Elections 2010 Shehena nzito ya vifaa vya ccm vyaingizwa nchini

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
18,857
7,615
Habari za UHAKIKA 100% zilizonifikia hivi punde ni kuwa Shehena nzito ya FULANA, PICHA ZA MUUNGWANA ZA SIZE TOFAUTI, MAGARI, KHANGA, NK vinamaliziwa kufanyiwa clearance na kampuni ya Whind Freight Clearing and Fowarding. Clearance hiyo imeanza jana na bado MZIGO unaendelea kumimimnwa. Haijulikani gharama za kutengeneza mzigo huo mzito ni ya CCM au kuna vyanzo vingine vya mapato au wamekopa.
 
Duuu aisee watuwagawie hizo nguo ila terehe 31 tumia ubongo wako!!
 
Hapo lazima kuna EPA Nyingine mwaka huu. Nakumbuka gazeti la Mwanahalisi lilishaandika kwamba fedha ya Ikulu ndo imetumika kwa kazi hiyo. Ukombozi wa nchi hii unahitaji safari ndefu.
 
Habari za UHAKIKA 100% zilizonifikia hivi punde ni kuwa Shehena nzito ya FULANA, PICHA ZA MUUNGWANA ZA SIZE TOFAUTI, MAGARI, KHANGA, NK vinamaliziwa kufanyiwa clearance na kampuni ya Whind Freight Clearing and Fowarding. Clearance hiyo imeanza jana na bado MZIGO unaendelea kumimimnwa. Haijulikani gharama za kutengeneza mzigo huo mzito ni ya CCM au kuna vyanzo vingine vya mapato au wamekopa.

Inaelekea CCM peke yake ina uwezo wa kununulia kila mtanzania T-Shirt, Kofia na khanga. Sasa sijui kwa nini Serikali inasema elimu bure haiwezekani. Je CCM ni tajiri kuliko serikali ya TZ!!!!
 
CCM wamesema vyama vya upinzani ni vya msimu tuu, sasa wao kama sio wa msimu na wanafahamika vyema nguvu yote ya nini kijitangaza?
 
Hapo lazima kuna EPA Nyingine mwaka huu. Nakumbuka gazeti la Mwanahalisi lilishaandika kwamba fedha ya Ikulu ndo imetumika kwa kazi hiyo. Ukombozi wa nchi hii unahitaji safari ndefu.

Ukweli mtupu, tusubiri vumbi litulie nina uhakika kuanzia March 2011 tutaanza kusikia madudu ya size ya EPA na zaidi. Kwa nini gharama zote hizi???????????????????????????????
 
Ngoja wazirudishe hizo pesa kwa watz. Lakini tarehe 31 october ni moja kichwani, kura kwa Dr Slaa. Haiwezekani watu wananunua madaraka kwa nguvu kubwa hivyo ili iweje? Hawaoni watu wanavyoishi kwa shida? Kwa nini hizo pesa wasitumie kwa mambo ya maendeleo? Inatia aibu watu wazima na akili zao wanafikiria watz bado ni wajinga.

I hate this style, sitaki hata kuisikia ccm lakini kwa vile wananilazimisha inabidi niwasikie.
 
vyovyte iwavyo, siyo rahisi kujua clearing and forwarding companies zote za hapa Tanzania. Ninaamini kuwa CCM yenyewe ndo ya msimu baada ya 2010, wasubili 2015. Ugawaji utaanza lini? Tutakuwa tumepata madekio majumbani kwetu. Mimi siwezi kuweka mwilini mwangu picha ya JK. Aibu tupu....
 
Habari za UHAKIKA 100% zilizonifikia hivi punde ni kuwa Shehena nzito ya FULANA, PICHA ZA MUUNGWANA ZA SIZE TOFAUTI, MAGARI, KHANGA, NK vinamaliziwa kufanyiwa clearance na kampuni ya Whind Freight Clearing and Fowarding. Clearance hiyo imeanza jana na bado MZIGO unaendelea kumimimnwa. Haijulikani gharama za kutengeneza mzigo huo mzito ni ya CCM au kuna vyanzo vingine vya mapato au wamekopa.

Tulia. Usijali.

Mwaka huu hayana wavaaji hayo matambala yao.

Acha wayalete tupigie deki.
 
Mmmmh mi naogopa maisha baada ya uchaguzi maana CCM wanatumia hela nyingi kwa kampeni na ni uhakika kuwa hizo hela zatoka serikalini ambazo ni kodi ya walala puuu, Mwaka wa mabadiliko ni huu, tutokomeze ufisadi huu.
 
Habari za UHAKIKA 100% zilizonifikia hivi punde ni kuwa Shehena nzito ya FULANA, PICHA ZA MUUNGWANA ZA SIZE TOFAUTI, MAGARI, KHANGA, NK vinamaliziwa kufanyiwa clearance na kampuni ya Whind Freight Clearing and Fowarding. Clearance hiyo imeanza jana na bado MZIGO unaendelea kumimimnwa. Haijulikani gharama za kutengeneza mzigo huo mzito ni ya CCM au kuna vyanzo vingine vya mapato au wamekopa.

Usiulize maswali ya kijuha....................
 
Hivi, mlitegemea nini kutoka kwa viongozi wa aina hii?, Mie machozi yananidondoka. Naapa mi ntavaa kombati.
 
Hata mimi ninahitaji hizo t-shirt, kikubwa kadi yangu ya kupigia kura niendelee kuimiliki
 
Habari za UHAKIKA 100% zilizonifikia hivi punde ni kuwa Shehena nzito ya FULANA, PICHA ZA MUUNGWANA ZA SIZE TOFAUTI, MAGARI, KHANGA, NK vinamaliziwa kufanyiwa clearance na kampuni ya Whind Freight Clearing and Fowarding. Clearance hiyo imeanza jana na bado MZIGO unaendelea kumimimnwa. Haijulikani gharama za kutengeneza mzigo huo mzito ni ya CCM au kuna vyanzo vingine vya mapato au wamekopa.

Jamani m'mesahau maisha bora kwa kila Mtanzania by 2010? Ahadi hii inaendelea kutimizwa hata kama wananchi hawana chakula, watoto wao wanafeli shule na wale wa kike kuambulia mimba, walau wanakofia, kanga na T-shirts za kijani.
 
Back
Top Bottom