Shehe Ponda Issa Ponda ataka serikali isiingilie mambo ya Al-Shaabab

Mara zote shekhe Pond Issa Ponda hutoa ushauri kwa hekima kubwa sana ni bora serikali ikautumia.
 
Hata wakristo waliuwa watu wakieneza dini yao crusade

Wakristo walioua watu ili kueneza dini walikosa kabisa. Hiyo ni dhambi kutoa roho ya mtu kwa vile hakubaliani na imani yako. Lakini ukweli huu pia unawahusu uislamu. Kama wakristo walikosea katika crusade zao haiwapi uhalali kuanzisha jihad na kulazimisha watu kufuata dini kwa upanga. Two wrongs doesnt make a right.
 
Majibu: ktk uislam kuua si vibaya kama unamtetea allah au mtume! kwaufupi hata mtume wao aliua sana ktk kueneza uislam, the same spirit is working up today!

lete vyanzo vya kuaminika sio propaganda eti mtume wao alieneza dini kwa upanga haya jeshi gani lilikwenda singapore,malaysia,india,indonesia na pwani ya africa mashariki nitajie bro...na uislamu hauungi mkono mauaji isipokuwa kama ni self defence kama mmevamiwa na ndo maana ukiua damu isiyo na atia katika Sharia nawe unauliwa mfano...egypt watu walilipua kanisa mkesha wa krissmas mawahukumiwa kifo...WENGI UISLAMU huwa hawaujui bahati mbaya na media zinau attack sana ndo maana mnachanganyikiwa!
 
kaka kwan ponda issa ponda si ni sheikh wa kutetea mali za waislamu, swali* kwani al-shabaab ni mali ya waislamu?
 
kaka kwan ponda issa ponda si ni sheikh wa kutetea mali za waislamu, swali* kwani al-shabaab ni mali ya waislamu?

kachaguliwa na nani? Anaizungumzia(kuiwakilisha) taasisi yake... Na mali za waislam zipi? Tuanzie hapo..
 
Je Mzee Mohamed Said msomi aliyebobea, mwandishi mahiri wa historia ya Tanganyika na mtetezi mahiri wa haki za waislam anasemaje kuhusu jambo hili?
 
lete vyanzo vya kuaminika sio propaganda eti mtume wao alieneza dini kwa upanga haya jeshi gani lilikwenda singapore,malaysia,india,indonesia na pwani ya africa mashariki nitajie bro...na uislamu hauungi mkono mauaji isipokuwa kama ni self defence kama mmevamiwa na ndo maana ukiua damu isiyo na atia katika Sharia nawe unauliwa mfano...egypt watu walilipua kanisa mkesha wa krissmas mawahukumiwa kifo...WENGI UISLAMU huwa hawaujui bahati mbaya na media zinau attack sana ndo maana mnachanganyikiwa!
Penye ukweli uongo hujitenga.
Islamic Jihad Movement
حركة الجهاد الإسلامي في فلسطين
 
kachaguliwa na nani? Anaizungumzia(kuiwakilisha) taasisi yake... Na mali za waislam zipi? Tuanzie hapo..

kachaguliwa na nani sijui,sitaki kujua na wala hainihusu na kuhusu mali zp anaztetea labda kama ni muislamu ungenijuza.. Ila hyo hko ndio cheo chake? Kwa nimjuavyo.
 
Kilichonisikitisha ni kuona hilo tamko limetolewa na kamati muhimu sana YA KUTETEA HAKI ZA WAISLAM. Kumbe Haki za Al-shaabab = Haki za waislam??
 
Sheikh Ponda anaongea kama muwakilishi wa waislam, Je ni msimamo wa waislam wote wa Tanzania kuwa Nahodha afute kauli zake dhidi ya vitisho vya Al shabaab kwa sababu Al shabaab ni waislam??

Suala la kuongea kama muwakilishi wa... halikufanyi wewe kuwa muwakilishi wa...

Kama waislam wanakubaliana nae kitu ambacho unapaswa kumuuliza kila muislam wa Tanzania na si baadhi yao ili kujiridhisha basi itakuwa hivyo. Vinginevyo waislam ninajua kuwa mtu ambaye ni msemaji wao mkuu kuhusu wao wafanye nini kwa Mwenyezimungu ni Mtume wao Muhammad (Peace be upon him), Kama kuna yeyote yule hapa duniani anawawakilisha basi hayo makubaliano yao ya kidunia.

Suala la ku-generalise watu kwa sababu tu mtu wa imani yao kaongea nqa kusema anafanya hivyo kwa niaba yao is nonesense. Waislam wakubaliane na Ponda ama wasikubaliane hayo ni maamuzi yao wao, wewe usiye muislam hayakuhusu unless unataka kutumia kauli hiyo ya Ponda kueneza chuki dhidi yao.
 
aisee.... sasa hapa anawatetea au anawasemea alshababu the killers?
Mhhh! Yaani ukistaajabu ya Musa utayaona ya Filauni! Hivi Shekhe Issa Ponda ni nani? Ana elimu gani? Ana mitazamo ya aina gani? Mara nyingi inanitatiza kuelewa nini huyu bwana anataka kupata kwa yale anayojaribu kuyapigia debe
 
Alichoongea Sheikh Ponda kina maana kubwa sana kwa siasa za Tanzania. Serikali inawatumia Al Shabaab kama excuse ya kupitisha agenda zao za kuzuia maandamano. Serikali inawatumia Al shabaab kama njia ya kuminya uhuru wa watanzania kwa kuwatisha. Serikali inawatumia Al Shabaab kama njia ya kuua uchumi wetu kwa kutisha watalii na wawekezaji kuja Tanzania bila serikali kujua.

Kwa maana hiyo Serikali inaonekana itakuwa tayari kuwadhuru watanzania either kwa kulipua sehemu ili kuonesha kuwa wao walichokuwa wanasema kina ukweli.

Tunataka tishio la Al shabaab lisiwe wimbo wa kubembelezea mwana Tanzania. Watanzania ni watu wenye hulka ya utulivu na kutopenda misukosuko, matamko kama haya ya viongozi wetu yanawaandaa watanzania kuwa watu wa kujiandaa na vurugu na uvunjifu wa amani.

Al Shabaab wana agenda yao huko Somalia, kama ni wauaji au magaidi hiyo suala la atakayewaona. Hata Gaddafi aliwaita NTC Magaidi, Al Qaeda. ANC iliitwa chama cha kigaidi na mandela akaitwa Gaidi. Tusiwe matarumbeta ya propaganda. Kazi ya serikali ni kuhakikisha mipaka yetu ipo salama na watanzania wanaishi vile watakavyo wao bila kuwa influenced na tukio lolote la kutoka nje.

Ponda ameongea kitu ambacho ni wachache wanaweza kuongea, whether ana sympathise na Al Shabaab hiyo inatokana na jinsi anavyowaona yeye, kikubwa ni kwamba haoneshi nia wana hana nia ya kumzuru mtanzania yeyote yule.
Mkuu nakuunga mkono mia kwa mia,tatizo la wachangiaji wengine wanasoma juu juu na wanachangia kwa itikadi while ukiwa makini utajua nn kinakatazwa kwa serikali kutumia kivuli cha al shabab kwa maslah ya serikali na chama tawala
 
lete vyanzo vya kuaminika sio propaganda eti mtume wao alieneza dini kwa upanga haya jeshi gani lilikwenda singapore,malaysia,india,indonesia na pwani ya africa mashariki nitajie bro...na uislamu hauungi mkono mauaji isipokuwa kama ni self defence kama mmevamiwa na ndo maana ukiua damu isiyo na atia katika Sharia nawe unauliwa mfano...egypt watu walilipua kanisa mkesha wa krissmas mawahukumiwa kifo...WENGI UISLAMU huwa hawaujui bahati mbaya na media zinau attack sana ndo maana mnachanganyikiwa!

Kashengo kama unataka kuujua uislam ni kitu gani nenda hapa;www.faithfreedom.org
 
Kashengo kama unataka kuujua uislam ni kitu gani nenda hapa;www.faithfreedom.org

mi uislam naujua from authentic and reliable source like holy qur'an,six authentic books of hadiths and recognizable and holy islamic scholarz sasa utanipa tovuti unadhani siujui tehe tehe tehee bahati mbaya kuna website nyingi sana zinamchakachuo wa uislam mfano ulioitaja na zingine nyingi then kama unazitumia utaendelea hivyo hivyo
 
Penye ukweli uongo hujitenga.
Islamic Jihad Movement
حركة الجهاد الإسلامي في فلسطين

nipe kipengele from islamic books kinachounga hivi vikundi vya mapigano eg. Al qaeda huna! Nikwambie basi kuna uislam na waislam na zama hizi waislam wengi lakini hawaufati uislam wenyewe from books....sio ukiona kundi lenye msimamo mkali unajua mafundisho hayo ya waislam na vitabu vyao...kuna misconceptions nyingi sana na sects tofauti kama mlivyo nyie then msije kwenye general conclution kibubusa
 
kachaguliwa na nani sijui,sitaki kujua na wala hainihusu na kuhusu mali zp anaztetea labda kama ni muislamu ungenijuza.. Ila hyo hko ndio cheo chake? Kwa nimjuavyo.

sasa wajua kama waislam tuna mitizamo tofauti? Na taasisi za kiislam zinatofautiana sana(najua hili hulijui) na ameanzisha taasisi yake japo unajifanya utaki kujua...na hakuna statistical evidence eti hizi mali za waislam..
My take: amezungumza kwa mitizamo yake kama ponda, kama ambavyo mchungaji Lusekelo humtetea JK kwani huwa anawawakilisha wakristo wote?
 
Hivi vikundi havitaisha kama marekani na wenzao hawataacha kuvamia nchi zingine na kuacha civil warz..tizama iraq,cambodia,tamil tigers,libya,palestina,lebanon,chechniya etc watu wamekaa kwa amani unawavamia unawapa silaha wapigane then uwatawale after that ni MAGAIDI? WHO IS TERRORISING WHO? We c great thinker nipe majibu acha bias
 
Kashengo kabla hujaenda mbali sana,unataka ushahidi kuhusu uislam ni kitu gani narudia tena gonga hapa www.faithfreedom.org,kisha kama unajiweza debate na huyo jamaa,ushahidi upo wazi,hao al-shaabab wanafanya kwa mamlaka gani!
 
Back
Top Bottom