alijua kabisa mtu akisoma na akaelimika atakuwa na uwezo wa kupambanua mazuri na mabaya na kujenga jamii bora na yenye amani WTFQ

safi sana, choma bar zote hizo, washenzi hao wanataka kuharibu maadili ya zanzibar, bora muungano ufe ili zanzibar iwe nchi ya kiislam halafu tumuone mwanaharam yoyote anakuja kufungua bar, tutanyongaaa.

safi sana, choma bar zote hizo, washenzi hao wanataka kuharibu maadili ya zanzibar, bora muungano ufe ili zanzibar iwe nchi ya kiislam halafu tumuone mwanaharam yoyote anakuja kufungua bar, tutanyongaaa.

Salman Rushdie alisema SATANIC verses in a satanic religion wakataka kumuua, kila mmoja ana uhuru wa kula anachotaka ( within the law) mradi hakiingilii uhuru wa mtu. kama hunywi pombe wanaokunywa wanakudhuru nini. Shetani nyie

Zanzibar — The Zanzibar Muslim Youths Mobilisation and Propagation group has said it supports the recent wave of burning of bars in the isles, and vowed to take tougher action against people selling alcohol.

"We support those burning bars, although we have not urged them to do so. We ask the government to make sure all small restaurants and bars are closed....," the group's leaders, Sheikh Msellem Ali, Sheikh Azzan Khalfan and Sheikh Abdallah, said.

Sheikh Abdallah said: "We want all bars and restaurants to be closed.... read more allAfrica.com: Tanzania: Zanzibar Group Supports Arsonists Targeting Bars

ushoga na mihadarati hawaupigi vita kweli hii kali

Kumbe kunawa kwamaji niuchafu,na kunawa kwa makaratasi ndio usafi?

Natarajia iko siku mutatumia makaratasi kuogea badalaya maji labda mutasafika zaidi.

Kuhusu UISLAM :ni neno la kiarabu lenye maana ya kujisalimisha na maovu Au kujitenga na maovu,ndio maana waislam wakatumia jina hili ili kujitofautisha na waovu au wanaoendeleza maovu.

Pole sana, hivi ni kunawa au kuch...ba?

wewe ulikuwa ujui hilo... pole.... ndio maana tunasheria zetu pia.. na system yetu ya utawala "khalifat"

Kwahiyo Allah anafanya kazi kama viumbe vyake. Sasa sharia zinamsaidia vipi allah wenu?

Sijui kama huu ndio ule 'uliberali' aliokuwa anaongea Jussa kwenye mdahalo week iliyopita. Kitu kinachonishanga ni kwamba hadi sasa serikali haijasema chochote kuhusu huu uchomaji wa bar! Lakini kodi wanapokea bila shida. Malipo ya VAT kwa upande wa zanzibar pombe ndio inaongoza kwa kutoa kodi.

Lakini jambo moja kubwa ni uchumi wa Zanzibar. Utalii ndio sekta inayoongoza. na hizi taarifa za kuchoma moto zimeshaanza kusambaa kwenye international media outlets. Sasa hivi hotel zote zikifungwa watu wataathirika vibaya. Sio muuza nyanya wala mwendesha taxi atakayesalimika. wote watapoteza mapato.

Sijui ni idea ya nani hii ya kuchoma bar. na dhambi ni kunywa pombe tu?
hawa jamaa wangekuwa wanajua eco-system, wala wasingethubutu kuwa
na wazo la kitoto kama hili.

halafu waache kuja kununua noah zetu huku tanga...kwa kweli
hawatutendei haki watumiaji halali wa noah kwani kwao ni najisi
cha kushangaza wanachinja wenyewe na kuzisafirisha
kwa boat kwenda huko kwao.

wenzao wanaongeza idadi ya shule na vyuo pamoja na vitegauchumi kama viwanda vidogo na mvinyo wa ukweli ule wa church wao wanahangaikia upumbavu shauri zao. Tbl na TCC ndo walipakodi wakubwa nchini sijui uelewa wao umeishia kwenye kuchamba sababu ya kupenda kula na kuoa vibinti visivyokuwa na elimu.

Back
Top Bottom