Elections 2010 Shehena nzito ya vifaa vya ccm vyaingizwa nchini

Hizo fedha wangetumia kujenga angalau nyumba za walimu...
Wasingekuwa na muda wakutumia nguvu kiasi hicho..
 
vyovyte iwavyo, siyo rahisi kujua clearing and forwarding companies zote za hapa Tanzania. Ninaamini kuwa CCM yenyewe ndo ya msimu baada ya 2010, wasubili 2015. Ugawaji utaanza lini? Tutakuwa tumepata madekio majumbani kwetu. Mimi siwezi kuweka mwilini mwangu picha ya JK. Aibu tupu....[/QUOTE]

Mkuu ni kweli isipokuwa ile inayo muonyesha akinyoosha mkono kusema wafayakazi sitaki kura zenu, hiyo nitaivaa!

Hivi hizo tshirt ziko wapi wakuu? jamani zimwageni kama njugu tutanunua na kuzivaa, siku zaenda
 
Habari za UHAKIKA 100% zilizonifikia hivi punde ni kuwa Shehena nzito ya FULANA, PICHA ZA MUUNGWANA ZA SIZE TOFAUTI, MAGARI, KHANGA, NK vinamaliziwa kufanyiwa clearance na kampuni ya Whind Freight Clearing and Fowarding. Clearance hiyo imeanza jana na bado MZIGO unaendelea kumimimnwa. Haijulikani gharama za kutengeneza mzigo huo mzito ni ya CCM au kuna vyanzo vingine vya mapato au wamekopa.

Acha woga wewe, fulana, kanga na magari havipigi kura
 
Wacha wafanye watakavyo, mwaka huu ni kuwanyima kura, hiyo ndio dawa pekee.
Mimi na wewe na wenzetu wengi humu JF tumedhamiria kuinyima CCM kura zetu. Ili kura zitoshe tunapaswa kufanya kazi ya ziada shekhe.
Tutumie muda wetu kuhamasisha jamii iliyotuzunguka umuhimu wakuinyima ccm kura. ukielimisha watano wa familia tofauti umeelimisha watu mia.

Ili huo mwisho wa ccm ufike lazima tujitolee ktk this last last time to work very very hard
 
Asante kwa hili kaka/dada. Mimi nimehamasisha watu huku kwamba hakikisha unawapenda mabadilko 25 nyuma yako. Kila mmoja akiwa na watu 25 hakika tumeshinda.
CHAGUA DR SLAA KAMA RAIS WA TANO IFIKAPO 31.10.2010.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Habari za UHAKIKA 100% zilizonifikia hivi punde ni kuwa Shehena nzito ya FULANA, PICHA ZA MUUNGWANA ZA SIZE TOFAUTI, MAGARI, KHANGA, NK vinamaliziwa kufanyiwa clearance na kampuni ya Whind Freight Clearing and Fowarding. Clearance hiyo imeanza jana na bado MZIGO unaendelea kumimimnwa. Haijulikani gharama za kutengeneza mzigo huo mzito ni ya CCM au kuna vyanzo vingine vya mapato au wamekopa.

Nahisi ndio maana DOLA aikamatiki kwetu sisi walala hoi, inaelekea reserve yote huko BOT imepelekwa CHINA, kununua hiyo shehena.
 
Haya mambo yanaumiza sana. Ukiwaza sana na kulinganisha yanayotendwa na CCM na hali ya Watz, unaweza kujikuta unakufa kabla ya muda wako. Wafanye wafanyayo, tutakutana tarehe 31 kwenye hukumu ya ukweli
 
Back
Top Bottom