She wants to Abort..!!!?

Kutoa mimba ni kosa la jinai kwa sheria za Tanzania..na hata atakayesaidia kutoa anakuwa answerable pia.
Ila kwa case yako inaonekana mwanamke wako ana tatizo jengine linamsumbua..aidha hajaku'feel' kiasi cha kuzaa na wewe ama haamini kama mimba ni yako. Cha kufanya before hujaenda kisheria zaidi mfanyie counselling na anaweza kubadili uamuzi. Ikishindikana unaweza kuproceed with legal action!!
 
Haya tena wenye kupanda mchicha then ukiota wanasema hawakujiandaa kuwa wakulima..Hebu umuulize shambani alifuata nini?.....Na wakati anatumia muda wake kulima alidhani anafanya nini? Basi ni kwa nini asilime wakati wa kiangazi ambapo ni ngumu kuvuna akasubiri mvua zikanyesha ndo akapanda? Just msijiunge nasi wakati tukiandamana kudai haki ya ndugu zetu waliouwawa kwenye vurugu kwa sababu nanyi wauwaji kama hao polisi.
 
Sheria ya makosa ya jinai sura 16 inakataza utoaji mimba. Ni kosa la jinai kwa mwanamke mwenye mimba kutaka kutoa mimba; pia ni kosa la jianai kwa daktari au mtu yeyote anayetaka kusaidia au anayesaidia kutoa mimba. hivyo njia sahihi kama unataka huyo mwanamke asitoe mimba ni kwenda kuripoti kituo cha polisi kama unaushaidi wa kutosha kuwa huyo mwanamke ana mimba na anataka kuitoa.
 
Mkuu wangu why uumize kichwa namna hiyo??achana nae fahamu kwamba wanawake ni wengi kuliko wanaume,so mwache atoe kwanza atakupunguzia mzigo,wewe soma maliza anza kusaka hela then after hapo utajuwa nini next na kuowa mke anayekupenda kwa dhati,hivi visichana vya kubabaisha achana navyo kabisa.....

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Kitu alicho kikataza mungu kina madhara yake....Mnaona mnavyo changanyikiwa.

Hivi dogo ungesubiri mpaa ukaowa, ungekuja kutuomba ushauri hapa.

Afu dogo wewe kama unasoma vipi ukimbilie kuzalisha, hata beberu akiona hakuna majani anaweza kuwacha kumrukia mbuzi, mpaa ahakikishe kuna majani yakutosha.
 
huyo mwanamke ana lake jambo.iweje condom aikatae,hajui matokeo yake?huna malengo nae mabaya,bado hakuelewi.halafu huyo useme awe mke wako,mmh.akili kichwani mwako.mimba ni jambo la heri ukiangalia ujauzito umeukubali,atakuja juta.jaribu kumuelewesha
 
Mi najiuliza. Mtoa mada alijiaminishaje kuwa mimba ni yake?
 
Hapana dada Anita.
Nampenda ila sijui yeye kama ana upendo wa dhati kwangu, tumekuwa kwa mahusiano kwa miezi tisa, hata wazazi wetu wanajua hilo na tukapanga kwamba nikimaliza masomo yangu tufunge ndoa.

Sasa wewe kumbe mwanafunzi, kwa nini unafanya mambo ya wakubwa!

sio mwanafunzi in such coz by now nimeshamaliza degree yangu na kuajiriwa tayari.
Mimi ni mtu mzima sana.


Owky baba kijacho, hapo kwenye blue bold ilinichanganyachanganya na kiswahili changu cha chijijini. Kumbe shule ishaisha. Unafanya kazi wapi?
 
Mkuu BADILI TABIA kaa ukijua siku zote neno MWANAFUNZI HUTUMIKA kwa mtu yeyote anayesoma haijalishi shule ya msingi, secondari, chuo au chuo kikuu.
Hapa nimesema kumaanisha kwamba mimi mwaka huu mwezi wa 9 ndo nilimaliza degree yangu lakini kabla ya hapo nilikuwa nipo na kaajira na naendelea nayo mpaka sasa kwenye taasisi moja ya kibenk kanda ya ziwa.
Kuhusu kipata hamna shida na nilishamtoa wasiwasi juu ya hilo.
Tangu jana nimejaribu kuwapa taarifa ndugu zangu na zake kuhusu jambo hili.
Any way hakika nitazingatia ushauri wako kwamba natakiwa kufanya maamuzi magumu kwa kumshirikisha na yeye pia.
 
kwanza kabisa i never support abortion, japo nayajua madawa na wadada hunitafuta niwasaidie lakini uwa siwezi, bora nimuelekeze kwa mtu mwingine amsaidie kutoa....:focus: ningekuwa mimi ningemweleza msimamo wangu na kama angeendelea na msimamo wake wa kutaka kuichoropoa basi ndio inakuwa mwisho wetu hata kama nampenda vipi... mimi chuo nimesoma na wadada wanapata ujauzito katikati ya semester na kama unavyojua shule za maswala ya afya mziki wake ulivyo mnene lakini wanakomaa sasa yeye malengo gani hayo ambayo hayatimizwi akiwa na mtoto? yeye haoni mtoto ni kama baraka? wasichana wa siku hizi mi siwaelewi kabisaaaaaa
 
Msaada ndugu zanguni niko
cross road mwenzenu.

Tumedumu na mpenzi wangu kwa takribani miezi 9, tukaaminiana,
tukapendana na kufanya kila kitu pamoja. August 25 akaniambia anajisikia
kuumwa sana tumbo na uchovu mwili mzma. Nikamshauri twende hosptl
kupima malaria, pregnancy,etc.

Majibu yakaja kwamba ana mimba ya mwezi m1, kwa kweli kila mmoja wetu
akatabasamu hasa mie ukizingatia ni uthibitisho wa ulijari wangu na
kumhaidi kwamba ndiye mke wangu wa maisha. Cha kushangaza sana jana
kaniambia kwamba anajiandaa kuitoa hiyo mimba coz hakuwa tayari kubeba
mimba kwa sasa kwani malengo yake bado hayajatimia, kaenda kwa daktari
kamwambia aende jumatano wakafanye hiyo kitu.

Nimejaribu kumshauri asiitoe mimba yangu, hajui mungu kampangia nini juu
ya uzazi wake hataki, kasimamia msimamo wake wa kuitoa.

nafikiri mpaka hapo umeona what
Swali langu kwenu, Je nitaweza kupata msaada wa kisheria kama atatoa
mimba hii bila ridhaa yangu?

Ushauri wenu pia.

nafikiri hadi hapo umeshafaham what type of a woman she is,
 
Mkuu BADILI TABIA kaa ukijua siku zote neno MWANAFUNZI HUTUMIKA kwa mtu yeyote anayesoma haijalishi shule ya msingi, secondari, chuo au chuo kikuu.
Hapa nimesema kumaanisha kwamba mimi mwaka huu mwezi wa 9 ndo nilimaliza degree yangu lakini kabla ya hapo nilikuwa nipo na kaajira na naendelea nayo mpaka sasa kwenye taasisi moja ya kibenk kanda ya ziwa.
Kuhusu kipata hamna shida na nilishamtoa wasiwasi juu ya hilo.
Tangu jana nimejaribu kuwapa taarifa ndugu zangu na zake kuhusu jambo hili.
Any way hakika nitazingatia ushauri wako kwamba natakiwa kufanya maamuzi magumu kwa kumshirikisha na yeye pia.

kama hali ni hii naanza kupata shaka kuwa inawezekana mtoto sio wako kama wadau wengine walivyosema, halahala asikuletee mchina tu.....

Nkushauri deal nalo taratibu, keti nae chini umpe tena msimamo wako, umsikilize anasemaje.....aking'ang'ania kuzoa achana nae atakuwa na yake huyo......
 
Huyo ni muuaji tu.

Wakati mnamegana kavu kavu alikuwa hajui kinachoweza kutokea?

Alikuwa hajui kama hayuko tayari kubeba mimba kwa vile malengo yake bado hayajatimia?

Ni mjinga kiasi gani kutokujua athari za kumegana bila kinga?

Mijanamke mingine haifai kabisa kuwa hai.

Hivi mama'ake angemuua yeye ingali mimba yake iko changa angekuwa hai leo hii kufurahia kudinywa dinywa?

Pambaaaf kabisa huyo mwanamke.

angekuwa karibu ungemzaba hata vibao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom