She is beautiful, highly educated and paid but lonely! Why?

Whatever the arguments and language "single life" is anti-social. Look at yourself, and critically judge why should you live single! The post only addressed a group of people but right now the African life is leaning towards single life and the worst of all single parenthood. The SHE who bitterly contributing to the post recollect if you were born out marriage what person would you be now!!
 
Mimi sitaki watoto. Not under any circumstances will I have children. Kuna uwezekano mkubwa sitozaa kabisa.

It would be nice to have a partner. But I won't stuck myself in an unhappy relationship just for fear of being single.

Wangeweza kuolewa na yeyote yule toka wakiwa vijana. Hakuna kitu kama "kukosa ndoa". Unajipa moyo tu

Na wewe kuwaita vyombo vya starehe ni njia ya kuwa provoke tu na kujipa moyo. Women enjoy sex too. Basi Wanaume ni vyombo vyetu vya starehe. Na
uliambiwa wao ndo walikuwa wanaachwa kila siku? Si mleta Mada kasema walikuwa wanachagua chagua?

Hata muwatukane vipi, ukweli ni kuwa wamechagua maisha yao. Achaneni nayo.
Mleta mada ametoa sababu za kwanini hao wanawake wamejikuta wako kwenye maisha hayo sio wamechagu maisha hayo kwakua nimaisha mabaya mtu yoyote mwenye akiri timamu na afya njema hua hayapendi na hawezi kuchagua fungu la kukosa,.Zipo changamoto nyingi zinazofanya mtu kuwa mpweke zinatokea kwa mwanamke mwenye elimu yoyote, ila tunapozungumzia mwanamke aliyesoma tunategemea ni mtu mwenye uwezo wa kuzikabiri changamoto hizo na hiyo ndiyo maana ya elimu. kama mtu ameelimika na anashindwa kutatua changamoto katika maisha anazikimbia then anajifariji kwamba yuko ok huku sisi tunajua anaumia kwangu mimi huyo hajaelimika. Mleta mada sababu alizotoa zina ukweli. Mwenye kujifunza na ajifunze.
 
It's called gender equity it started long back before 1960s and it's still continuing to the present erra ''what a man can do a woman can do it better" The question of woman subbmission is not humanly invented phenomenon it's biblical one while women especial those who have gone aged are debating upon writting of all the ages are still emphasing very emphatical that they should subbmit to their husband stop feeding yourself with diabolical theosophy of whomever is out there and stick unshakenly to the scriptures it's only a matter of time for those lovely ladies who will hearken to the calling voice that's echoeing from the beggining of time to call up women's subbmision to husband,any failure attempts to comply will only make the wedding matter a day dreaming as another collegue of mine implied!
Kwa mtazamo huo wako hakuna ndoa itakayodumu duniani. Tunamshukuru Mungu kwamba wapo wanawake wasomi wanaelewa kwamba ndoa ni nini na inatoka wapi na waidumishe vipi. Kwa sasa tafiti kwa nchi zilizoendelea zinaonyesha kwamba wanawake wasomi ndio wanaodumu kwenye ndoa kuliko wasio soma ila kwa africa nitofauti kwasababu mwanamke bado ana muona mwanaume ni adui na wakati mwingine humuona kama ajira hivyo akiweza kujitegemea anamkimbia.
 
It is better to remain single than to hang onto a marriage loneliness rafiki.

But I somewhat agree with your description. If you do not lower your expectations to an amicable level you may never be able to settle down in a relationship.
 
Let me start by saying, for some of us there is more to "life "than being someone’s lover, gf, wife, and what have you. eg
  • Careers and ladders to climb
  • Places to explore and the world to see
  • Money to make and fabulous lives to live

Say what you want to say but no amount of “D” can replace the exhilaration that I get as a woman in charge of me, my life and my journey.

Perhaps the underlying issue in all of this, is the world now lacking REAL men? The alpha kind, "top dogs", the always in charge type, and those who are never afraid nor shy away from a STRONG woman ??

“Submissive woman” really? I , somehow was under the impression that we are now in the 21st century , or aren’t we ? #smh

Um!,..Um!,...Um!,...this should end this thread! :)
 
6) "Perhaps most damaging is the tendency of being argumentative, pugnacious with little attention to being submissive to their flirting mates."

Mr. Ruta, a better meaning for what you call argumentative, pugnacious, non submissive woman is,...a strong, educated, opinionated woman, who can go mano a mano with you, or any other man, whether it's in a particular subject, a career or any other aspect of life, and deflate you and a bunch of other men out there with your insecurities. A woman who can stand face to face with you, and confidently want to challenge you. That, my friend, is what we call a real Woman. And for the record, I heavily doubt a woman like this would want to settle with just 'any man'

One more thing, it's 2016!, in case you're still buried in 1950's mentality of men towards women.
 
Heaven Sent bibi kidude nasikia aliolewaga akakimbia mwanaume alikuwa anamtesa. Hajaolewa tena wala hajawahi kuzaa hadi kafa na 100+. Ana degree ngapi eti?
Umenikumbusha mbali housegirl. Bibi yangu aliolewa akamzaa mama yangu pekee. Babu alikuwa very abusive. Akawa anamuita bibi mgumba, anampiga, anamletea wanawake, kisa bibi hakuweza kupata ujauzito mwingine.
Basi bibi akaona isiwe tabu....kafungasha karudi kwao. Imagine kipindi hicho miaka ya sitini...bibi hakuwa na elimu wala kipato lakini aliamua kuachana na babu ili aishi maisha ya furaha. Hakujali jamii itamchukuliaje.

Guess what....babu ndiye aliyeishia kufa kwa frustration. Bibi yangu bado yupo mpaka leo ana 90+ years. SHE LIVED HAPPILY EVER AFTER....SINGLE, WITH HER DAUGHTER BY HER SIDE....Hadi raha.
Na hiyo ndiyo iliyopelekea mama yangu asome kwa bidii ili aje amtunze mama yake....so thanks to babu's behaviour.

Sasa je angeng'ang'ania kukaa na babu unafikiri angefikia umri aliofikia?

We choose our own fate....marriage cannot guarantee happiness.
Ni vizuri wewe mwenyewe uitafute furaha yako bila kuathiriwa (kwa namna yoyote) na jamii inayokuzunguka....
 
recollect if you were born out marriage what person would you be now!!
Seems my story didn't get anything into your head.....either the truth is so hard for you to swallow or you just have problems with your reasoning.

An unhappy, unfixable marriage IS NOT good for the kids nor fair to the woman. DEAL WITH IT.
 
Mleta mada ametoa sababu za kwanini hao wanawake wamejikuta wako kwenye maisha hayo sio wamechagu maisha hayo kwakua nimaisha mabaya mtu yoyote mwenye akiri timamu na afya njema hua hayapendi na hawezi kuchagua fungu la kukosa,.Zipo changamoto nyingi zinazofanya mtu kuwa mpweke zinatokea kwa mwanamke mwenye elimu yoyote, ila tunapozungumzia mwanamke aliyesoma tunategemea ni mtu mwenye uwezo wa kuzikabiri changamoto hizo na hiyo ndiyo maana ya elimu. kama mtu ameelimika na anashindwa kutatua changamoto katika maisha anazikimbia then anajifariji kwamba yuko ok huku sisi tunajua anaumia kwangu mimi huyo hajaelimika. Mleta mada sababu alizotoa zina ukweli. Mwenye kujifunza na ajifunze.
Tafuta mke.
Oa.
Zaa watoto.
Kahangaike duniani uwalishe.
Zeeka.
Kufa.

Acha wenzio waishi wanavyotaka.
 
housegirl: which of these group of women you stand for:
1) Unmarried throughout their lives because of various reason but claim they have their own lives to take care of!!!
2) Divorced women who found marriage a hard nut to crack!
3) Single mothers by choice or not!
4) The women that have been the subject of this dicussions (the sophiscated)!

Whatever your choice, God did create a double to compliment each other to fulfil desired human beings egos.

housegirl: I believe you live a desperate life - deduced from your contributions. A piece of advice - go back into marriage before you are at that old age where a partner is inevitable. "FAINALI UZEENI"
AN UNHAPPY MARRIAGE IS NOT MARRIAGE. STOP MISLEADING PEOPLE.

I) I'm yet to get married. Ask me when I hit 30.
II) never got divorced
III)Never got pregnant. And I might never do.
IV) I'm not that beautiful or educated.

I'm clever enough to NOT let myself be MISTREATED or be unhappy FOR WHATEVER REASON.

I'm human enough to empathise with women and children living under terrible conditions for TOTALLY NONSENSICAL REASONS.

I'm definitely desperate. Desperate FOR CHANGE. Witnessing unhappy and hurt women everyday gets very depressing and tiring.

LEAVE THE SINGLE WOMEN ALONE AND STOP ADVISING WOMEN IN ABUSIVE MARRIAGES TO STAY MARRIED, You devil's agent.

Oooh, my man is the hottest man alive by the way, and praise HADES he ain't as backwards as you. GOOD MEN ARE OUT THERE. MSIDANGANYWE NA MAmysoginists wa JF. Na ukiamua kuwa single pia hakuna anayepaswa kukuJudge.
 
Umenikumbusha mbali housegirl. Bibi yangu aliolewa akamzaa mama yangu pekee. Babu alikuwa very abusive. Akawa anamuita bibi mgumba, anampiga, anamletea wanawake, kisa bibi hakuweza kupata ujauzito mwingine.
Basi bibi akaona isiwe tabu....kafungasha karudi kwao. Imagine kipindi hicho miaka ya sitini...bibi hakuwa na elimu wala kipato lakini aliamua kuachana na babu ili aishi maisha ya furaha. Hakujali jamii itamchukuliaje.

Guess what....babu ndiye aliyeishia kufa kwa frustration. Bibi yangu bado yupo mpaka leo ana 90+ years. SHE LIVED HAPPILY EVER AFTER....SINGLE, WITH HER DAUGHTER BY HER SIDE....Hadi raha.
Na hiyo ndiyo iliyopelekea mama yangu asome kwa bidii ili aje amtunze mama yake....so thanks to babu's behaviour.

Sasa je angeng'ang'ania kukaa na babu unafikiri angefikia umri aliofikia?

We choose our own fate....marriage cannot guarantee happiness.
Ni vizuri wewe mwenyewe uitafute furaha yako bila kuathiriwa (kwa namna yoyote) na jamii inayokuzunguka....
Hata aunt yangu alivyoondoka, mumewe alikufa. Me namwambiaga mama ungekuwa umeondoka zamani angekuwa ashakufa. Now she's stuck. Hahaha.

Mijanaume inayotesaga wake zao Ikiachagwa inakufaga yote!!! Haiamini kama imeachwa, manake huwa inafikiri hawa wanawake have no way out.
 
duh unamchukia baba yako hivi?! i guess abusive fathers wakisoma posts zako lazima wajifikirie mara mbili future yao na watoto wao.
duh ungekuwa hakimu ukiletewa kesi ya mwanaume mtesaji lazima ale mvua za kutosha!!!
 
Kwakweli si vizuri kabisa kumtesa binadamu mwenzako. Watu tujirekebishe aisee.
 
Kwakweli si vizuri kabisa kumtesa binadamu mwenzako. Watu tujirekebishe aisee.

Ditto!

If only people were to live by the Golden Rule none of these abuses would be happening.

But I know that is pie in the sky because I believe some people are just sadists by nature.

They relish the misery of others but when the tables are turned they can't take it.
 
duh unamchukia baba yako hivi?! i guess abusive fathers wakisoma posts zako lazima wajifikirie mara mbili future yao na watoto wao.
duh ungekuwa hakimu ukiletewa kesi ya mwanaume mtesaji lazima ale mvua za kutosha!!!
Wanasaikolojia wanakwambia, mkigombana , hata mkifikiri watoto hawajui, ni vema mkawaambia mligombana mmepatana. Waulizeni hata "nyie siku yenu ilikuwaje leo, sisi tumegombana kidogo but tumeshaelewana". Na IWE KWELI. Watoto wanaelewa zaidi kupitia body language.

Mkijifanya mnawachekeachekea watoto wakati waliwasikia, au wanajua hamna furaha, ndo mnatengeneza modeli za kina housegirl
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom