Shehe Yahya mwongo

MwanaCBE

JF-Expert Member
Sep 23, 2009
1,771
804
Haka kazee kachawi ni kaongo sana. Kaliidanganya dunia eti kufikia februari mwaka huu Jk na Dr Slaa wangekuwa wamepatana. Wapiii..........!!!
 
Kama kweli mtabiri aende akanywe dawa kwa babu loliondo km hajayeyuka kama majivu!
 
:lol::lol:
Haka kazee kachawi ni kaongo sana. Kaliidanganya dunia eti kufikia februari mwaka huu Jk na Dr Slaa wangekuwa wamepatana. Wapiii..........!!!

Ni rafiki yake na kakobe na mwingira huyu:lol::lol:
 
Kukaa kumsikiliza yule mzee bora uende loliondo kupiga kikombe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom