Shehena ya 2010

Waridi

JF-Expert Member
Mar 30, 2008
1,025
172
Wakuu,
Hebu na tujuvyane sawia huu mwaka mpya umesheheni mambo gani.
Nalianzisha, tafadhali orodha iendelee
  • Mwaka ambao hakuna hata kiongozi mmoja wa baraza la mawaziri la kwanza-Tanganyika huru aliyeko hai
  • Mwaka wa uchaguzi mkuu Tanzania
  • Mwaka wa kuanzishwa kwa sarafu moja ya Afrika mashariki
  • Mwaka wa michuano ya kombe la mataifa ya Afrika
  • Mwaka wa michuano ya kombe la dunia, kwa mara ya kwanza inafanyika barani Afrika
  • Mwaka wa kimataifa wa biodiversity
  • Mwaka wa...
 
Sio kweli , JOB LUSINDE MALECELA alikuwemo kwenye cabinet ya Tanganyika huru na bado yupo anadunda pale IDODOMYA!!
 
Sio kweli , JOB LUSINDE MALECELA alikuwemo kwenye cabinet ya Tanganyika huru na bado yupo anadunda pale IDODOMYA!!
Masahihisho yamepokelewa. Waweza kuwa na taarifa za umri wake kwa sasa na mtazamo wake kuhusu kile kinachojiri nchini. Yamkini taifa laweza kutega sikio kwake ili kuchota busara na ushauri baada ya wenzake wote kutangulia mbele ya haki.
 
Back
Top Bottom