Sheikh Abdallah said: "We want all bars and restaurants to be closed. Zanzibar

Wakimaliza bar waende kwenye makanisa, nyumba za machogo, maana hayo ndio maadili kwao
 
Kufunga au kuchoma bar hakuwezi kukomesha ulevi au unywaji. madawa ya kulevya yapo ingawa mtaifa yamejizatiti hadi kutumia majeshi. nawashauri wanaharakati wawashauri na kuwakataza watu wao waache kunywa pombe kamani waumini wao wawachukulie hatua. kuchoma bar ni uvunjaji sheria na amani na ni fikra finyu kwa kipind tulichpo sasa
 
Intolerance be it religious,racial etc has dangerous and sometimes unintended consequences more so if extremest are in the driving seat. We know too well the excess extremist are capable of remember Al Shaabab ban simple pleasure of watching premier football as being unislamic or Boko Haaram condeming and banning western type education of eroding islamic values. We ought to tread very carefully.
 
Mkimaliza kuchoma small bars na restaurant,muingie big bars na hotels kwani niliwahi kuwepo huko kwenye big hotels. Huko watu wanagonga ma bia,wine,whisk,ma pork ribs,ma pork chop sour,smoked pork na kadhalika kiulaini tena bila bugdha yeyote. Unywaji pombe hovyo na bila control (Ulevi) kwa Tanzania nzima ni kosa kisheria lakini kwa nini mnazionea hizo small restaurants na bars ambazo wengi wa wamiliki ni wazanzbar,wazanzibara na watanganyika ambao pia wana leseni zilizotolewa kisheria na serikali hiyohiyo inayowaongoza. Si mshirikiane na jeshi la polisi kukamata individuals ambao watakutwa wamelewa kupita kiasi na wana misbehave mabarabarani (elewa kuna kiwango maalum kisheria ambacho mtu anaruhusiwa kukutwa nacho hata akiwa ana drive),kidogo ingeeleweka motive yenu. Endeleeni na mambo hayo na uchumi utakua kwa kasi!
 
Zanzibar - The Zanzibar Muslim Youths Mobilisation and Propagation group has said it supports the recent wave of burning of bars in the isles, and vowed to take tougher action against people selling alcohol.

"We support those burning bars, although we have not urged them to do so. We ask the government to make sure all small restaurants and bars are closed....," the group's leaders, Sheikh Msellem Ali, Sheikh Azzan Khalfan and Sheikh Abdallah, said.

Sheikh Abdallah said: "We want all bars and restaurants to be closed.... read more allAfrica.com: Tanzania: Zanzibar Group Supports Arsonists Targeting Bars

Hawa ndiyo Waislam wa Ukweli,Uislam hauhitaji mtu kutafakari ni kutenda kwa muujibu wa maamrisho ya Mtume wao marehemu Mohammad,Kwa wale wote wanao uangalia Uislam kwa busara ya kawaida wataona wanaochoma bar ni wendawazimu,lakini kwa wale wanaofahamu Uislam kama mafundisho yake yalivyo hao ndo waislam ambao Mabikra waliopanua miguu wanawasubiria kwenye heri yao. Issue sio Bar tu,Waislam wakiamua kuyatenda yawapasayo kama ilivyo kwenye Koran na Hadith JF itajaa thread za mishangao,Mwislam hatakiwi kufikiri anatakiwa kutenda kama alivyoamliwa na marehemu Mohammad neno kwa neno. Kufikiri kutabaki kwa wale waislam wa kuchovya na wale wasio waislam.
 
umenena vyema kabisa, kitufe cha like na thanks hakipo ningekugongea mkuu
 
kwa mujibu wa takwimu kampuni inayoingiza mapato mengi TRA ni TBL kwa uuzaji wa BIA na wazanzibari katika bajeti yao huwa kuna fungu wanachota huku kwetu kama vipi fungu lile lifungiwe pia tunawaambia huwezi kwenda mbingujni kisa ulichoma baa ya mchaga huo muda bora ukazalishe mALI
pia nyie watu mbona huwa mnakunywa sana kiasi kwamba mwenzi ule wa mfungo wateja hupungua kwa kiasi kikubwa sana
 
hongereni sana wazanzibar !!... POMBE NDIO CHANZO CHA DHAMBI ZOTE..... nyie mnaosema waanze na mahoteli makubwa.. kumbukeni watoto wa primary na secondary hawawezi kufika kule...... kuchoma hizi baa za mitaani zitasaidia kulinda maadili ya watoto wao..

natamani mishemishe hizi zingekuwa kule kwetu tanga nako.. tuchome baa zote!!
 
mnachofanya ni kosa la jinai, hakuna justification.
Msijifiche kwenye kivuli cha dini kufanya ushenzi, mkiambiwa yours is a questionable one, mnang'aka!
justification ni dini. hivi dini yako kweli ulevi unaruhusiwa? usiikumbatie dunia kwa akhera yako. hata dini yako hairuhusu ndo ukweli lakini kwa kuwa mnaamini mnayoyataka na kuyaacha mnayoyataka ndo matatizo haya unaeleza upuuzi mtupu
 
Zenji ndo wanaongoza kwa kilaji baada ya dsm,hata nguruwe pia ni walaji sana zinauzwa kwenye gereji ona kipindi cha mfungo biashara inavyododa ya kitimoto,wanafiki wakubwa kila mtu zenji anaagiza sprite au club soda kumbe ndani katia viroba
 
kuna watanganyika wako kule na wanaendesha maisha yao ya kawaida kule!
one thing, why all small restraurants and bars only? huko serena hotel hawauzi pombe na wateja hawanunui ngono?eh, ntashangaa kesho!wangedili na madawa ya kulevya,ambayo watu wanaingizwa kwa mtego ingekua na impact zaidi!
Nadhani kuna maeneo ambayo yameruhusiwa rasmi kuhuza pombe, na ni nje ya makazi ya watu... Nadhani ni uko kwenye mahoteli ya litalii, ambako kwa Zanzibar nasikia mzalendo mtu mweusi mwananchi haruhusiwi kuingia.

Sheria za Mainland Tanzania zinaruhusu uhuzwaji wa vileo in bars, hotels, restaurants, and supermarkets with no restrictions. The exception is the coast and Zanzibar, where, away from the large resorts, small Muslim-owned restaurants generally do not offer liquor... Sasa ikitokea mwananchi akafungua bar au kuuza pombe kwenye makazi ya watu, na hali tunajuwa kuwa Tanzania hata mtoto wa miaka nane anaweza kutumwa bar na mzazi wake na wala isiwe tabu...! Ili ni tatizo kubwa sana...!
 
Hawa ndiyo Waislam wa Ukweli,Uislam hauhitaji mtu kutafakari ni kutenda kwa muujibu wa maamrisho ya Mtume wao marehemu Mohammad,Kwa wale wote wanao uangalia Uislam kwa busara ya kawaida wataona wanaochoma bar ni wendawazimu,lakini kwa wale wanaofahamu Uislam kama mafundisho yake yalivyo hao ndo waislam ambao Mabikra waliopanua miguu wanawasubiria kwenye heri yao. Issue sio Bar tu,Waislam wakiamua kuyatenda yawapasayo kama ilivyo kwenye Koran na Hadith JF itajaa thread za mishangao,Mwislam hatakiwi kufikiri anatakiwa kutenda kama alivyoamliwa na marehemu Mohammad neno kwa neno. Kufikiri kutabaki kwa wale waislam wa kuchovya na wale wasio waislam.

............... Kamari, Biashara ya Ngono, Pombe, Riba, Ufisadi, Dhulma, Uongo na kula vibudu (Mnyama aliyeliwa bila kumshukuru Mungu ) ni sehemu ya Ibada kwa Wagalatia. Na yote hayo huleta utajiri wa haraka haraka ili wafurahie raha za Dunia kwa muda mfupi !
 
Zenji ndo wanaongoza kwa kilaji baada ya dsm,hata nguruwe pia ni walaji sana zinauzwa kwenye gereji ona kipindi cha mfungo biashara inavyododa ya kitimoto,wanafiki wakubwa kila mtu zenji anaagiza sprite au club soda kumbe ndani katia viroba
........... hao wameacha tabia nzuri za Kiislaam na ndio maana ya Mwezi wa Ramadhani upo kuwakumbusha, wakaamua kufuata tabia mbaya za kishenzi za kipagani na Wagalatia kufanya hayo yasyofaa ! ni watu walio katika hasara mpaka watakapo tubu na kufuata tabia nzuri za Waislaam !
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom