SHE msieende kwenye hii GYM ina matatizo

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,803
637
SHE msieende kwenye hii GYM ina matatizo makubwa jioneeni wenyewe.

Attachments

  • New Image.JPG
    New Image.JPG
    29.1 KB · Views: 920
Ukiajiariwa hapa si utafurahi sana?

hahaha! Mpwa wakitangaza nafasi za kazi hapo do not hesitate to contact me ASAP. By the way hiyo gym iko wapi? Just for my personal interest.
 
YOGA kwa kina mama, faida flexibility, refreshing mind na pia inaweza pia ku heel magonjwa

Basi ni nzuri inawafaa! She akiwa flexible una enjoy sana hasa katika yale mambo yetu ya kiutu uzima
 
Basi ni nzuri inawafaa! She akiwa flexible una enjoy sana hasa katika yale mambo yetu ya kiutu uzima

Na kweli mwanamke anyefanya hio tizi du! usipime, sema hapa kwetu ni ZIONDAUGHER tu ndio namfundisha kwa heshima ya XSPIN wengine hawapendi kwanza hawafahamu.
 
Na kweli mwanamke anyefanya hio tizi du! usipime, sema hapa kwetu ni ZIONDAUGHER tu ndio namfundisha kwa heshima ya XSPIN wengine hawapendi kwanza hawafahamu.

You can say it again. Na matunda yake nayaona kwenye ile habari yetu. Keep it up mpwa ila usivuke mipaka.
 
Duh ndo malupulupu hayo ya kuwa GYM instructor, lazima kidogo apime oil hahahahaah
 
Back
Top Bottom