Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,753
- 7,844
mwanamke anasema she is unhappy, anasema simsikilizili na si msupport vya kutosha...
...nimejaribu kuzungumza nae kwa umakini lakini majibu yake ni kwamba hata yeye haelewi kwanini anafeel down all the time...na wasiwasi labda mimi sio tatizo...ushauri please! 1
...hapo ndipo tofauti ya wanawake na wanaume inapoanzia...MISINTEPRETATION.
Mamsap wako emotional support. Lazima anasumbuliwa na compassion fatigue/emotional drained baada ya kukupa mapenzi yake yote katika miaka hiyo yote mliokaa pamoja na sasa kama ulivyosema, amnaanza kufikiria ndoa!
Huu ni wakati wako ku recharge battery zake upya. Mpe mahaba motomoto kama awali ulipokuwa unamuweka kwenye himaya yako. Mkumbatie na kumsikiliza kilio chake, ongea nae kwa upole, msikilize... hata kama hana la kusema kumkumbatia tu ni ishara tosha kumuonyesha upo naye kimwili... Kuwa naye karibu, mhakikishie upo kwa ajili yake wakati wowote...
Emotional happy spouse completes the happiness circle.