Shehe na pensi mpya

huyo sheikh anatembea na mama yako vibya sana na inawezekana wewe unamcheka baba yako
 
nanusa harufu ya udini hapa.
Kwanini isiwe padre kaletewa pensi toka Vatican, au kasisi wa Lutheran kaletewa pensi toka Jeremani, potelea mbali, au shemasi wa Anglican kaletewa toka Uingereza.
Udini huu...

hii ni kwa sababu kwa makasisi wa dini nyingine hakuna maswala ya kutawadha kwa hiyo hakuna kitu
kama hicho ambacho kingewezekana usiogope
 
nanusa harufu ya udini hapa.
Kwanini isiwe padre kaletewa pensi toka Vatican, au kasisi wa Lutheran kaletewa pensi toka Jeremani, potelea mbali, au shemasi wa Anglican kaletewa toka Uingereza.
Udini huu...

Huyu naye sijui katokea wapi,watakuwa walewale!:hat:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom