SHE is "single" and bored.....she needs a man in her life too......

ani pm kuna mtu anataka nisaidiane nae kusukuma gurudumu la maendeleo na mimi sitaki

Smile umekuaje ? Kupishana na bahati ?
Sasa kama wadada hamtaki kuolewa tuwafikirieje ?
Na huku kila mara nawasikiaga baadhi ya members wanamuomba Halima Mdee ajiunge Jf, bora hata asijiunge , akiingia humu atatuharibia wadada wengi watakataa kuolewa .
 
huu ushauri ni kiboko lazima nimfikishie leoleo..................kama nimekuelewa vizuri ni kuwa sasa ilale usingizi wa pono.....angalau kwa miaka 3 khalafu mambo yaanze

Ruta kulala usingizi wa pono najua ni ngumu ila ajitahidi kupunguza bana maana atakuja kuishia kuwa single kwa muda mrefu sana asipoangalia
 
hello,anatakiwa aleze sifa za mwanme anaye mtaka,tujajua jinsi gani ya kumsaidia.......

sifa amezitaja ya kuwa anahitaji mwanaumme wa kusaidiana kulisukuma gurudumu la maendeleo wakiwa pamoja........kwa hiyo awe anajishughulisha na shughuli fulani..............
 
Sijui hata nimshauri nini kwa kweli, labda nitoe tu reference jibu la ADi..

AshaDii........................ameshauri lakini kwa kuamsha udadisi tu.................be specific ungelikuwa ni wewe hapo ungelifanyaje?
 
Ruta kulala usingizi wa pono najua ni ngumu ila ajitahidi kupunguza bana maana atakuja kuishia kuwa single kwa muda mrefu sana asipoangalia

unashauri achukue likizo ya muda gani?
 
Smile umekuaje ? Kupishana na bahati ?
Sasa kama wadada hamtaki kuolewa tuwafikirieje ?
Na huku kila mara nawasikiaga baadhi ya members wanamuomba Halima Mdee ajiunge Jf, bora hata asijiunge , akiingia humu atatuharibia wadada wengi watakataa kuolewa .

yaani hisia zangu zafanana na zako Judgment......................ninahisi huyu Smile is anti-men.......hivi kila siku ninamsikia nimekataa.......sijui lini atasema amesalimu amri kwa a real njemba mmoja hivi.................
 
Anapatikana wapi ?
Anafanya nini?
Jina lake nani?
Je ni bikra au alishachakachua?
Je alishaumizwa mara ngapi kama sio bikra ?
Anataka mtu wa aina gani ?
Mtu huyo awe anaishi wapi ?
Ani PM mi mwenyewe natafuta mtu wa kike wa design yake
 
Weka picha yake kwanza, tusije tukajikuta tunaingia mzimuni.

hapo nitakuwa nimemharibia soko kabisa maana tayari nimekwisha kumwaga mtama kwenye kuku wengi...........kwa maana ya...kuhusiana na nyendo zake........sasa wengine watamsumbua kwa chapuchapu tu...................lol.........hata wewe ninakutilia shaka unataka kumnyemelea na hoja ya chapuchapu tu...........lol wakati yeye anataka wa kudumu sasa wasukume gurudumu la maendeleo yao wote.....
 
Anapatikana wapi ?
Anafanya nini?
Jina lake nani?
Je ni bikra au alishachakachua?
Je alishaumizwa mara ngapi kama sio bikra ?

Anataka mtu wa aina gani ?
Mtu huyo awe anaishi wapi ?
Ani PM mi mwenyewe natafuta mtu wa kike wa design yake

bikira unaizungumzia leo ya nini........yeye anataka mtu real man............wa kusukuma nae gurudumu la maendeleo....
 
what?

Ungejua damu yangu ni vere old.
Hata usingesema.

Ila kama vipi, mpe anuani yangu.
Nina kiwanda cha vijana hapa home.
changamoto yangu ni kumwezesha kumpata mtu kama Kongosho...................hapa JF.......................mie mchovu sina uwezo kupambana na hii damu changa.................kasheshe zao siziwezi................wasije kuniletea kifaduro cha usubuhi usubuhi.....lol
 
unashauri achukue likizo ya muda gani?


Mkuu huu ni uamuzi wake mwenyewe aamue mwenyewe kwa utashi wake kuwa anataka ayabadili maisha yake
Aamue kubadilika na sio kubadilika kimatendo kumbe rohoni mwake bado ana ile hali ya kuwa anatamani aendelee na ile tabia yake ya zamani hapo sio mabadiliko
Sio kuonyesha ulokole bali mabadiliko kuanzia moyoni abadili aina ya maisha aliyokuwa anaishi
Wanaume wale wanaokuja na kupata wanachokitaka kwa dakika moja aachane nao
Nilikuwa naongea na rafiki yangu akanijulisha kuwa kuna dada alipata no yake ya simu kutoka sijui wapi huko akampigia na siku hiyo ilikuwa ni birthday ya jamaa
Jamaa wakaongea dada wa watu kamkaribisha kwake akakuta amemuandalia cake na mapochopocho
From no where ndo first day wamekutana jamaa akapata cha kupata
Sasa fikiria jamaa hapo atarudi tena si anakudharau wewe dada kuwa uko so cheap and easy
 
Mkuu nafikiri kuna time ya kusema enough is enough na ngoja niache hiki au kile
Afikie mahali aseme kuwa tabbia ya kutongozwa na mwanaume siku moja na kumkubalia na siku hiyo hiyo anamaliza kila kitu ife
Ni kuacha mazoea yake maana inaonekana ni tabia yake na ishakuwa sugu
Aachane nayo kaka

Hapo kwanye blue ni kweli kbs ,wanaume nao huwa wanaangalia huyu ni nimemgusia swala la sex tu mara moja tu keshanivulia nguo lazima atakujudge vibaya, cha msingi kama atafanikiwa kupata mtu ampe muda wa hata mwaka hivi bila kufanya naye sex, mie naaamini kama mtu kampenda kweli atamvumilia lakini kama ni walewale hit and run atamjua mapema tu!
 
Back
Top Bottom