She is copying from original

chief72

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
625
302
Wakiwa kwenye chumba cha mtihani wa biology moja ya swali liliwataka wachore female reproductive organ, mwanafunz wa kike akaona ya nin afeli wakat ishu anayo, kwa kuwa hakuvaa chu** akanza kuchora huku anaigizia ya kwake, njemba moja iliyokaa desk la pili ikawa inapiga chabo kwa demu ili nayo ichore.

Kuona ivo yule mdada akabana mapaja kwa kuwa aliona kama anachunguliwa, baada ya kubaniwa, njemba ikagonga dawati kumwita msimamiz, msimamiz alpofika na kuliza kulikon? Jamaa likasemelea...,Sir! She is copying from origin
 
ama kweli......................huyu lazima alikopy na UTTTTEEEEEE!!!!!!!
 
Back
Top Bottom